Friji la mtumba
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 277
- 434
- Thread starter
-
- #221
Sorry, ila ulichokijibu hakieleweki mkuuKweli wewe ni friji la nyumba. Kama hujui maana Aya uwepo WA Mungu Kunywa sumu. Ameweka shida na kadhia Zote ili mjue kama yupo na Hana baya. Dini ni Imani unaweza usiwe na dini yeyote na bado ukiamini Mungu yupo kwa style yako mwenyewe.
Unatumia nguvu na ukweli uko wazi ,Mungu uwepo wake binadamu anahisi tu na hakuna shaka.Hapa unafosi na kulazimisha tu.
Unafosi mifumo iwe imewekwa na huyo Mungu wako wa kufikirika bila kuthibitisha uwepo wake.
Unafanya Special pleading fallacy.
Unamu exempt Mungu kwenye kuwa na muumbaji halafu unaanza kufosi ulimwengu uliumbwa na muumbaji.
You are making a special pleading fallacy.
Binadamu hawaumbwi.
Hakuna binadamu aliyeumbwa.
Binadamu wanazaliwa.
Binadamu tunazaliwa kwa kuzaliana sisi wenyewe.
Hakuna Mungu Aliyeumba binadamu wala kitu chochote kile.
Una elewa?
Huna hoja zaidi ya kufosi imani zako uchwara ulizo aminishwa na kupumbazwa.
Hujathibitisha uwepo wa huyo Mungu unafosi fosi tu.
Akili ipo na inapimika.Kusema Mungu hayupo kwa sababu hawezi kuonekana ni kama kusema akili haipo kwa sababu huwezi kuipima kwa macho.
Thibitisha uwepo wa huyo Mungu yeye kama yeye.Faith isn't blind — it's trust based on reason, experience, and inner conviction. Tunaweza kuona dalili za Mungu kupitia utaratibu wa ulimwengu, dhamiri zetu, upendo, na uzoefu wa kiroho ambao hauwezi kuelezwa kwa mantiki tu.
The fact that an almighty God and all powerful God needs humans to speak for him and defend him, It's a prove that he doesn't exist.You're not defending a fictional character — you're explaining a reality that transcends physical senses. Kama vile hatuwezi kupima upendo kwa thermometa, hatuwezi pia kumweka Mungu kwenye maabara.
The struggle isn't proof of fiction, it's proof of complexity
Kuandika neno "Mungu" Hakufanyi Mungu huyo awepo.Unatumia nguvu na ukweli uko wazi ,Mungu uwepo wake binadamu anahisi tu na hakuna shaka.
Hata wewe unaandika neno Mungu kwamba yupo ila unabisha tu🤣🤣
Hapa utakaa ,wewe unatambua nini kuhusu neno '' Mungu '' au unabisha hujui lina maana gani?🤣🤣Kuandika neno "Mungu" Hakufanyi Mungu huyo awepo.
Naweza nika andika neno dragon 🐲 lakini kiuhalisia hakuna Dragons.
Mungu ni fiction tu. Ana exist kwenye vitabu tu. Sio kwenye uhalisia.
Kiuhalisia, Hakuna Mungu.
Neno "Mungu" ni dhana ya kufikirika tu.Hapa utakaa ,wewe unatambua nini kuhusu neno '' Mungu '' au unabisha hujui lina maana gani?🤣🤣
Unaelewa nn ? Mbona Unabishana na kitu hujui ,ebu jaribu kugoogle hapo wazungu wanaokufadhili huko kama mkimbizi uliyekimbia kwenu wanaelewa nn kuhusu neno hilo?Neno "Mungu" ni dhana ya kufikirika tu.
Unataka upewe maana unayo ielewa wewe kwa imani zako ulizo aminishwa na kupumbazwa.Unaelewa nn ? Mbona Unabishana na kitu hujui ,ebu jaribu kugoogle hapo wazungu wanaokufadhili huko kama mkimbizi uliyekimbia kwenu wanaelewa nn kuhusu neno hilo?
Ingia google usome kwanza then nikupe mwongozo.!
Sasa hujui unabishana kama sio upumbavu 🤣🤣?Unataka upewe maana unayo ielewa wewe kwa imani zako ulizo aminishwa na kupumbazwa.
You wanna make argument from authority.
Kuelewa nini?Sasa hujui unabishana kama sio upumbavu 🤣🤣?
Hujui halafu hautaki kuelewa ni upumbavu.
Wewe unamjua 🤣🤣? Ukweli unaujua ni vile unakaza tu ...Hauna hoja 🤣Kuelewa nini?
Umeshindwa kuthibitisha Mungu yupo, unaruka ruka tu.
Kuna kipi ulicho eleza zaidi ya kufosi uwepo wa huyo Mungu wako wa kufikirika?
It's rare having clear mind with this kind of head.
Utajuaje kisichokuwepo?Wewe unamjua 🤣🤣? Ukweli unaujua ni vile unakaza tu ...Hauna hoja 🤣
Mungu unamjua labda kama unataka kumshika mkono🤣🤣🤣..Sasa nioneshe hata Oxygen ilivyo ,inaingia kweny pua zako ila huijui.Utajuaje kisichokuwepo?
Wewe unayemjua ndio ueleze huyo Mungu yupoje?
Na ulimuona wapi?
Usilete habari za oxygen.Mungu unamjua labda kama unataka kumshika mkono🤣🤣🤣..Sasa nioneshe hata Oxygen ilivyo ,inaingia kweny pua zako ila huijui.
Yet, we know intelligence exists through its effects — reasoning, innovation, morality — just like many believe God is known through His effects,, order in the universe, moral awareness, and human longing for meaning.Akili ipo na inapimika.
Ndio maana unaweza hata kumjua mtu mwenye ukichaa au utahira kwa kupima matendo yake na akili yake tu.
Mungu hayupo kwa namna yoyote ile zaidi ya hadithi uchwara tu za vitabuni.
Thibitisha uwepo wa huyo Mungu yeye kama yeye.
USIMHUSISHE huyo Mungu na ulimwengu.
Mthibitishe huyo Mungu, yeye kama yeye.
The fact that an almighty God and all powerful God needs humans to speak for him and defend him, It's a prove that he doesn't exist.
Mungu hajawahi kuwepo na hayupo.
Ndiyo, Mungu aliumba ulimwengu ambao uovu unaweza kutokea.Hujajibu swali.
Na wala sijakuuliza kama Mungu kaumba uovu au hajaumba uovu.
Nimekuuliza hivi.
Mungu aliumba ulimwengu ambao uovu unaweza kutokea? Au hakuumba ulimwengu huo?
Faith isn’t about blind belief—it’s about reasonable trust. Tuna ushahidi wa kihistoria (like the life of Jesus), ushahidi wa kimaumbile (kama design ya ulimwengu), na ushahidi wa kibinafsi (experience ya mamilioni ya watu ambao maisha yao yamebadilika kwa njia isiyoweza kuelezeka).Unapoona hicho unachokiita mkono wa Mungu unajuaje ni mkono wa Mungu kweli?
Unathibitishaje Mungu yupo kweli na habari za kuwapo kwake si hadithi za uongo za watu tu?
Kama unakiri kuna mpangilio wa kiakili, maadili ya asili, na kiu ya maana ndani ya mwanadamu — unazani vimetoka wapi, na kwa nini viwepo?Yet, we know intelligence exists through its effects — reasoning, innovation, morality — just like many believe God is known through His effects,, order in the universe, moral awareness, and human longing for meaning.
Kusema Mungu anahitaji kutetewa na binadamu si ushahidi kwamba hayupo. It's actually consistent with the idea of free will. Kama Mungu angejithibitisha waziwazi kila siku, binadamu wasingekuwa huru kuamini au kutoamini — wangekuwa walazimishwe na ushahidi wa moja kwa moja, not faith or inner conviction.
Huwezi kusema "thibitisha Mungu bila ulimwengu," because that’s like asking "thibitisha jua bila mwanga." The very idea of God — especially in metaphysical terms — is inherently linked to existence and reality.
Kwa hivyo, hoja zako hazina mantiki na zinaonyesha mashaka, which is valid, but si ushahidi wa kutosha kusema "Mungu hajawahi kuwepo." You can doubt, but absence of evidence is not evidence of absence.
JITAHIDI KUJENGA HOJA ZENYE UZITO KIDOGO ILI MJADALA UWE BALANCED MAANA NAONA UNARUDIA JAMBO LILE LILE TU.