Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
- Thread starter
-
- #21
Duuuh, mkuu unaongea kwa hisia au kwa kukalilishwa na sio umeutumia ubongo wako ipasavyo heti unasema wote mtaenda mbinguni kila mmoja kwa upande wake inamaana kuna aina zaidi ya moja za mbinguni?Anaye ogopa kifo na asiye ogopa mwisho wote watakufa tu.
Kuhusu kwenda mbinguni, wote tutaenda ila huko zipo pande mbili na kila mmoja atakwenda upande anao stahili kutokana na matendo yake hapa duniani.
Kwahiyo mtu akifa anaenda mbinguni?Kufa si safari ya harusi,, ni kuachana na familia, ndoto, na maisha. Even believers cry not because they doubt heaven, but because love hurts when it’s left behind.
Kwahiyo mtu akifa anaenda mbinguni?
Ukitaka kueleweka, jaribu kutumia reason na siyo matusi ya kifalsafa. Otherwise, you're just shouting into the void thinking it's an audience.Wafia dini ni mbumbumbu, sijui kama watakuelewa.
asante sanaIt depends na mahusiano yake na Mungu yalivyo kuwa.. Kifo siyo ticket ya moja kwa moja kukupeleka huko.
Kama hili usemalo ndio liko hivi basi hakuna yeyote atakaeenda huko mbinguni kwa maana kuna watu walikufa kitambo hata ukienda kufikia kaburi zao unakutana na udongo tu, sasa huyu wakati huo wa ufufuo ili aende mbinguni itakua vipi yani?😅😅Naomba niwape elimu, nini maana ya kifo?
Kifo maana yake ni kutokuwepo kwa maisha kwa mtu na tukisema kuzaliwa maana yake ni kuwepo kwa maisha kwa mtu, hivyo kwasababu hakuwepo akazaliwa yani akapata maisha akifa inamaana ameyapoteza maisha hayo sasa ni vipi mtu huyo aende mbinguni?
Kumekuwa na dhana kuwa mtu akifa anaenda mbinguni, hakuna uthibitisho wa hilo suala, kitu tunachokijua ni kwamba kuna kupata maisha "kuzaliwa" na kupoteza maisha "kufa" hakuna kitu kingine dhana hii inaushahidi hata tukienda kufukua makaburi miili ya walio kufa bado ipo kaburini na imeharibika.
Inamaana mda wote mtu akifa anabaki kaburini akiharibika na sio anaenda mbinguni huwezi kwenda mbinguni ikiwa hauna "uhai" hauna "maisha" kwani mbinguni ni sehemu ya wafu au walio hai ? jibu ni kwa walio hai.
Vitabu vya dini Quran na biblia vinathibitisha kuwa mungu atakuja duniani na atafufua watu wake kwanza ndio aendenao mbinguni wakiwa hai, atawafufua na miili yao iliyo haribika na kurudi kuwa wazima tena hato chukua maiti. sasa jiulize huku kufa kwa maiti kisha iende mbinguni inamaana mbinguni ni wafu, ni vipi utaenda mbinguni wakati umekufa ?
Je kuna kunyakuliwa kiroho bila mwili mtu akifa kwenda mbinguni? hili ni swali la msingi sana.
Kwanza tuangalie vitabu vya dini maarufu vinasemaje kuhusu hili, vitabu vya dini vikubwa kama Quran na biblia vinasema mungu atakuja kufufua wafu kisha watenda mbinguni inamaana hiii dhana ya kunyakuwa mtu kiroho akifa sio ya kweli labda naomba nifafanue.
Wanadamu au binadamu maana yake ni viumbe vilivyoumbwa duniani na wanasifa za kuwa na mwili wa nyama hii inaushahidi wa kiuhalisia katika uhalisia mwanadamu ni mwili bila mwili yeye hawezi kuishi, ndio maana vitabu vya dini vinasema wafu watafufuliwa yani watarudishwa miili yao kwanza.
Kwahiyo hatuwezi kusema mtu atoke kiroho aende mbinguni alafu tuseme yeye bado ni mwanadamu, hapana mwanadamu ni kiumbe wa mwili na nyama, hivyo ni kitu kisichowezekana au kueleweka wala hakina ushahidi wowote.
Mfano uislam wanasema mtu akifa anaenda mbinguni ingali mwili wake bado upo kaburini na wanasema anaenda mbinguni kupewa bikra sabini na mbili sasa atapewaje bikra sabini na mbili wakati hana mwili hana mikono hana sehemu za siri, hana mishipa ya hisia mwili wake upo duniani kaburini bado na amesha kufa wala hayupo hai tena.
Na kuna baadhi ya dini za kikristo pia yanadai mtu akifa anenda mbinguni huwezi kwenda mbinguni ikiwa umekufa, mfano yesu alikufa lakini hakuenda mbinguni akiwa amekufa bali alifufuka kwanza na kwenda mbinguni, huu ni ushahidi wenye nguvu kuwa huwezi kwenda mbinguni ukiwa umekufa au huwezi kwenda mbinguni ikiwa mwili wako bado upo kaburini unaharibika na kuoza, ili mtu aende mbinguni lazima hawe hai kwanza.
Asante sana!
sio wote wanakufa kwa kuacha mabaki lakini kama alihifadhiwa vizuri lazima mifupa iwepo na inategemea na aina ya mazingira mifupa inaweza kuwa vumbi tu,Kama hili usemalo ndio liko hivi basi hakuna yeyote atakaeenda huko mbinguni kwa maana kuna watu walikufa kitambo hata ukienda kufikia kaburi zao unakutana na udongo tu, sasa huyu wakati huo wa ufufuo ili aende mbinguni itakua vipi yani?😅😅
Sasa hapo anafufuliwaje mkuu wakati mtu amekua vumbi na wakati huo huo umesema haiwezekani mtu kwenda huko mbinguni bila mwili? Kuna andiko lolote ambalo linasimamia hii hoja yako?sio wote wanakufa kwa kuacha mabaki lakini kama alihifadhiwa vizuri lazima mifupa iwepo na inategemea na aina ya mazingira mifupa inaweza kuwa vumbi tu,
Na kama amekufa kwa bomu kubwa mwili wake utakuwa vumbi tu, lakini suala la kufufuliwa linawezekana kwani mabaki ya mavumbi bado lazima yapo
Una uthibitisho kuwa mtu akifa haendi mbinguni? Wasaidie basiKazi kweli kweli, nimesema hakuna uthibitisho wa mtu akifa kwenda mbinguni na sio sina uthibitisho mtu akifa haendi mbinguni nimetoa mifano ya mabaki ya maiti kwenye makaburi umeelewa?
Kwani mtu akifa anajua kwamba kafa hadi aamue alie au asilie?Kumbuka, hao wanaolia sio waliokufa. Aliyekufa hajutii kufa ndio maana halii
Uthibitisho ni makabaki ya watu kaburini ni uthibitisho hawajaenda na wewe thibitisha wakifa wanaenda mbinguni?Una uthibitisho kuwa mtu akifa haendi mbinguni? Wasaidie basi
Hakuna sehemu nimesema watu wakifa wanaenda mbinguni!Uthibitisho ni makabaki ya watu kaburini ni uthibitisho hawajaenda na wewe thibitisha wakifa wanaenda mbinguni?
asante sana mkuu itabidi tuweke imani kwenye ushahidi na sio nadharia kwani mtu anaweza kukudanganyaHakuna sehemu nimesema watu wakifa wanaenda mbinguni!
Amini unachoaminiHayo maneno sio ya biblia nime toa mifano kwanini yesu hakuacha mwili alifufuka kwanza kisha akaenda mbinguni unataka kuniambia kama mbinguni kuna mwili mwengine inamaana yesu watakuwa wawili mbinguni hebu fungua akili kidogo.
hayo maneno kwenye biblia hakuna mimi biblia naijua vizuri ni uongo, hebu pia nikuongezee mfano wa yesu kurudi mara ya pili kwenye ufunuo wa yohana anasema atafufua watu, kwanza kisha watavikwa mavazi meupe kisha ndio safari mbinguni.
jiulize kama kuna mwili mwengine mbinguni yesu anakuja kufufua watu wa kazi gani ?
Amini unachoamini, hakuna haja ya kubishanaHayo maneno sio ya biblia nime toa mifano kwanini yesu hakuacha mwili alifufuka kwanza kisha akaenda mbinguni unataka kuniambia kama mbinguni kuna mwili mwengine inamaana yesu watakuwa wawili mbinguni hebu fungua akili kidogo.
hayo maneno kwenye biblia hakuna mimi biblia naijua vizuri ni uongo, hebu pia nikuongezee mfano wa yesu kurudi mara ya pili kwenye ufunuo wa yohana anasema atafufua watu, kwanza kisha watavikwa mavazi meupe kisha ndio safari mbinguni.
jiulize kama kuna mwili mwengine mbinguni yesu anakuja kufufua watu wa kazi gani ?
asante sana mkuuAmini unachoamini
Amini unachoamini, hakuna haja ya kubishana