Kama Mungu hayupo, binadamu katokea wapi?

hilo swali lako ni sawa na kuuliza kati ya yai na kuku kipi kilimtoa mwenzie, mi ninavyojua binadamu mwenyewe ni muumbaji ndio maana kuna nadharia mbalimbali zinazojaribu kuelezea mwanzo wa uumbaji. kwaiyo kila nadharia inajaribu kutoa mwanga lakini bado hatujapata jibu sahihi
 
Hivi kama ni mazingira tu ni kwann isitoke ng'ombe akawa na akili za binaadam kwenye hayo mazingira tofauti?

Wafia dini mnashida kwa kweli. uliskia wapi ng'ombe anaakili?

Jee unataka kuniambia watu wote huzaliwa na akili?
 
Hamna scientific theory iliyojitosheleza kuelezea "origin of life" zote hazijafanikiwa. Mambo ya Mungu HAYACHUNGUZIKI.
 
Musioamini uwepo wa Mungu mumepotea, acheni e mizaha ya namna hii.

Viburi vyenu na pumzi,uzima muliojaaliwa ndio mnaandika mambo ya utani kwa Mungu.

Tuna mifano mingi na miujiza lukuki wala haijapatiwa majibu mpk Leo.
 
kwa hiyo kama haijapatiwa majibu maana yake ni nini!?
 
mkuu ni bora ukatoa maelezo ya kutosha ingefaa zaid, kwa mfano unapotaja tuelewe oksijen,carbon. na utoe maelezo hizo hewa chanzo chake ni kip?

Wewe chanzo cha huyo mungu wako ni nini? Watu wengine bana!
 
Mbona hizo hizo nyuzi unazozingumzia zina majibu ya maswali yako na sina maana kwamba yanajitosheleza ila naona kama unataka kurudia mjadala uleule. Nyuzi za aina hiyo ziko nyingi sana humu na majibu ni yale yale.

Angalia hizi nyuzi.

  1. Kweli Mungu Muweza wa Yote
  2. Ignorant Atheists
  3. Atheists have no reason to fear punishment
  4. Atheism Debunked With (By) Science and Logic
  5. Against the Myth of Satan
  6. Ukweli Kuhusu Mungu
  7. God Not Needed for Creation
  8. God vs Satan / Creation

Hizi zote na nyingine nyingi unaweza kutafuta mwenyewe humu ukizisoma kwa makini utagundua hoja ni zilezile kutoka kila upande na pia utagundua kwamba kuna watu hawana mpango wa kujifunza ziaid ya kubisha tu ili waonekane wana akili sana hususan wale wanaojiita atheists! Kifupi wanadhani wana akili sana kuliko watu wanaoamini katika Mungu.
 
What do you understand about complex systems?

Which publications do you read on a weekly basis?
 
Mbona hizo hizo nyuzi unazozingumzia zina majibu ya maswali yako na sina maana kwamba yanajitosheleza ila naona kama unataka kurudia mjadala uleule. Nyuzi za aina hiyo ziko nyingi sana humu na majibu ni yale yale.

Angalia hizi nyuzi.

  1. Kweli Mungu Muweza wa Yote
  2. Ignorant Atheists
  3. Atheists have no reason to fear punishment
  4. Atheism Debunked With (By) Science and Logic
  5. Against the Myth of Satan
  6. Ukweli Kuhusu Mungu
  7. God Not Needed for Creation
  8. God vs Satan / Creation

Hizi zote na nyingine nyingi unaweza kutafuta mwenyewe humu ukizisoma kwa makini utagundua hoja ni zilezile kutoka kila upande na pia utagundua kwamba kuna watu hawana mpango wa kujifunza ziaid ya kubisha tu ili waonekane wana akili sana hususan wale wanaojiita atheists! Kifupi wanadhani wana akili sana kuliko watu wanaoamini katika Mungu.

Kwa nini unataka kuzuia mjadala katika forum inayojivunia uhuru wa kujieleza?

Katika hizo thread zote ulizolist, kuna hata moja imethibitisha kuwapo kwa mungu?
 
Kwani wewe akili yako inakutuma useme
nini katika hili? Achana na mawazo ya hao
wengine maana hata wewe unaweza kutengeneza
theory yako maana ua a human being kama wao!
 
Unaniuliza alili yangu inanituma niseme nini wakati nilichosema umeninukuu, unajua kusoma?

Nimekuuliza swali hujalijibu.

Katika threads zote hizo, kina hata moja iliyothibitisha kuwepo kwa mungu?
 
Kwa nini unataka kuzuia mjadala katika forum inayojivunia uhuru wa kujieleza?

Katika hizo thread zote ulizolist, kuna hata moja imethibitisha kuwapo kwa mungu?
Are you serious??!! Ninawezaje kuzuia mjadala?!
 
Unaniuliza alili yangu inanituma niseme nini wakati nilichosema umeninukuu, unajua kusoma?

Nimekuuliza swali hujalijibu.

Katika threads zote hizo, kina hata moja iliyothibitisha kuwepo kwa mungu?

Daa ubinadamu kazi, usiendeshwe na hoja za watu
Sema wewe umetokea wapi? Real u agree kuwa hakuna Mungu?
hilo ndo la msingi other wise unachezeshwa ngoma ya mawazo ya
wengine!
 
Hujajibu swali.

Wewe unauemkubali mungu uliyeambiwa na watu tu, ambaye huwezi kumuelezea alivyo, alivyotokea wala sababu zake za kuwapo, ndiye ambaye huendeshwi na hoja za watu?

Nimekuuliza, katika thtead zote hizo kuna inayothibitisha kuwepo kwa mungu?

Swali la mimi kitoka wapi linahusianaje na kuwepo kwa mungu? Unaweza kunipa ihusiano usiopingika kati ya viwili hivi?

Au unarusha "non sequitur" tu bila kutambua?
 
Are you serious??!! Ninawezaje kuzuia mjadala?!

Lwa kuminya uhuru wa mijadala hapa kimawazo, kea kuwaambia watu mjadala huu haufai kuendelea kwani ushajadiliwa hapa na pale.

It's mental, fundamental.
 
Nitaminya vipi uhuru? Wewe ndiye unayetaka kuminya sasa kwa sababu tu hujapenda mawazo yangu! Halafu kama ningekuwa na uwezo huo wewe ungekuwa umeandika hii comment na nyingine zilizokuja baada ya ile comment yangu?!

Sijaona tatizo la kumwambia mtoa mada apitie hizo nyuzi kwa sababu mwisho wa siku anaweza kukubaliana/kutofautiana na mimi. Wewe kama hukubaliani na mimi pia ni sawa unaweza kusema hivyo bila kunituhumu kuminya uhuru wa mawazo kwa sababu mimi na wewe tunajua uwezo huo sina!
 
Back
Top Bottom