Kama mtu anakopa benki 5 tofauti za Tanzania na akaweza kukimbia nchi bila kugundulika ni ishara kwamba TISS na vyombo vingine vimelala

  • Amekula urefu wa kamba!
  • Je kiongozi wetu amesema tufanyeje?
  • Siku chache zilizopita kulikuwa na tafrija za 'birthday' ya miaka 2.
Nikiangalia video ya raisi akizungumza wazee wote wamekaa wamwangalai tu raisi inatia hata huruma, mama aongea wee wapi yapita sikio hili latokea sikio lile.
Asema wakayafanyie kazi hayo yote yalotokea.
 

To be honest Taasisi zetu Nyeti nazo zijitafakari , Inatia hasira sana nchi inakopa hela nyingi, wanainchi tunatozwa kodi kwenye hela ambayo tayari ishatozwa kodi then Hawahawa tuliowapa wadhifa wanazitapanya & no effective action to be taken, Kwa namna hii ni ngumu mno kumshawishi mtu aendelee kuwa mzalendo wakati yanayondelea ni upuuzi mtupu
 
Kwa rundo la sheria zilizotungwa fastafasta, kumtaja mhalifu ni sawa na kumkashifu Mungu
Raisi kasema yaitwa mikopo chechefu na ni si benki binafsi ni hizi benki kubwa.

Raisi asema jamaa dhamana aloziweka zote ni fake.

Mikopo chechefu itachechemea mpaka tujirekebishe maana nchi nayo itachechemea.
 
Hivi hizo bank ni za serikali au??
 
Utasikia lishoga limoja la huko kazulamimba ambalo halijapiga mswaki mwaka mzima linaropoka na domo lake baada ya kula viazi na maharage , "unatukana serikali na taasisi zake " , taahira kabisa .
Hizi akili watz sijui ni mtindio wa akili uliosababishwa na kula ugali sana ? ,Maana si bure kabisa , something is horrorbly wrong with niggas on this country
 
Mnashangaa nini walielekezwa kuerefusha vipindi vya ccm kuendelea kutawala nchi na kujichotea mihela yetu ya kodi
 
Watu kadhaa wakifanya huo umafia na kudefault hiyo mikopo ,banking system ya hii nchi ina collapse , kama mnavyoona huko Lebanon ,Pakistan NK yanayoendelea huko , na hapo ndio kilio na kusaga meno vitaanza sasa ,maana banking system ni pyramid scheme ,ikitokea kuna syndicates zinakopa pesa ndefu na kupotea mazima hiyo ni loss ya pesa za depositors , ndio ile bank zinaanza kufilisika ,unaenda kuwithdraw pesa yako unaambiwa hamna pesa au wanakupa limit ndogo ya kufanya hivyo
 

Huyo ni mwizi maana kakooa benki tano na kaweka dhamana ya uongo.
 
Endelea kutukana taasisi za serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania dogo,ila ukibanwa engo ndio utajua nini maana ya serikali.

Unaboa. Unajiona wa maana Sana. Serikali yenyewe imejaa wezi, wamebaki kutukana a stupid. Vishikwambi vimeondoka na billion l0 za bure. Halafu unakuja hapa kusema usiitukane serikali, kwanini isituoanwe Kama inachekelea wizi mkubwa hivyo.
 
ikiwa ishu ndgo kiupelelezi kama ya waliompiga marisasi Lissu imewashinda hadi kuwaita "wasiojulikana" hii yenye kuhusu mafeza wataiweza!!! jibu si litakuwa hilohilo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…