IvoUkitaka kueleweka, jaribu kutumia reason na siyo matusi ya kifalsafa. Otherwise, you're just shouting into the void thinking it's an audience.
Wewe kama kuoga maji kunafanya uwe safi, kwanini unaona shida kuoga maji baridi ukiwa Njombe?Naomba niwape elimu, nini maana ya kifo?
Kifo maana yake ni kutokuwepo kwa maisha kwa mtu na tukisema kuzaliwa maana yake ni kuwepo kwa maisha kwa mtu, hivyo kwasababu hakuwepo akazaliwa yani akapata maisha akifa inamaana ameyapoteza maisha hayo sasa ni vipi mtu huyo aende mbinguni?
Kumekuwa na dhana kuwa mtu akifa anaenda mbinguni, hakuna uthibitisho wa hilo suala, kitu tunachokijua ni kwamba kuna kupata maisha "kuzaliwa" na kupoteza maisha "kufa" hakuna kitu kingine dhana hii inaushahidi hata tukienda kufukua makaburi miili ya walio kufa bado ipo kaburini na imeharibika.
Inamaana mda wote mtu akifa anabaki kaburini akiharibika na sio anaenda mbinguni huwezi kwenda mbinguni ikiwa hauna "uhai" hauna "maisha" kwani mbinguni ni sehemu ya wafu au walio hai ? jibu ni kwa walio hai.
Vitabu vya dini Quran na biblia vinathibitisha kuwa mungu atakuja duniani na atafufua watu wake kwanza ndio aendenao mbinguni wakiwa hai, atawafufua na miili yao iliyo haribika na kurudi kuwa wazima tena hato chukua maiti. sasa jiulize huku kufa kwa maiti kisha iende mbinguni inamaana mbinguni ni wafu, ni vipi utaenda mbinguni wakati umekufa ?
Je kuna kunyakuliwa kiroho bila mwili mtu akifa kwenda mbinguni? hili ni swali la msingi sana.
Kwanza tuangalie vitabu vya dini maarufu vinasemaje kuhusu hili, vitabu vya dini vikubwa kama Quran na biblia vinasema mungu atakuja kufufua wafu kisha watenda mbinguni inamaana hiii dhana ya kunyakuwa mtu kiroho akifa sio ya kweli labda naomba nifafanue.
Wanadamu au binadamu maana yake ni viumbe vilivyoumbwa duniani na wanasifa za kuwa na mwili wa nyama hii inaushahidi wa kiuhalisia katika uhalisia mwanadamu ni mwili bila mwili yeye hawezi kuishi, ndio maana vitabu vya dini vinasema wafu watafufuliwa yani watarudishwa miili yao kwanza.
Kwahiyo hatuwezi kusema mtu atoke kiroho aende mbinguni alafu tuseme yeye bado ni mwanadamu, hapana mwanadamu ni kiumbe wa mwili na nyama, hivyo ni kitu kisichowezekana au kueleweka wala hakina ushahidi wowote.
Mfano uislam wanasema mtu akifa anaenda mbinguni ingali mwili wake bado upo kaburini na wanasema anaenda mbinguni kupewa bikra sabini na mbili sasa atapewaje bikra sabini na mbili wakati hana mwili hana mikono hana sehemu za siri, hana mishipa ya hisia mwili wake upo duniani kaburini bado na amesha kufa wala hayupo hai tena.
Na kuna baadhi ya dini za kikristo pia yanadai mtu akifa anenda mbinguni huwezi kwenda mbinguni ikiwa umekufa, mfano yesu alikufa lakini hakuenda mbinguni akiwa amekufa bali alifufuka kwanza na kwenda mbinguni, huu ni ushahidi wenye nguvu kuwa huwezi kwenda mbinguni ukiwa umekufa au huwezi kwenda mbinguni ikiwa mwili wako bado upo kaburini unaharibika na kuoza, ili mtu aende mbinguni lazima hawe hai kwanza.
Asante sana!
Nani kakuambia mtu akifa anaenda mbinguni ? .....labda useme wachamungu watakatifu ndiyo wameelezwa kuwa watakwenda mbinguni kwa wakati uliokubalika....pia vilio vipo vya sababu mbali mbali ...nabii elisha alilia alipo muona nabii elia akichukuliwa kwenda mbinguni.Naomba niwape elimu, nini maana ya kifo?
Kifo maana yake ni kutokuwepo kwa maisha kwa mtu na tukisema kuzaliwa maana yake ni kuwepo kwa maisha kwa mtu, hivyo kwasababu hakuwepo akazaliwa yani akapata maisha akifa inamaana ameyapoteza maisha hayo sasa ni vipi mtu huyo aende mbinguni?
Kumekuwa na dhana kuwa mtu akifa anaenda mbinguni, hakuna uthibitisho wa hilo suala, kitu tunachokijua ni kwamba kuna kupata maisha "kuzaliwa" na kupoteza maisha "kufa" hakuna kitu kingine dhana hii inaushahidi hata tukienda kufukua makaburi miili ya walio kufa bado ipo kaburini na imeharibika.
Inamaana mda wote mtu akifa anabaki kaburini akiharibika na sio anaenda mbinguni huwezi kwenda mbinguni ikiwa hauna "uhai" hauna "maisha" kwani mbinguni ni sehemu ya wafu au walio hai ? jibu ni kwa walio hai.
Vitabu vya dini Quran na biblia vinathibitisha kuwa mungu atakuja duniani na atafufua watu wake kwanza ndio aendenao mbinguni wakiwa hai, atawafufua na miili yao iliyo haribika na kurudi kuwa wazima tena hato chukua maiti. sasa jiulize huku kufa kwa maiti kisha iende mbinguni inamaana mbinguni ni wafu, ni vipi utaenda mbinguni wakati umekufa ?
Je kuna kunyakuliwa kiroho bila mwili mtu akifa kwenda mbinguni? hili ni swali la msingi sana.
Kwanza tuangalie vitabu vya dini maarufu vinasemaje kuhusu hili, vitabu vya dini vikubwa kama Quran na biblia vinasema mungu atakuja kufufua wafu kisha watenda mbinguni inamaana hiii dhana ya kunyakuwa mtu kiroho akifa sio ya kweli labda naomba nifafanue.
Wanadamu au binadamu maana yake ni viumbe vilivyoumbwa duniani na wanasifa za kuwa na mwili wa nyama hii inaushahidi wa kiuhalisia katika uhalisia mwanadamu ni mwili bila mwili yeye hawezi kuishi, ndio maana vitabu vya dini vinasema wafu watafufuliwa yani watarudishwa miili yao kwanza.
Kwahiyo hatuwezi kusema mtu atoke kiroho aende mbinguni alafu tuseme yeye bado ni mwanadamu, hapana mwanadamu ni kiumbe wa mwili na nyama, hivyo ni kitu kisichowezekana au kueleweka wala hakina ushahidi wowote.
Mfano uislam wanasema mtu akifa anaenda mbinguni ingali mwili wake bado upo kaburini na wanasema anaenda mbinguni kupewa bikra sabini na mbili sasa atapewaje bikra sabini na mbili wakati hana mwili hana mikono hana sehemu za siri, hana mishipa ya hisia mwili wake upo duniani kaburini bado na amesha kufa wala hayupo hai tena.
Na kuna baadhi ya dini za kikristo pia yanadai mtu akifa anenda mbinguni huwezi kwenda mbinguni ikiwa umekufa, mfano yesu alikufa lakini hakuenda mbinguni akiwa amekufa bali alifufuka kwanza na kwenda mbinguni, huu ni ushahidi wenye nguvu kuwa huwezi kwenda mbinguni ukiwa umekufa au huwezi kwenda mbinguni ikiwa mwili wako bado upo kaburini unaharibika na kuoza, ili mtu aende mbinguni lazima hawe hai kwanza.
Asante sana!
Hujawai kusikia watu wenye imani za mtu akifa anaenda mbinguni?Nani kakuambia mtu akifa anaenda mbinguni ? .....labda useme wachamungu watakatifu ndiyo wameelezwa kuwa watakwenda mbinguni kwa wakati uliokubalika....pia vilio vipo vya sababu mbali mbali ...nabii elisha alilia alipo muona nabii elia akichukuliwa kwenda mbinguni.
Uelewa wako wa masuala ya kiroho ni finyu. Mtu ana sehemu tatu. Roho, Nafsi na Mwili. Sasa mtazamo wako ni wa kimwili tu.Naomba niwape elimu, nini maana ya kifo?
Kifo maana yake ni kutokuwepo kwa maisha kwa mtu na tukisema kuzaliwa maana yake ni kuwepo kwa maisha kwa mtu, hivyo kwasababu hakuwepo akazaliwa yani akapata maisha akifa inamaana ameyapoteza maisha hayo sasa ni vipi mtu huyo aende mbinguni?
Kumekuwa na dhana kuwa mtu akifa anaenda mbinguni, hakuna uthibitisho wa hilo suala, kitu tunachokijua ni kwamba kuna kupata maisha "kuzaliwa" na kupoteza maisha "kufa" hakuna kitu kingine dhana hii inaushahidi hata tukienda kufukua makaburi miili ya walio kufa bado ipo kaburini na imeharibika.
Inamaana mda wote mtu akifa anabaki kaburini akiharibika na sio anaenda mbinguni huwezi kwenda mbinguni ikiwa hauna "uhai" hauna "maisha" kwani mbinguni ni sehemu ya wafu au walio hai ? jibu ni kwa walio hai.
Vitabu vya dini Quran na biblia vinathibitisha kuwa mungu atakuja duniani na atafufua watu wake kwanza ndio aendenao mbinguni wakiwa hai, atawafufua na miili yao iliyo haribika na kurudi kuwa wazima tena hato chukua maiti. sasa jiulize huku kufa kwa maiti kisha iende mbinguni inamaana mbinguni ni wafu, ni vipi utaenda mbinguni wakati umekufa ?
Je kuna kunyakuliwa kiroho bila mwili mtu akifa kwenda mbinguni? hili ni swali la msingi sana.
Kwanza tuangalie vitabu vya dini maarufu vinasemaje kuhusu hili, vitabu vya dini vikubwa kama Quran na biblia vinasema mungu atakuja kufufua wafu kisha watenda mbinguni inamaana hiii dhana ya kunyakuwa mtu kiroho akifa sio ya kweli labda naomba nifafanue.
Wanadamu au binadamu maana yake ni viumbe vilivyoumbwa duniani na wanasifa za kuwa na mwili wa nyama hii inaushahidi wa kiuhalisia katika uhalisia mwanadamu ni mwili bila mwili yeye hawezi kuishi, ndio maana vitabu vya dini vinasema wafu watafufuliwa yani watarudishwa miili yao kwanza.
Kwahiyo hatuwezi kusema mtu atoke kiroho aende mbinguni alafu tuseme yeye bado ni mwanadamu, hapana mwanadamu ni kiumbe wa mwili na nyama, hivyo ni kitu kisichowezekana au kueleweka wala hakina ushahidi wowote.
Mfano uislam wanasema mtu akifa anaenda mbinguni ingali mwili wake bado upo kaburini na wanasema anaenda mbinguni kupewa bikra sabini na mbili sasa atapewaje bikra sabini na mbili wakati hana mwili hana mikono hana sehemu za siri, hana mishipa ya hisia mwili wake upo duniani kaburini bado na amesha kufa wala hayupo hai tena.
Na kuna baadhi ya dini za kikristo pia yanadai mtu akifa anenda mbinguni huwezi kwenda mbinguni ikiwa umekufa, mfano yesu alikufa lakini hakuenda mbinguni akiwa amekufa bali alifufuka kwanza na kwenda mbinguni, huu ni ushahidi wenye nguvu kuwa huwezi kwenda mbinguni ukiwa umekufa au huwezi kwenda mbinguni ikiwa mwili wako bado upo kaburini unaharibika na kuoza, ili mtu aende mbinguni lazima hawe hai kwanza.
Asante sana!
Imani zilizo potoshwa hizo ni sawa na wakristo wanavyo potosha kuwa yesu alienda kuzimu baada ya kufa na kutoka kuzimu siku ya 3 kwa kufufukq ...huu ni uongo hakuna kitu kama hicho kwenye injili ....tatizo wakristo awajui kuzimu ni wapi?Hujawai kusikia watu wenye imani za mtu akifa anaenda mbinguni?
Ushawahi kufiwa?Naomba niwape elimu, nini maana ya kifo?
Kifo maana yake ni kutokuwepo kwa maisha kwa mtu na tukisema kuzaliwa maana yake ni kuwepo kwa maisha kwa mtu, hivyo kwasababu hakuwepo akazaliwa yani akapata maisha akifa inamaana ameyapoteza maisha hayo sasa ni vipi mtu huyo aende mbinguni?
Kumekuwa na dhana kuwa mtu akifa anaenda mbinguni, hakuna uthibitisho wa hilo suala, kitu tunachokijua ni kwamba kuna kupata maisha "kuzaliwa" na kupoteza maisha "kufa" hakuna kitu kingine dhana hii inaushahidi hata tukienda kufukua makaburi miili ya walio kufa bado ipo kaburini na imeharibika.
Inamaana mda wote mtu akifa anabaki kaburini akiharibika na sio anaenda mbinguni huwezi kwenda mbinguni ikiwa hauna "uhai" hauna "maisha" kwani mbinguni ni sehemu ya wafu au walio hai ? jibu ni kwa walio hai.
Vitabu vya dini Quran na biblia vinathibitisha kuwa mungu atakuja duniani na atafufua watu wake kwanza ndio aendenao mbinguni wakiwa hai, atawafufua na miili yao iliyo haribika na kurudi kuwa wazima tena hato chukua maiti. sasa jiulize huku kufa kwa maiti kisha iende mbinguni inamaana mbinguni ni wafu, ni vipi utaenda mbinguni wakati umekufa ?
Je kuna kunyakuliwa kiroho bila mwili mtu akifa kwenda mbinguni? hili ni swali la msingi sana.
Kwanza tuangalie vitabu vya dini maarufu vinasemaje kuhusu hili, vitabu vya dini vikubwa kama Quran na biblia vinasema mungu atakuja kufufua wafu kisha watenda mbinguni inamaana hiii dhana ya kunyakuwa mtu kiroho akifa sio ya kweli labda naomba nifafanue.
Wanadamu au binadamu maana yake ni viumbe vilivyoumbwa duniani na wanasifa za kuwa na mwili wa nyama hii inaushahidi wa kiuhalisia katika uhalisia mwanadamu ni mwili bila mwili yeye hawezi kuishi, ndio maana vitabu vya dini vinasema wafu watafufuliwa yani watarudishwa miili yao kwanza.
Kwahiyo hatuwezi kusema mtu atoke kiroho aende mbinguni alafu tuseme yeye bado ni mwanadamu, hapana mwanadamu ni kiumbe wa mwili na nyama, hivyo ni kitu kisichowezekana au kueleweka wala hakina ushahidi wowote.
Mfano uislam wanasema mtu akifa anaenda mbinguni ingali mwili wake bado upo kaburini na wanasema anaenda mbinguni kupewa bikra sabini na mbili sasa atapewaje bikra sabini na mbili wakati hana mwili hana mikono hana sehemu za siri, hana mishipa ya hisia mwili wake upo duniani kaburini bado na amesha kufa wala hayupo hai tena.
Na kuna baadhi ya dini za kikristo pia yanadai mtu akifa anenda mbinguni huwezi kwenda mbinguni ikiwa umekufa, mfano yesu alikufa lakini hakuenda mbinguni akiwa amekufa bali alifufuka kwanza na kwenda mbinguni, huu ni ushahidi wenye nguvu kuwa huwezi kwenda mbinguni ukiwa umekufa au huwezi kwenda mbinguni ikiwa mwili wako bado upo kaburini unaharibika na kuoza, ili mtu aende mbinguni lazima hawe hai kwanza.
Asante sana!
kwahiyo mtu akifa anaenda mbinguni? mfano wangu wakimwili wakati nimegusia vitabu vya kidini tayari hivyo vitabu vya kidini sio vitabu vya kiroho ? inasikitisha sana mbumbumbu anamuita mwelevu hajui pengine hujui unachotaka kukijenga niongelee masuala ya kidini alafu nisiwe nimegusa mambo ya kiimani kweli?Uelewa wako wa masuala ya kiroho ni finyu. Mtu ana sehemu tatu. Roho, Nafsi na Mwili. Sasa mtazamo wako ni wa kimwili tu.
ndio mkuuUshawahi kufiwa?
Ndio unataka kusema nini mkuu ?Roho i radhi lakini mwili ni dhaifu.
duuh, asante sana kwa mchango wako inamaana mwanadamu akifa anabadilika anakuwa wadudu ?Baada ya kifo maisha huendelea tunacho badilika ni maumbile tu. Hushangai mtu akifa mwili huoza na kutoa wadudu (viumbe hai) hao wadudu ni wewe, tena ni chakula cha viumbe wengine, ni mzunguko kama mchezo wa kombolela-we are not perish
Kuzaliwa ni kuletwa duniani na kufa ni kuondoka duniani .hebu tuongee kama watu wenye akili zetu timamu,
Hivi kufa na kuzaliwa ni nini ?
unaweza kuletwa duniani wakati tayari mavumbi yaliyokuunda yapo ??Kuzaliwa ni kuletwa duniani na kufa ni kuondoka duniani .
Au hilo pia linahitaji maombi kujuwa?