Kama mpaka sasa hawajaiteka "Kyiv", basi ni wazi Jeshi la Russia halina nguvu kama inavyodaiwa

Kama mpaka sasa hawajaiteka "Kyiv", basi ni wazi Jeshi la Russia halina nguvu kama inavyodaiwa

Kuamini pia NATO inaweza kuivamia Russia ni matumizi mabaya ya akili.russia Wana nguvu kushinda NATO ndo maana wamepingwa biti hakuna anayeingipia mpaka Sasa hivi alafu Jana meli za NATO(TURKEY)ilipigwa na hakuna kitu walifanya.
Hivi wewe jamaa ni mzima kichwani? Sababu Urusi ameanzisha vita ni majeshi ya NATO kuikaribia Urusi hivyo anaona hayuko salama, na hata Putin mwenyewe mara nyingi kapinga Ukraine kujiunga NATO kwani makombora na silaha nyingine za NATO ni hatari kwa usalama wa Urusi, wewe uko hapa bongo unakula makande na togwa unasema NATO siyo chochote kwa Urusi.
NATO huwa haingii kwenye vita ambavyo hakuna mwanachama wake anayeshambuliwa,na hili walilisema siku nyingi hata kabla ya vita, sasa ulitaka wakiuke utaratibu wao? Hebu tuwekee link ya meli za Uturuki kushambulia ili isije ikawa umbea tu.
 
benki za china zimesimamisha kugharamia biashara na urusi kwa mujibu wa chombo cha habari cha serikali ya urusi https://www.rt.com/business/550705-china-banks-restrict-russia-finance/
China si rafiki wa russia kufa na kuzikana imekuwaje tena dah 😀😅🤣😂😅 nimecheka sana russia wanaposema "China’s largest public financial institutions are reportedly limiting financing to purchase raw materials from Russia under the threat of sanctions from the US and allies over the military operation in Ukraine. ICBC, the world’s biggest bank by assets, and Bank of China, the country’s largest commercial bank for currency trading, could potentially lose access to the dollar, as financing purchases of Russian commodities may be regarded as support for Moscow. Kumbe hao US and allies hata china anawatetemekea eeeehh maana nilidhani huu ndo ungekuwa wakati wa china kuongeza maradufu biashara narafikiye urusi lakini naona mambo yamekuwa kinyume. Kweli US baba lao.
 
adui muombee njaa.mm binafsi natamani NATO wa join ,halafu mtanange uanze upya kabisaa ,China nae amjoin Russia ,wachapane kisawasawa ulaya ichafuke Vita, baada ya hapo ,ulaya itakuwa hoi kiuchumi n.k.Hawa watu wametuletea majanga mengi Africa,so hakuna haja ya kuwatakia mema!!

Namkubali Putin,maana hata yeye ni mhanga ,Kama sisi Africa tulivyo halibiwa!!!

go Putin ,go.....
 
Russia anapigana na majeshi kibao tu huko Ukraine. NATO wameingia wakajichanganya na majeshi ya serikali ya Ukraine. Vinginevyo ingekuwa rahisi tu. si unaona ni kama NATO hawajali, ni kwamba wamevaa combat ya Ukraine
Nahisi kabisa kule mpakani Russia alipoingia kirahisi bila upinzani ilikuwa ni strategic ya kumvuta kwenye Graveyard hapo Mji Mkuu Kyiv. Naona plan zote za kivita pamoja na rasimali watu na silaha za Ukraine waliziweka hapo Kyiv maana walishajua lengo la Putin. Sasa Russia anakipata cha moto mpaka anafikia hatua ya kutumia Ballistic Missile.
 
...Russia haijawahi kuitawala Africa kwa Mabavu, hawajawahi kuiba rasilimali zetu, kutesa babu zetu na pia hawajawahi kuivamia Africa kwa vifaru na Mabomu kama NATO na Mataifa ya Ulaya. Napenda Demokrasia ila sipendi Demokrasia inayoenezwa kwa Mtutu wa Bunduki.

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
Kinachonifurahisha Russia anatumia silaha za enzi za Soviet ambazo zingehitaji gharama kubwa kuzifanyia disposal , so hajaingia hasara kutumia new weapons
Umeliona mpaka wewe yani jamaa ameona silaha zinazoenda kwisha muda wake akaona sio mbana kwenda kuziangamiza kwa faida[emoji16][emoji16]
 
Kama mpaka sasa Jeshi la Ukraine limeweza kuwapa upinzani wa kiwango hiki, ni wazi Jeshi la Russia sio strong kama linavyoelezewa na ni wazi lisingeweza kuhimili majeshi ya NATO kama tu Jeshi la Ukraine linawatoa jasho mpaka muda huu.

Kwa sifa tunazosikia kuhusu Jeshi la Russia, nilitarajia mpaka muda huu mji mkuu wa Ukraine uwe chini ya Majeshi ya Russia lakini mpaka sasa bado.

Soon tutaanza kusikia madai kuwa Jeshi la Ukraine linapata support kutoka kwa wamarekani na washiriki wake.

Ama kweli actions speak louder than words.
Hii ishu wanongo mnaichukulia kama simba na yanga vile
 
Huo ndio ukweli. Kwa mikwara yenu, mpaka muda huu mngekuwa mmeshaiteka Kyiv, ila mpaka sasa mmeshindwa na ni wazi ingekuwa ni nchi kama Ujeruman au France, mngekuwa bado mpkani na hapa ndio najiuliza uwapi uwezo wa nyinyi kupambana na Majeshi ya NATO kama mnavyojisifu.
Mkuu, hii sio chadema vs sisiemu...
 
Umeliona mpaka wewe yani jamaa ameona silaha zinazoenda kwisha muda wake akaona sio mbana kwenda kuziangamiza kwa faida[emoji16][emoji16]
Unafuatilia kwa ukaribu mzozo huu kweli?

Habari iliyopo hadi sasa ni kwamba Russia anakiri kupata hasara ya vifaa vya kijeshi kwenye mashambulizi yake.

Amepataje hasara? Mimi na wewe hatujui huenda amerusha makombora mengi lakini ufanisi kiduchu maana hajateka mji hata mmoja kikamilifu maana anakutana na upinzani mkali kutoka kwa jeshi tiifu na raia wa Ukraine kinyume na alivyotarajia.
 
Haya subur tumalize wiki na maneno yako ya kimagharibi hayo mara wamekufa wanajeshi 3500 wa urusi [emoji16][emoji16]
 
Unafuatilia kwa ukaribu mzozo huu kweli?

Habari iliyopo hadi sasa ni kwamba Russia anakiri kupata hasara ya vifaa vya kijeshi kwenye mashambulizi yake.

Amepataje hasara? Mimi na wewe hatujui huenda amerusha makombora mengi lakini ufanisi kiduchu maana hajateka mji hata mmoja kikamilifu maana anakutana na upinzani mkali kutoka kwa jeshi tiifu na raia wa Ukraine kinyume na alivyotarajia.
Watakuwa wanajuta kwa maamuzi yao ya kukurupuka waliyoyafanya.
 
Unafuatilia kwa ukaribu mzozo huu kweli?

Habari iliyopo hadi sasa ni kwamba Russia anakiri kupata hasara ya vifaa vya kijeshi kwenye mashambulizi yake.

Amepataje hasara? Mimi na wewe hatujui huenda amerusha makombora mengi lakini ufanisi kiduchu maana hajateka mji hata mmoja kikamilifu maana anakutana na upinzani mkali kutoka kwa jeshi tiifu na raia wa Ukraine kinyume na alivyotarajia.
Putin anaenda kuaibika kwenye hii vita, kategwa kaingia mkenge,hawa wamagharibi walimtafuta sana muda mrefu saiv wamempata.

Ukishaona Rais wa ukraine pamoja na uwezo wake wa jeshi kua mdogo lakini hataki tena mazungumzo ujue kuna vitu vinampa huo ujasiri sasa.

Ukishaona vinchi vidogo vidogo Latvia,lithuania vinatoa misaada ya silaha ujue kuna draft kali sana inachezwa hapo
 
Back
Top Bottom