Kama mtabe wa mathematics, pitia hapa

Asikutishe bro. ... HIZO competency based curriculum zinazomsaidia kulipua kazi za watu harakaharaka awahi kunako bia na kitimoto zinahitaji 'precision tools' ambazo wanaomdanganya asome juujuu hawataki wawe na mshindani sokoni!
Ukichanganya UPE, ya Mzee mchonga, hii COMPETENCY BASED CURRICULUM inaenda kuimaliza kabisa elimu iliyouwawa ya Bongo.
COMPETENCY BASED CURRICULUM INAVIPA VYUO COMPETENCY YA KUTUJAZIA VILAZA!
NB: Kama ni nyama choma, COMPETENCY BASED CURRICULUM, ni sawa na nyama iliyobabuliwa harakaharaka na unatengewa huku bado inavuja damu!
 
Siku nyingine niwe ninaitwa kwenye mambo haya.


Njia bora na simple ni kuchora graph ya eqns 2 kisha ukaangalia intersections point, wale waliopata 3.2... wako sahihi.


Ukianza kuapply "log au ln" unaingia kwenye chaka haufiki mwisho.

K11
 
Msaada watabe,Mayombya namna alivyojaza hizo data.Halafu akisema those who are taking Chemistry are also taking Mathematics and physics anamaanisha Nini katika venn diagram?
 
recent pool of 500 men and 500 women,it was observed that a total of 650 were married.of those married,275 were men and 500 claimed to be happy. Out of 750 claimed to be happy. 400 were men of which 200 were married. Represent this information in a venn diagram and find
(a)the number of married people who are happy
(b)the number of unmarried people who are not happy
 
Lakn inarahisisha baadhi ya mambo nakusave muda
Ilianza Calculator ikaja Google sasa imefika AI binadamu wanageuka mazombie wasiokua na uwezo wa kufikiri, robotics competition ndio inaenda ku-take over Ila binadamu anaweza kurekebisha errors mwenyewe robot hawezi
 
Hapa tumia venn diagram kwa kuingiza hizo data.


Chora venn diagram ambayo ina maduara matatu ambayo yana-intersect kisha jibu utapata kwa wepesi, usipopata jibu unisitue asubuhi nikuwekee solution ya maswali yako
Nimelijaribu Sana naona Kuna kitu nimeshindwa kukitafsiri .Nasubiri hio solution
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…