Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 5,603
- 14,183
Tupo pamoja mkuu 🤝Hii nzuri mkuu.,,endelea kufuatilia mjadala mkuu.
Tupo pamoja mkuu 🤝Hii nzuri mkuu.,,endelea kufuatilia mjadala mkuu.
Mungu anaweza kuwa amejifunua kwa njia ya ndani (inner moral compass, curiosity, reason), lakini sio kila mtu hujibu kwa namna ileile. Free will inahusika — watu wana hiari ya kutafuta, kupuuza, au kupotosha ukweli. Tofauti za tamaduni, historia, na mazingira zimechangia mitazamo tofauti ya kidini.Mkuu kwanza tambua Ishara za wazi kama ‘maadili ya ndani’ au ‘kiu ya kujua’ zinaweza kutafsiriwa kwa njia nyingi sana hata za kisayansi na kifalsafa na sio dini pekee.
Kama Mungu aliweka kiu ya maana, dhamiri ya maadili, na uwezo wa kiakili ndani ya mwanadamu ili tumtafute Yeye — kwa nini basi watu wengi waliowahi kuishi hawakuwahi kumsikia au kumwelewa Yeye?
kwa nini kuna dini nyingi zenye mitazamo pinzani kuhusu Yeye?
Je, si ingekuwa mantiki zaidi kwa Mungu wa haki na mwenye nia nasi kujifunua kwa njia iliyo wazi, thabiti, na isiyotofautika kwa kila mwanadamu?
Mungu anaweza kuwa amejifunua kwa njia ya ndani (inner moral compass, curiosity, reason), lakini sio kila mtu hujibu kwa namna ileile. Free will inahusika — watu wana hiari ya kutafuta, kupuuza, au kupotosha ukweli. Tofauti za tamaduni, historia, na mazingira zimechangia mitazamo tofauti ya kidini.Mkuu kwanza tambua Ishara za wazi kama ‘maadili ya ndani’ au ‘kiu ya kujua’ zinaweza kutafsiriwa kwa njia nyingi sana hata za kisayansi na kifalsafa na sio dini pekee.
Kama Mungu aliweka kiu ya maana, dhamiri ya maadili, na uwezo wa kiakili ndani ya mwanadamu ili tumtafute Yeye — kwa nini basi watu wengi waliowahi kuishi hawakuwahi kumsikia au kumwelewa Yeye?
kwa nini kuna dini nyingi zenye mitazamo pinzani kuhusu Yeye?
Je, si ingekuwa mantiki zaidi kwa Mungu wa haki na mwenye nia nasi kujifunua kwa njia iliyo wazi, thabiti, na isiyotofautika kwa kila mwanadamu?
Kila kilichoanza kuwa ni lazima kiwe na chanzo.Ushahidi wa Kimaumbile (Cosmological & Teleological Evidence)
"Kila kilichoanza kuwa lazima kiwe na chanzo." — This is the Cosmological Argument.
Ulimwengu una muundo wa ajabu, sheria madhubuti za fizikia, na uzuri unaoonekana katika asili. Je, hii yote ilitokea kwa bahati tu?
Ushahidi wa Kimaadili (Moral Argument)
"Kwa nini binadamu wote wanajua mema na mabaya, hata kabla ya kufundishwa?"
Hii inaonesha kuwa kuna chanzo cha maadili — ambacho siyo jamii tu, bali Higher Moral Law Giver, ambaye ni Mungu.
Ushahidi wa Kibinadamu na Kihistoria (Religious & Historical Experience)
Kwa nini unaona uhuru ni lazima uambatane na uchaguzi wa mabaya au mazuri?Ndiyo, Mungu angeweza kuumba ulimwengu ambapo uovu hauwezekani, but then huo usingekuwa ulimwengu wa viumbe huru (free beings), bali wa "robots" wanaotii bila hiari.
Ulimwengu huu una free will, na kwa hiyo uwepo wa uovu ni possible, though si Mungu anayeuleta moja kwa moja. Mungu aliumba uwezekano wa upendo wa kweli—ambao hauwezekani bila uhuru—na kwa kutoa huo uhuru, aliweka pia uwezekano wa uovu. So, God is the source of freedom, not evil.
Uhuru ni kuwa na uwezo wa kuchagua—iwe ni jema au baya. Freedom is meaningful because it includes the possibility of choosing even what is wrong.Kwa nini unaona uhuru ni lazima uambatane na uchaguzi wa mabaya au mazuri?
Kwani watu wakiwa na uchaguzi wa mazuri na mazuri wanakuwa hawana uhuru?
I don't believe in believing or worshipping.Unasema “Hakuna Mungu” kwa uhakika, kana kwamba umepiga tour ya universe yote ukakuta kila kona haina Mungu. That in itself is a belief — a belief in nothingness — and ironically, that belief is just as unprovable as the belief in God. So, welcome to the faith club — you just worship absence.
Kwa nini uingizwe kwenye game bila kuchagua na bila uhuru wako binafsi wa kuamua, Halafu hapohapo unasema uko huru?Halafu kuhusu free will, kusema haipo kwa sababu hatukuchagua kuzaliwa ni sawa na kusema hakuna uhuru wa kuendesha gari kwa sababu hatukuchagua kuzaliwa na magari. Hujachagua kuingia kwenye game, lakini uko ndani ya gemu , na sasa unacheza — hiyo nayo siyo choice?
Kwanza mimi siamini kwenye kuamini.Ulimwengu ni “self-existing”? Hilo ni claim pia — umelifanyia peer-review au unarudia maneno ya astrophysicists unaowaamini kwa imani hiyo hiyo ya kidini unayodharau?
Hujathibitisha uwepo wa huyo Mungu, unaruka ruka tu na porojo uchwara.Bottom line, kusema “Hakuna Mungu” na kutegemea logic tu ni kama kujaribu kupima uzito wa muziki kwa tape measure. Ukweli unabaki: kutoamini Mungu siyo proof ya kutokuwepo Kwake. Na wewe huwezi kuwa final authority ya universe kwa sababu una access ya TikTok na Reddit.
Karibu tena kwenye mjadala, lakini lete hoja, si hasira.
unasema: “huamini katika kuamini, huttaki kuamini, unataka kujua.”I don't believe in believing or worshipping.
I don't want to believe, I want to know.
Unasema kuna Mungu halafu ukiambiwa uthibitishe uwepo wake unaanza porojo za kikapanda kikashuka. Mara argument hii ikapanda, ikashuka.
Unajaribu kufosi uwepo wa Mungu kwa argument uchwara zisizo na uthibitisho wala ukweli wowote. Zaidi ni hekaya za vitabuni tu.
Kwa nini uingizwe kwenye game bila kuchagua na bila uhuru wako binafsj wa kuamua, Halafu hapohapo unasema uko huru?
Una freewill gani, kama uliletwa duniani bila kuamua mwenyewe?
Huoni kwamba uko conditioned kuishi kwa matakwa ya huyo aliyekuleta pasipo kuwa na uhuru wako mwenyewe?
Kwanza mimi siamini kwenye kuamini.
Sina imani ya aina yeyote ile.
Sihitaji kuamini, Nahitaji kujua kwa uhakika, ushahidi na uthibitisho.
Una elewa?
Hujathibitisha uwepo wa huyo Mungu, unaruka ruka tu na porojo uchwara.
Baba wa mtoto mchanga anayeweza kumpa mtoto wake uhuru wa kuchagua kunywa maziwa au juisi akimpa mtoto huyo uhuru wa kuchagua maziwa au sumu kali inayoua, kwa sababu ni uhuru wa kuchagua kitu kizuri na kibaya, utamuitaje?Uhuru ni kuwa na uwezo wa kuchagua—iwe ni jema au baya. Freedom is meaningful because it includes the possibility of choosing even what is wrong.
Kama mtu anaweza kuchagua tu mazuri, huo siyo uhuru bali ni udhibiti. True freedom exists when one can choose between good and evil, and still choose good—hapo ndipo thamani ya maadili inaonekana.
Nimekujibu hata Mwanzo mkuu, naona kama tunataka kurudi kule kule tuliko toka.
Nitamwita mzazi mzembe asiyejali maisha ya mtoto wake.Baba wa mtoto mchanga anayeweza kumpa mtoto wake uhuru wa kuchagua kunywa maziwa au juisi akimpa mtoto huyo uhuru wa kuchagua maziwa au sumu kali inayoua, kwa sababu ni uhuru wa kuchagua kitu kizuri na kibaya, utamuitaje?
Soma huu uzi:Wapo wanaoamini kuwa Mungu yupo – Muumba wa kila kitu, mwenye uwezo wa kubadilisha chochote.
Lakini wapo pia wanaoamini hakuna Mungu, na maisha haya ni matokeo ya mabadiliko ya asili, bahati, na akili ya binadamu.
Swali linakuja:
Kama Mungu yupo kweli, kwa nini kuna mateso, vita, magonjwa, vifo vya watoto wasio na hatia?
Na kwa upande mwingine:
Kama hakuna Mungu, binadamu anajiongoza kwa misingi gani? Maadili yanatoka wapi? Haki ni nini bila Mungu?
---
Maswali kwa mjadala:
Unaamini Mungu yupo au hakuna? Kwa nini?
Kama huamini, maisha yako yanapata maana wapi?
Kama unaamini, unawezaje kuelezea uwepo wa maovu na mateso?
Je, dini ni njia ya watu kutuliza hofu yao ya kifo au ni kweli kuna nguvu ya juu isiyoonekana?
Soma huu uzi:Nmezaliwa kwenye dini,
Mimi naamini Mungu yupo, ila kuna siku nilikaa nikajiuliza – kama kweli anatupenda, kwa nini wengine wanazaliwa kwenye vita, njaa, na mateso bila kosa?
Pia nimeshawahi kukutana na mtu ambaye ni Atheist lakini ana maadili kuliko mtu wa kanisani/msikitini. Hii inanifanya nijiulize sana, je kuwa wa Mungu ni kutamka tu au kuishi kwa mfano?
Soma huu uzi kijana upate kuelewa siri za duniani:Kama Mungu ni wa haki kwa nini anaruhusu kuteseka kwa mwanadamu? Swali linalotafutiwa majinu mpaka mwisho wa dunia
Hatuwezi kujua tusivyo vijua. Lakini tunaendelea kupunguza tusivyo vijua kwa utafiti, udadisi, uchunguzi na majaribio zaidi.unasema: “huamini katika kuamini, huttaki kuamini, unataka kujua.”
Swali dogo tu: Unajua kwa uhakika gani kuwa "kujua" kwako hakujajengwa juu ya imani zako binafsi, perceptions zako, au limitations za akili ya kibinadamu?
Kwanza eleza na thibitisha ulijuaje Mungu yupo kabla ya kuendelea na vingine.Claim yako ya "nataka ushahidi" ni fair, lakini pia ni naivety ya kufikiria kwamba kila kitu kinaweza kupimwa kwa microscope. Kitu kama consciousness, love, morality—hizo zote zipo, lakini si rahisi kuzifungia kwenye tube ya lab. Yet bado huzikatai. So why single out God?
Uwezo wa kufanya simu iwe na battery life ya masaa mengi upo. Na inawezekana kufanyika hivyo. Kwa sababu simu imetokana na utaalamu wetu wa kibinadamu.Unasema haukupewa free will coz hukuomba kuzaliwa.
Bro Hata simu yako haukuomba iwe na battery life ya masaa machache, but here we are, unaitumia tu.
Not choosing to be born doesn’t invalidate your ability to choose what to do after you're born.
Kama that is nature, kwa hiyo habari nzima ya uwepo wa Mungu na freewill haipo.Huo ndio uhuru wa kweli. Life haiku-ask permission, it just dropped you here, kama default setting. That's nature, not injustice.
Ulijuaje kwamba Mungu ni beyond time, space and matter?Na kuhusu hoja za Mungu—unasema ni porojo za "kikapanda kikashuka."
Ni sawa, lakini jiulize, what kind of proof do you expect?
Mungu si sample ya chembechembe upeleke kwa lab. He's supposedly a Being beyond time, space and matter.
Hivi unaelewa maana ya I DON'T BELIEVE?Asking for proof of such a Being using tools za dunia ni kama kujaribu kupima upendo kwa thermometer. You’re using the wrong instrument.
Uko kama samaki anayehoji uwepo wa maji kwa sababu haoni maji na hajawahi kuyakosa.
Halafu hiyo dhana yako ya “siamini kwenye kuamini”—bro, that’s still a belief. You believe in not believing.
So technically, you’re a believer. Just not a theist.
You need to restore your brain 🧠 to factory settings.Kwahiyo, before uanze kusema watu wanaporomosha porojo, angalia kama hujasimama kwenye porojo zako mwenyewe, but with bigger vocabulary and a more rebellious tone.
Sijakushawishi kuamini. Lakini usijifanye uko neutral huku unachagua upande wa disbelief kwa imani ile ile.
You haven’t escaped belief. You’ve just switched brands.
Huu ni mjadala wa ma-great thinker, hupaswi ku panic kabisa. 😊
Mungu yupo wala huitaji akili nyingi kuamini hilo coz kila unachokiona katika hii dunia kina chanzo chake either kiwe cha asili au artificial hata wewe ukizaa watoto Leo inamana chanzo cha hao watoto ni nyie wazaziWapo wanaoamini kuwa Mungu yupo – Muumba wa kila kitu, mwenye uwezo wa kubadilisha chochote.
Lakini wapo pia wanaoamini hakuna Mungu, na maisha haya ni matokeo ya mabadiliko ya asili, bahati, na akili ya binadamu.
Swali linakuja:
Kama Mungu yupo kweli, kwa nini kuna mateso, vita, magonjwa, vifo vya watoto wasio na hatia?
Na kwa upande mwingine:
Kama hakuna Mungu, binadamu anajiongoza kwa misingi gani? Maadili yanatoka wapi? Haki ni nini bila Mungu?
---
Maswali kwa mjadala:
Unaamini Mungu yupo au hakuna? Kwa nini?
Kama huamini, maisha yako yanapata maana wapi?
Kama unaamini, unawezaje kuelezea uwepo wa maovu na mateso?
Je, dini ni njia ya watu kutuliza hofu yao ya kifo au ni kweli kuna nguvu ya juu isiyoonekana?
Na chanzo cha huyo Mungu ni nini?Mungu yupo wala huitaji akili nyingi kuamini hilo coz kila unachokiona katika hii dunia kina chanzo chake either kiwe cha asili au artificial hata wewe ukizaa watoto Leo inamana chanzo cha hao watoto ni nyie wazazi
Au ukimchukuwa kondoo dume ukampandisha kwa mbuzi jike watoto watakao zaliwa hapo inamana chanzo chao ni mbuzi + kondoo no matter zitakuja generation ngapi but ndio mwanzo wa kitu kipya ambacho hakijakuwepo
So point yangu kila kitu kina mwanzilishi au kuna factor's zilizopelekea hicho kitu kutokea hara milima ipo mayo source yake ni mlipuko wa volcano
Kila siku unapo omba Ile sara ya Baba yetu uliembinguniNmezaliwa kwenye dini,
Mimi naamini Mungu yupo, ila kuna siku nilikaa nikajiuliza – kama kweli anatupenda, kwa nini wengine wanazaliwa kwenye vita, njaa, na mateso bila kosa?
Pia nimeshawahi kukutana na mtu ambaye ni Atheist lakini ana maadili kuliko mtu wa kanisani/msikitini. Hii inanifanya nijiulize sana, je kuwa wa Mungu ni kutamka tu au kuishi kwa mfano?
😂 😂 tumia nguvu hiyo kuutafuta uso wake lkn kwanz uwe mkristo coz hiyo ndio dini pekee yenye shuhuda za watu kusemeshwa na Mungu baada ya hapo maswali yako yatakuwa yamejibiwa kiurahisi Zaid na Mungu mwenyeweNa chanzo cha huyo Mungu ni nini?
Au huyo Mungu alizuka tu from nowhere?
Alitokea tu from nowhere?
Your opinions are not different from that of a suicide bomber.😂 😂 tumia nguvu hiyo kuutafuta uso wake lkn kwanz uwe mkristo coz hiyo ndio dini pekee yenye shuhuda za watu kusemeshwa na Mungu baada ya hapo maswali yako yatakuwa yamejibiwa kiurahisi Zaid na Mungu mwenyewe