Kwa rundo la sheria zilizotungwa fastafasta, kumtaja mhalifu ni sawa na kumkashifu MunguMpaka hapa tumeshindwa kumtaja? Ingekuwa Ile JF yetu ya 2006-2010 hivi ungekuta jina limeshatua hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa rundo la sheria zilizotungwa fastafasta, kumtaja mhalifu ni sawa na kumkashifu MunguMpaka hapa tumeshindwa kumtaja? Ingekuwa Ile JF yetu ya 2006-2010 hivi ungekuta jina limeshatua hapa
Nikiangalia video ya raisi akizungumza wazee wote wamekaa wamwangalai tu raisi inatia hata huruma, mama aongea wee wapi yapita sikio hili latokea sikio lile.
- Amekula urefu wa kamba!
- Je kiongozi wetu amesema tufanyeje?
- Siku chache zilizopita kulikuwa na tafrija za 'birthday' ya miaka 2.
Akili hiyo waitoe wapi hao viande ?,low iq ambao recruitment criteria nin kuwa Kada wa chama cha mazuzu na kubully wapinzani ? ,Hamna majitu mapuuz kama hawa , kwanza awamu ya tano ndio iliwaongeza mediocrity Kwa kuwapa utukufu ambao hawana hao nanga , majitu yanatumika kufanya hujuma kwa wananchi wake badala ya kudeal na core issues ambazo ni kama hizo , wanadeal na innocent citizens ,
Nchi hii kuna syndicates zinafanya financial crimes kila kukicha ila hao misukule wanawaza wakamkamate Mbowe au Lema au mdude wakambinye pumbu na kumfungulia kesi za kubumba ,ndio akili zao zimeishia hapo .
Halafu kipande mmoja kavimbiwa viazi na maharage anakuja kuropoka hapa mafi mafi , wasted sperms kabisa ,bora hata baba zao wangepiga puchu tu ikajulikana
Raisi kasema yaitwa mikopo chechefu na ni si benki binafsi ni hizi benki kubwa.Kwa rundo la sheria zilizotungwa fastafasta, kumtaja mhalifu ni sawa na kumkashifu Mungu
Hivi hizo bank ni za serikali au??Nimeshangaa zaidi Rais ameshindwa hata kumtaja huyo mwizi, tutajie mwizi wa pesa zetu tumjue, sioni sababu ya kumficha hata kama ni masuala ya kiusalama.
Siku hizi kuna interpol, wape information wafanye kazi yao, kuliko kutuambia tu kuna mtu amekopa benki tano akakimbia, naona ni bora angekaa kimya kabisa.
Wamarekani wanalizwa kila siku na wanigeriaHata wewe unaweza ukakopa marekani na kukimbilia Tanzania.CIA sijui TISS siyo mungu na siyo kila kitu kinawahusu.
Utasikia lishoga limoja la huko kazulamimba ambalo halijapiga mswaki mwaka mzima linaropoka na domo lake baada ya kula viazi na maharage , "unatukana serikali na taasisi zake " , taahira kabisa .To be honest Taasisi zetu Nyeti nazo zijitafakari , Inatia hasira sana nchi inakopa hela nyingi, wanainchi tunatozwa kodi kwenye hela ambayo tayari ishatozwa kodi then Hawahawa tuliowapa wadhifa wanazitapanya & no effective action to be taken, Kwa namna hii ni ngumu mno kumshawishi mtu aendelee kuwa mzalendo wakati yanayondelea ni upuuzi mtupu
Huyu mtu analaumiwa kwa lipi hasa, kakopa siyo kaiba, nasema tena kakopa, tena kakopa mchana kweupe na jua linawaka. Sasa kama halipi madeni yake si mali alizoweka rehani ziuzwe ??? Na kama analipa madeni yake kelele za nini? Kama sheria inakataza kukopa zaidi ya benki moja, basi hapo kuna tatizo. Lakini sheria kama iko kimyaa tusipoteze muda humu kujadili vitu vilivyofanywa kisheria.
Tuhangaike na wale wa billions za ndege ya mizigo ambao wako mkononi mwa Rais. Namtafuta anifundishe kukopa benki zaidi ya kumi na mimi nifaidi looh
Endelea kutukana dogo ukadhani kwa ID yako hiyo umejifichaa,ila hii platform inamilikiwa na Max na analipa kodi sehemu husika.Sasa wewe endelea kuitukana taasisi(TISS).Ila baadae ukibanwa unaanza kulia lia.
Issue sio mimi,bali kauli za kuitukana TISS waga zina matokeo yake.ID fake haikufichi usijulikane.
Ipo siku,,,,endelea kuvuka red lines kwa kuzitukana taasisi za serikali.
Endelea kutukana taasisi za serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania dogo,ila ukibanwa engo ndio utajua nini maana ya serikali.
Duh,huyo jamaa atakuwa kapewa ushirikiano na watu wa ndaniDhamana ilikuwa fake.
ikiwa ishu ndgo kiupelelezi kama ya waliompiga marisasi Lissu imewashinda hadi kuwaita "wasiojulikana" hii yenye kuhusu mafeza wataiweza!!! jibu si litakuwa hilohilo?![]()
Jana, raisi wa Jamhuri ya Muungano na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania kaeleza kwamba kuna mtu amekopa benki 5 au 6 tofauti za Tanzania na hajulikani alipo, yaani amekimbia na kutoka nchini.
Sasa huu ni mtihani kwa TISS, vyombo vya fedha, uhamiaji na wizara ya mambo ya ndani kwa ujumla.
Haiwezekani mtu mmoja akafanya jambo hilo zito na asepe kilaini hivyo hiyo ni ishara tosha kwamba idara yetu ya usalama na vyombo vingine vimelala au vimejiruhusu kupwaya kupita kiasi.
Lakini mimi ntaikosoa zaidi idara ya usalama kwani yenyewe ndio yaweza kuchagiza shughuli zote za ulinzi na usalama wa nchi.
Natambua idara hii ina uwezo mkubwa tu ina maofisa mahiri tu ambao wamepata mafunzo ndani na nje ya nchi hivyo wana ueledi, umahiri, uerevu na kila aina ya mbinu za kimkakati na kimedani kuhakikisha nchi yetu ipo salama.
Leo hii shirika la ujasusi wa ndani la Russia la FSB limetangaza kumshikilia mwandishi wa jarida la Wall Street Journal kwa madai ya kujihusisha na ujasusi wa ndani yaani kwa kiingereza twasema "Espionage".
Hiyo ni kazi ya majasusi wa ndani ya Russia yaani "Counter Espionage Agents" ambao wapo macho masaa 24 kulinda nchi, mali zake au "Assets" na miundombinu yake na wananchi kwa ujumla.
Sasa ni wakati wa idara yetu ya usalama wa Taifa kujipambanua kumtafuta huyu mwizi wa fedha zetu ambazo zimehifadhiwa kwenye mabenki zikiwa ni akaunti za watu na mitaji pia. Ni wakati wa kushirikiana na vyombo ya ulinzi na usalama vya nchi jirani na pia ni wakati wa kumtambua mtu huyo ambae ni wazi atakuwa alikuwa na pasi ya kusafiria, makabrasha mbalimbali yanoonyesha anuani zake na kadhalika hata kama ni "fake documents".
Kuhusu mabenki yetu nina imani kwa wana taratibu zote kali ambazo ni lazima mkopaji azifuate na kwenye hili ni lazima iwe ni "inside job" wafanyakazi walohusika ni lazima wapatikane kabla ya Jumaa.
Niliwahi kutoa mapendekezo huko nyuma kuhusu kuifanyia mabadiliko idara ya usalama wa taifa Mapendekezo: Serikali ipitie upya Sheria ya Usalama wa Taifa na TISS iundwe upya kwa maslahi ya taifa na nikzaeleza kwa upana wake.
Pia niliwahi kueleza kwamba wapo watu watembea na wallet tu Mtu anaesafiri kwenda nje kila siku lakini anabeba wallet na passport tu, utamfikiriaje? na hawa huenda ni wale ambao huenda sehemu kufanya machafuko kama uporaji fedha katika taasisi za fedha bila kugundulika na hii ni hatari kwa taifa.
Na pia nikawahi kutoa wazo kama nchi yetu ipo tayari kwa vita vya kijasusi wa uchumi katika mada hii Ujasusi wa Kiuchumi na Kiteknolojia unakuwa kwa kasi, Je Tanzania iko tayari ambapo yawezekana kabisa huyu mtu aliefanya wizi huu wa kughushi ni wale akina Carlos Jackal ambae alikuwa na uwezo wa kuingia katika nchi yoyote na kumaliza kazi kisha kujiondokea asijulikane.
Carlos alikuwa ni jasusi ambae alifunzwa kulelewa na kuwa alipwa ujira na idara ya kijasusi ya Russia ya wakati huo KGB na kazi zake hazikuwa na mfano.
Lakini mtu huyu ambae amehusika na wizi wa mabilioni ya shilingi si wa aina ya Carlos Jackal lakini aweza kuwa ni mhalifu wa kimataifa na huenda akarudi tena.
Hivyo Idara yetu ya TISS iamke isijisahau kwani majukumu yake si ya kisiasa bali ni ulinzi madhubuti wa nchi yetu vikiwemo vyombo vyetu vya fedha ambavyo kwa kushirikiana na vyombo vingine kama Uhamaji na hata huko nje Interpol tayari mtu huyu angekuwa yupo kwenye "Wanted List".
Kazi ya TISS ni kufuatilia na kutoa taarifa kwenye mamlaka husika shida hizo mamlaka hazichukui hatua ,hivyo wakati nwingine tiss tunawalaumu bureKila siku nasema hapa teeth ni overrated