Kama mtabe wa mathematics, pitia hapa

Kama mtabe wa mathematics, pitia hapa

Screenshot_20231105-161320.png
 
Habari za wakati huu wana jamiiforum

Kuna ka swali hapa ka O level kana sumbua hivyo nataka kuwasirisha kwa watabe wa jamii forum ila niweze kupata solution yake

SWALI :

2^(8-x) = 8x

Yaani :

Two power eight minus X equals to eight x(eight times X )

Find the value of X.

Asante ,

nahitaji soulution , si jibu pekee !
Draw a graph of y=8x and that of 2^(8-x) on the same x-y plain then look
for the points of intersection or
 
That is what i meant hicho kialama ^ kina ifanya equestion kuonekana hivyo

Hapo ku sovle sasa ni mtereko kama kitonga introduce log
Kudadeq🤣🤣🤣

Wakiona hii watasema ulisoma HGE BAM ukapata E advance
 
Mkuu kama hawashughuliki na decimals ina maana ukiapproximate hilo jibu la 3.2 inakuwa ni 3, sasa je ukipachika hiyo 3 pale kwenye X jibu la LHS na RHS litafanana, yaani kwamba 2^5 = 8×3 siyo
Usichanganye madesa
Njia hio hapo chini nimeshafanya na kuprove jibu ni x= 3.28.......
Na ukiingiza kwenye swali pande zote zinatoa 26

1699193997392.png

Hio njia yangu na ya dronedrake zote ni sahihi na zinatoa jibu sahihi

Kama nilivyosema approximately ya jibu ni x= 3.25 kwa mfano.....na dronedrake amesema x= 3,28

Haya tuzitie kwenye swali
2^(8 - 3.28) = 8 x 3.26
26.35 = 26.24

Haya chaka liko wapi hapa???????
Ngoja nimuite mkali wa maths Mokaze
 
Back
Top Bottom