permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Hivi wewe jamaa ni mzima kichwani? Sababu Urusi ameanzisha vita ni majeshi ya NATO kuikaribia Urusi hivyo anaona hayuko salama, na hata Putin mwenyewe mara nyingi kapinga Ukraine kujiunga NATO kwani makombora na silaha nyingine za NATO ni hatari kwa usalama wa Urusi, wewe uko hapa bongo unakula makande na togwa unasema NATO siyo chochote kwa Urusi.Kuamini pia NATO inaweza kuivamia Russia ni matumizi mabaya ya akili.russia Wana nguvu kushinda NATO ndo maana wamepingwa biti hakuna anayeingipia mpaka Sasa hivi alafu Jana meli za NATO(TURKEY)ilipigwa na hakuna kitu walifanya.
NATO huwa haingii kwenye vita ambavyo hakuna mwanachama wake anayeshambuliwa,na hili walilisema siku nyingi hata kabla ya vita, sasa ulitaka wakiuke utaratibu wao? Hebu tuwekee link ya meli za Uturuki kushambulia ili isije ikawa umbea tu.