Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Jikite kwenye hoja husikaMpuuzi wewe, mlaumu kwanza hayati JPM kwa kuwapambania wabunge wasio na tofauti na stempu za benki.
Aliyefeli wa kwanza ni JPM aliyependa kusikia akipigiwa makofi muda wote bila ya kupenda kukosolewa.
Lipo na ni mali ya WananchiKwani Tanzania Kuna bunge?
Huna hoja yenye haki ya kujadiliwa, ni chuki tu zinakusumbua.Jikite kwenye hoja husika
Bunge linaongozwa na wabunge wenye kuelewa anachokifanya rais SSH, hawana sababu za kumpigia kura ya kumkataa kiongozi wao wanayejua anafanya nini.Lipo na ni mali ya Wananchi
Wabunge wapi hao!? Hawa wa ccm waliowekwa na Magufuli!? Hawana ubavu huo ni waoga kama kunguru na njaa kama zote. Hawana uzalendo kwa nchi yao kabisa. Wananchi tumewaona hawafai kabisa baada ya kuridhia utopolo wa DP World.Kila kona mnalalama , eti mafuta yanapatikana kwa bei juu, Chakula bei juu, umeme umekuwa unakatika masaa 24, rushwa na uonevu kila kona hii ni ishara mbaya.
Mkuu wa nchi yetu anapoapa ili atuongoze huwa anaapa kuilinda na kuitetea Katiba ya JMT.
Sasa kama katiba ilitungwa ili Watanzania tusikwame kwa kila kitu tunapoishi hapa nchini, alafu sasa kila kitu hovyo. Maana yake mkuu wa nchi amekwama kuilinda na kuitetea katiba ya JMT.
Watanzania kila jimbo tuwatume Wabunge wetu waungane ili wapitishe azimio la kumuondoa rais Samia ili tusiteseke kama sasa.
Watanzania ndio wanalalama kila kitu hovyo, sasa kama mkuu wa nchi hasimamii katiba ya nchi . What next?Huna hoja yenye haki ya kujadiliwa, ni chuki tu zinakusumbua.
Hilo ni bunge la ccm. Wananchi bado hatupata wabunge wakutuwakilisha.Lipo na ni mali ya Wananchi
Sasa mbona wananchi wanalia? Umeme hakuna, maji ya mgao, ufisadi na mikataba mibovu ...Bunge linaongozwa na wabunge wenye kuelewa anachokifanya rais SSH, hawana sababu za kumpigia kura ya kumkataa kiongozi wao wanayejua anafanya nini.
Umeme na maji kukosekana ni tangu awamu ya kwanza ya Tanzania, ufisadi upo kila awamu watu wanaiba kila mahali.Sasa mbona wananchi wanalia? Umeme hakuna, maji ya mgao, ufisadi na mikataba mibovu ...
Hapa ndipo unafanya Watanzania kumkumbuka hayati JPM. Bora ukae kimya puuzi weweUmeme na maji kukosekana ni tangu awamu ya kwanza ya Tanzania, ufisadi upo kila awamu watu wanaiba kila mahali.
Mikataba mibovu ni uelewa wetu wa kijamii kuwa mdogo na hulka ya kupenda kuongea ambavyo mtu hata haelewi anaongea kitu gani.
Watanzania wachache wa mijini ndio wanaolialia mitandaoni. Yapo mengi yanaendelea kufanyika huko mikoani na huwezi kuyasoma kwenye media.Watanzania ndio wanalalama kila kitu hovyo, sasa kama mkuu wa nchi hasimamii katiba ya nchi . What next?
Wewe huna akiliWatanzania wachache wa mijini ndio wanaolialia mitandaoni. Yapo mengi yanaendelea kufanyika huko mikoani na huwezi kuyasoma kwenye media.
Mpuuzi ni wewe unayemuona hayati JPM kuwa ni sawa na malaika. Alijawa ukabila mwingi na aliwakera wengi tu.Hapa ndipo unafanya Watanzania kumkumbuka hayati JPM. Bora ukae kimya puuzi wewe
Mwenye akili ni wewe unayelialia tu humu JF, kila ukiandika uzi ni wa malalamiko. Kuna watanzania muda huu wanafaidika na awamu hii wewe ukiwa unalalama.Wewe huna akili
Alipokuwepo umeme ulikatika? Bandari zilibinafishwa? Mimi naongelea ukweli sio ushabikiMpuuzi ni wewe unayemuona hayati JPM kuwa ni sawa na malaika. Alijawa ukabila mwingi na aliwakera wengi tu.
Wewe kuwa ndugu yake haimaanishi kwamba alikuwa msafi sawa na malaika.