mweusi asili
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 2,035
- 3,358
hilo swali lako ni sawa na kuuliza kati ya yai na kuku kipi kilimtoa mwenzie, mi ninavyojua binadamu mwenyewe ni muumbaji ndio maana kuna nadharia mbalimbali zinazojaribu kuelezea mwanzo wa uumbaji. kwaiyo kila nadharia inajaribu kutoa mwanga lakini bado hatujapata jibu sahihi