Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,056
unaamini kwamba mungu hayupo kwasababu humuoni,!ila unakubali ulimwengu una chanzo!lakini huelewi hicho chanzo ni nini!
Punguza kuropoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaamini kwamba mungu hayupo kwasababu humuoni,!ila unakubali ulimwengu una chanzo!lakini huelewi hicho chanzo ni nini!
Nikugeuzie kibao kidogo.
Sasa kwenye hili bandiko mi nataka kufaham kama Mungu hajaumbwa na mungu mwingine kaumbwa na nani? Au kajileta mwenyewe hapa duniani/ulimwenguni? Unajua hata ukiliona gari barabani yupo aliyeunda gari hilo. Waamini, walokole, wakristo,waislam wanaosema mungu hajaumbwa wamejitahidi sana kueleza asili ya Mungu na vitu vingine. Naomba izingatiwe kwamba nataka kufahamu asili ya Mungu sio mwanadamu. Ni kweli muumbaji wa huyo mungu aliyemuumba huyu mungu wanayesema kaumba vitu vingine anaweza akawa hayupo je? Mungu kaumbwa na nani? Uje na lengo la kuelimishana. Nawasilisha.
Mtazamo wa AKILIhuru.
Ukijiangalia wewe pamoja na mazingira yanayokuzunguka ukastaajabu sana isiwe kigezo cha kusema mungu yupo kisa tu umekosa majibu ya baadhi ya vitu!
Kwanini usimtazame huyo mungu na mazingira yake unayoyasoma kwenye vitabu????
Kwa mujibu wa maandiko ujuzi wa maisha ya mwanadamu na mazingira yake haujafikia hata nusu ya ujuzi wa maisha ya huyo mungu.
Sasa jiulize hivi...kwanini ukijiangalia wewe ukastaajabu unasema umeumbwa, lakini ukimuangalia huyo mungu unastaajabu zaidi lakini unasema hajaumbwa. Hii ikoje? Tatizo ni imani za ovyo zimewaharibu.
kuna watu walikua wanaongelea mambo haya haya,walikula vibao na hawakuona siku 3,wote wameongoka sasa hvi
mkuu amenitukana huyo -----.na sababu hoja zimemshinda tuamie basi upande wa pili.au kwako kutusiwa ni kushindana pia.Imebid nicheke tu huwez shinda hoja kwa style hii, kama ni somo hapa umedisco.
Mimi ningekubaliana na ww kwamba hakuna Mungu Kama; Katika kupinga kwako huku kwa kujiaminisha, ungekuwa na uwezo wa kuvuka ile mipaka ambayo mwanadamu amewekewa, hasa kifo maradh na vitu vyote ambavyo vinatubanaga hasa unakuta hata kuongea huwez hapo ungeniamisha kwamba Mungu yupo, kiukwel sisi ujanja hatuna, ukubali usikubal wote tuko chini ya mamlaka fulan ambayo lazima utatii ili uishi, Kama utakataa kutii bas ni lazima uadibishwe, ukikataa kumtii Mungu bas utawatii wanadam katika mifumo ambayo imewekwa, na kwa namna yeyote ile lazima uende kichwa umeinama..hatuna ujanja mzee, fanya ufanyavyo huvuki ile mipaka ilowekwa....hata sayansi na fikra huru haziwez kukuvukisha mipaka hiyo...sema ndio hivyo tunajifanya vibur hatutak kutii
Science inajaribu kuprove vitu na kutuwezesha kutatuwa changamoto katika mazingira complex tuliyo yakuta Lakin hatachembe haiwez kuprove kivip Mungu hayupo wakati research zinafanyika within the parameters zote ambazo ameziumba au kufanywa na Mungu anayetafitiwa, huku watafiti na malighafi zote zikiwa ni resources zake huyo Mungu ...hivyo inakuwa kama unajitafit mwenyewe, tafit hizo zingefanyika outside the parameters ambazo Mungu hajafanya tungekuwa na majibu..lakini nikitu ambacho hakiwezekaniki
Na Kama hakiwezekaniki bas tuna conclude kwamba Mungu yupo, kwasababu tafsiri yenyewe inatufunga kwamba Mungu, kiingereza kinatupa maana Nzuri zaid kwamba "HE is Superior Being"
Kumbe unayachukulia matatizo kama Mungu?
Mr Jiff tunatawaliwa na ujinga na sio mungu.
kuna watu walikua wanaongelea mambo haya haya,walikula vibao na hawakuona siku 3,wote wameongoka sasa hvi
God created everything, including
human beings. Because you were in
fact created at one specific second,
at a specific minute, of a specific
day, than you know absolutely
nothing that came before that
second you were created. So, your
mind has a conception of the world
around you: "Everything has a
beginning, like I have a beginning."
And, that is a state of mind that
every creature in this world has.
Because they were created they
have difficulty imagining a creature
that doesn't have a "beginning".
In fact, we define our world by
time, start, and finish, beginning,
and end. But, understand that God,
because he is the creator of
everything, also created time. The
very nature we have to begin, or to
end, only exists because God
created the concept. Before God
created it, the concept of
"beginning" never existed. The idea
of a "beginning to everything" is
something that only exists in your
mind because you were created
with a beginning! But, that doesn't
mean that that is the truth of God,
because before he created time
beginnings and endings did not
exist.
So then, you probably would, after
taking that idea in, wonder to
yourself "Than how does he exist if
not within time?". Simply, he
would have to exist in a place, and
in a way, where time is not a factor.
Someplace out of our "universe" in
a way. Because, our universe HAS a
beginning, he created it, therefor
he cannot be living in it because he
would have to be living in his own
way before he created this
universe.
Another possible question you
might ask yourself is "Than, what is
the 'present' time to God." And, to
that I say, remember: he does not
experience time like you do. Time is
something he created for you. You
experience past, present, future. He
does not. He is outside of time as
you know it because he created
time. Now, realize, that doesn't
mean that he can't see YOUR
present. He can see what's
happening everywhere, all the
time, so he can happily look down
upon you in your time-based life
and see what you're doing in the
present with a smile. But, just
because he can look upon your
present does not mean that he is
limited to time the way that you
know it, and feel it. He is something
different from you, in a place
different than where you live, and
simply does not abide by the same
rules that he has birthed you into.
The rules for time, beginnings, and
ends, is your gift. A special universe
that he created for you.
God created everything, including
human beings. Because you were in
fact created at one specific second,
at a specific minute, of a specific
day, than you know absolutely
nothing that came before that
second you were created. So, your
mind has a conception of the world
around you: "Everything has a
beginning, like I have a beginning."
And, that is a state of mind that
every creature in this world has.
Because they were created they
have difficulty imagining a creature
that doesn't have a "beginning".
In fact, we define our world by
time, start, and finish, beginning,
and end. But, understand that God,
because he is the creator of
everything, also created time. The
very nature we have to begin, or to
end, only exists because God
created the concept. Before God
created it, the concept of
"beginning" never existed. The idea
of a "beginning to everything" is
something that only exists in your
mind because you were created
with a beginning! But, that doesn't
mean that that is the truth of God,
because before he created time
beginnings and endings did not
exist.
So then, you probably would, after
taking that idea in, wonder to
yourself "Than how does he exist if
not within time?". Simply, he
would have to exist in a place, and
in a way, where time is not a factor.
Someplace out of our "universe" in
a way. Because, our universe HAS a
beginning, he created it, therefor
he cannot be living in it because he
would have to be living in his own
way before he created this
universe.
Another possible question you
might ask yourself is "Than, what is
the 'present' time to God." And, to
that I say, remember: he does not
experience time like you do. Time is
something he created for you. You
experience past, present, future. He
does not. He is outside of time as
you know it because he created
time. Now, realize, that doesn't
mean that he can't see YOUR
present. He can see what's
happening everywhere, all the
time, so he can happily look down
upon you in your time-based life
and see what you're doing in the
present with a smile. But, just
because he can look upon your
present does not mean that he is
limited to time the way that you
know it, and feel it. He is something
different from you, in a place
different than where you live, and
simply does not abide by the same
rules that he has birthed you into.
The rules for time, beginnings, and
ends, is your gift. A special universe
that he created for you.
by
MJARRAB
God,
because he is the creator of
everything, also created time.
This is silly argument of all the time
the central tenet of your ideas is that,"God is timeless",and you have further reinforced it by saying that,since God made everything so he made the time also.
your argument above is completely wrong,we know that time is fourth dimension of our universe.Everythings in the our cosmos exist within space time continuum
infact,time is not some sort of materials to be created by God
time is just periodic interval btn two events,is matter of your perception.
so nothing even your God can create time,because time is immaterials...
kila kitu kilicho umbwa kina aliye kiumba,mungu ni muumbaji hana sifa ya kuumbwa!hii ni sawa sawa na mtu akuulize aliyejifungua ni mwanamume au mwanamke.bila shaka swali hilo litakuwa halina maana kwa sababu wote tunajua kwamba mwamamume hana sifa ya kuzaa!hivyo mungu ni muumbaji hata sifa ya kuumbwa!
Hapo naona unachanganya kidogo. Wewe egemea zaidi kwenye imani yako na kusema tu Mungu ni muumba wa kila kitu.
Kuhusu mwanaume kutojifungua siyo mfano mzuri sana kwani kila mtu anajua hayo. Haijatokea vinginevyo mpaka sasa. Lakini kuhusu Mungu vilevile hakuna aliyewahi kumwona akiumba dunia.