mair erasto
JF-Expert Member
- Jul 13, 2016
- 413
- 425
nilitaka kukufafanulia jinsi unavyo danganywa.Umejuaje kuwa kuna dhambi wakati huamini uwepo wa Mungu? Kusali ni kufanyeje? Kusinzia kunahusiana nini na kusali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nilitaka kukufafanulia jinsi unavyo danganywa.Umejuaje kuwa kuna dhambi wakati huamini uwepo wa Mungu? Kusali ni kufanyeje? Kusinzia kunahusiana nini na kusali?
Ninavyodanganywa na nani?nilita kukufafanulia jinsi unavyo danganywa.
kama wewe umeamua kujifanya wewe ni mungu huwezi ukanichagulia maswali ya kukuuliza.Kwa mfano kama wewe ukiwa ni chanzo cha jambo Fulani, utakuwa unaishi wapi? Kwani Mungu kuwa chanzo cha viumbe vyote kuna husiana nini alipokuwa anaishi/kaa??
unadanganywa na makalatasi yaliyo andikwa hovyo hovyo.Ninavyodanganywa na nani?
hivi kama kweli mungu yupo kwanini wewe unahangaika kumjibia maswali?Hivyo wewe unajua hata kwanini watu bado wanaamini mungu toka enzi hizo na makundi yote wenye elimu na hata wasiokuwa na elimu? Hivyo we unajua kuwa kusema hakuna mungu kunahitaji imani? We unafikiri kusema hakuna mungu ndiyo kuna kupa majibu ya mambo yaliyokuwa yanakutatiza ulipokuwa unaamini mungu?
Kwa nini mungu hana chanzo?Mungu hana chanzo, ila yeye ndio chanzo cha viumbe vyote vinavyoonekana na visivyoonekana;
Sasa mungu anashindwaje na shetani??Lucifer ndiye mwenye nguvu kuliko mungu.wew huoni maovu mengi yakifanyika kuliko mazuri?
Hawa sio wanasemaga mungu ni Alfa na omegaKwa nini mungu hana chanzo?
Na kama mungu hana chanzo, kwa nini vingine vyote vihitaji kuwa na chanzo?
Hakuna munguKwa nini mungu hana chanzo?
Na kama mungu hana chanzo, kwa nini vingine vyote vihitaji kuwa na chanzo?
Duh! We umewafunika wote humu,haya nieleze ni vp mungu hayupo.mm toka nazaliwa najua mungu hayupo ila wewe unanilazimisha niamini kwamba mungu yupo inamaana ww ndio mungu.
kwasababu maswali mengi ninayo uuliza na ilitakiwa ayajibu mungu lakini unayajibu wewe.
Ukitaka kujibiwa maswali na mungu basi tafuta kitabu ambacho kina maneno ya mungu utapata majibu yako.hivi kama kweli mungu yupo kwanini wewe unahangaika kumjibia maswali?
Kwahiyo uovu ni jambo ambalo hatuwezi kulizuia ni nguvu isionekana?Ukifikiria sana km huyu mungu yupo bac yy ndo chazo uovu wote hapa duniani.
nianze kuhangaika kuangalia kitabu kwani mungu yeye ndio alikiandika hicho kitabu? na kama alijua yeye yupo na ataendelea kuwepo kwanini alihangaika kuandika kitabu?Ukitaka kujibiwa maswali na mungu basi tafuta kitabu ambacho kina maneno ya mungu utapata majibu yako.
kama wewe umeamua kujifanya wewe ni mungu huwezi ukanichagulia maswali ya kukuuliza.
kwasababu maswali mengi ambayo ilitakiwa ayajibu mungu unayajibu wewe.
Unauliza maswali ya kijinga sana. Baki kama ulivyonianze kuhangaika kuangalia kitabu kwani mungu yeye ndio alikiandika hicho kitabu? na kama alijua yeye yupo na ataendelea kuwepo kwanini alihangaika kuandika kitabu?
Nchi gain ilipata maendeleo kwa kusema hakuna mungu? Maendeleo katika hii dunia yameletwa na watu wasio amini mungu tu?hawa jamaa mara nyingi huwa wanakufa kipumbavu sana kama wale wanao jilipua usiku kucha na wale wanaokufa kila mwaka kule maka yani wenyewe ikifika msimu wao wa kufa wanakufa kweli kweli kufa watu 3000 wakiwa maka kwao ni kawaida na wao wanakuambia ile kwao ni neema.
lengo letu sisi ni kufanya kila linalowezekana kuwasaidia hawa wajinga wanaondokana na imani za kipumbavu.
na wanasema afrika inamajanga matatu ujinga maradhi pamoja na umaskini .
tukitoa ujinga na maradhi kuutoa unaskini itakuwa ni rahisi sana.
lakini hizi imani za kipumbavu nao ni ujinga mkubwa sana unao turudisha nyuma watu kila siku wanashinda muda wote makanisani na misiktini wakitegemea miujiza wanaacha kufanya kazi.
na wakati huo ukifuatilia duniani hakuna nchi ilipata maendeleo kwa kutegemea miujiza.
Sasa katika huu Uzi umefuata nini?nianze kuhangaika kuangalia kitabu kwani mungu yeye ndio alikiandika hicho kitabu? na kama alijua yeye yupo na ataendelea kuwepo kwanini alihangaika kuandika kitabu?
Mungu nae kumbea ana maneno?.? DuuUkitaka kujibiwa maswali na mungu basi tafuta kitabu ambacho kina maneno ya mungu utapata majibu yako.
Kwa nini mungu hana chanzo?
Na kama mungu hana chanzo, kwa nini vingine vyote vihitaji kuwa na chanzo?