Usipotoke ndugu yangu. Uhai ni mfano wa seli hai. Lengo kuu la seli ni kujigawanya yaani kujugawanya kuwa nyingi. Kuna njia nyingi za kugawanyika kwa seli. Moja ya njia hizo ni hizi za kuzaliana. Seli inapofikia mwisho wa kugawanyika huchoka na kuacha yale mazao yake yakiendelea kugawanyika. Mwisho wa seli hizo ni kupotea. Suala la uhai lisikutishe sana. Maana hata huyo mnayeamini yupo maana yake yupo hai. Kama yupo hai maana yake huo uhai alipewa kwa imani zenu kuwa kila chenye uhai kinakuwa kimewekewa na kingine.
Swali langu kwako ni je, nini lengo la huyo mungu wenu kuumba vitu ambavyo vipo hai na mwisho wake vinakufa tena vitaenda kuishi kwa mara nyingine?