Kama Mungu hayupo, binadamu katokea wapi?


Sawa akili yang fupi.

Yako ndefu?

Mbona hujaweza kuthibitisha kwamba mugu yupo?
 
Kwani wewe ulichoandika kimethibitisha wapi

That is beside the question. Unasema mungu yupo, unaweza kuthibitisha?

Anayebisha hahitaji kuthibitisha.

Anayesema mungu hayupo jawezi kithibitisha, kwa sababu visibyopo havithibitishiki, kwa sababubhavipo iki kuthibitishika.

Wewe unayesema mungu yupo, unaweza kuthibitisha?
 

Bro mungu achunguzwi siri yake anajua mwenyw ukitaka kuamin mungu jarbu kuwa unawaza hizi nguvu za kichawi nazo ni by nature o kuna kitu behind cpend tumjadili muumba na yy hapendi xo tuyaache ka yalivo cku ukifa ndo utaamini yupo au hayupo we c kiburi
 

1. Kusema "mungu hachunguzwi, siri yake anajua mwenyewe" ni "a priori" proposition. Hujathibitisha mungu yupo, umerahisisha jambo kwa kujubali tu bila kuthibitisha. Kibaya zaidi, ushajikubalisha kwamba hamna njia ya kumchunguza mungu.

2. Nguvu za kichawi ni zipi? Muandishi wa hekaya za kisayansi wa Kiingwreza, Arthur C. Clarke, alikuwa na kanuni yake moja inayosema "Any sufficiently advanced technology is indistinguishable from magic". Sasa wewe utahuaje kwamba unachofikiri ni uchawi leo si kitu ambacho kinaelezeka tu bila haja ya uchawi? Babu zetu wa miaka mia tano iliyopita wangekutana na marubanibwa leo wanaorusha nxege na kuambiwa huu ni uchawi, wangekubali kwamba ni uchawi na hilo lingetisha kuoneaha kwamba mungu yupo?

Na hata kama uchawi upo, kwa nininiwe lazima kwamba kuwepoblwa uchawi kuwe uthibitisho wa kuwepo kwa mungu?
 
kwani #Kiranga unamatatizo gani?

Kwa nini unafikiri nina matatizo?

Je kufikiri nina matatizo na kuniuliza nina matatizo gani bila hata kuna haja ya kuhalalisha swali lako kwamba nina matatizo gani si tatizo?

Nani ana matatizo sasa kati yangu mimi na wewe?
 
Kwa nini unafikiri nina matatizo?

Je kufikiri nina matatizo na kuniuliza nina matatizo gani bila hata kuna haja ya kuhalalisha swali lako kwamba nina matatizo gani si tatizo?

Nani ana matatizo sasa kati yangu mimi na wewe?

unataka ushahidi gani wa kuthibitisha uwepo wa mungu?
 
Kama upi nikuthibitishie?

Mimi nakuomba wewe unipe ushahidi wa kuwapo mungu halafu wewe unaniuliza mimi kama upi tena?

Unaelewa ulichoandika hapo?

Nimekupa nafasi unipe ushahidi wa kuwapo kwa mungu usioweza kuoneshwa kwamba umepwaya wala kupingika.

Unaujua ushahidi wa aina hiyo?
 

Ushahidi upo ila kwa mgumu kuelewa kama wewe itachukua muda mrefu kujua wapi umekwama ili nikueleweshe kwa ushahidi ndio maana nikakuuliza unahitaji kama ushahidi upi? acha kukoroga maneno nataka nikusaidie leo
 
Umbo la binadam ukilitafakali kwa kina tu unaweza tambua yakuwa kuna muumbaji na si mwengine bali yule alieuweka usiku na pia mchana sasa ni kweri hauamin tu
 
Kuna mambo ya kubishana ila sio yamhusuyo MUNGU, MUUMBA WA VYOTE
 
Umbo la binadam ukilitafakali kwa kina tu unaweza tambua yakuwa kuna muumbaji na si mwengine bali yule alieuweka usiku na pia mchana sasa ni kweri hauamin tu

Hapa unakubali kwamba ukijiangalia unajishangaa/kustaajabu na kukubali kwamba umeumbwa! Kwanini sasa unajitoa ufahamu kwa kusema mungu wako hajaumbwa wakati yeye ndio wa utata kuliko binadamu? Wewe wasema umeumbwa, lakini unasema huyo mungu hajaumbwa kisa tu ukisikia jina mungu unaogopa. Lini mtafunguka nyie wapumbavu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…