Unawachagulia ya kuhoji?Tuhoji mambo ya msingi
Wewe nae una akili ndogo sana. Kwa hiyo alikodi dege zima la Emirate?Kwa hiyo kwako watu kujadili Samia kusafiri na Emirates ya kukodi wakati tuna bombardier na dreamliners za kutosha na nyingine mmetoa oda zinaendelea kutengenezwa kwako ni ujinga?
Una mtindio wa ubongo.
Alienda na watu wangapi?Wewe nae una akili ndogo sana. Kwa hiyo alikodi dege zima la Emirate?
Tuhoji mambo ya msingi
Hata kama alikodi siti yake pekee, zile dreamliners zipo kwa kazi gani? au zote mbovu ziko service?Wewe nae una akili ndogo sana. Kwa hiyo alikodi dege zima la Emirate?
Kwenye mtindio kapita, yupo kwa mbele kidogo, sema nimesahau jina la hapo mbeleKwa hiyo kwako watu kujadili Samia kusafiri na Emirates ya kukodi wakati tuna bombardier na dreamliners za kutosha na nyingine mmetoa oda zinaendelea kutengenezwa kwako ni ujinga?
Una mtindio wa ubongo.
Umewahi hoji lolote la maana hapa wewe??Kwa nini mnahoji upuuzi?
Tuhoji mambo ya msingi
Ndio wanaopiga kelele zisizo na mashiko watuambie. Kwani hakukuwa na abiria wengine tofauti na msafara wa rais Samia? Au ndio kukariri na kushoboka tu?..what happened?
..hiyo emirates alipanda yeye na ujumbe wake ktk safari za kawaida za shirika hilo?
..au alikodi ndege ya emirates ikampeleka France, Belgium, na kumrudisha?