Kama Mungu hayupo, umaarufu wake unatoka wapi?

Kama Mungu hayupo, umaarufu wake unatoka wapi?

Kwa mfano kama wewe ukiwa ni chanzo cha jambo Fulani, utakuwa unaishi wapi? Kwani Mungu kuwa chanzo cha viumbe vyote kuna husiana nini alipokuwa anaishi/kaa??
kama wewe umeamua kujifanya wewe ni mungu huwezi ukanichagulia maswali ya kukuuliza.
kwasababu maswali mengi ambayo ilitakiwa ayajibu mungu unayajibu wewe.
 
Hivyo wewe unajua hata kwanini watu bado wanaamini mungu toka enzi hizo na makundi yote wenye elimu na hata wasiokuwa na elimu? Hivyo we unajua kuwa kusema hakuna mungu kunahitaji imani? We unafikiri kusema hakuna mungu ndiyo kuna kupa majibu ya mambo yaliyokuwa yanakutatiza ulipokuwa unaamini mungu?
hivi kama kweli mungu yupo kwanini wewe unahangaika kumjibia maswali?
 
mm toka nazaliwa najua mungu hayupo ila wewe unanilazimisha niamini kwamba mungu yupo inamaana ww ndio mungu.
kwasababu maswali mengi ninayo uuliza na ilitakiwa ayajibu mungu lakini unayajibu wewe.
Duh! We umewafunika wote humu,haya nieleze ni vp mungu hayupo.
 
Ukitaka kujibiwa maswali na mungu basi tafuta kitabu ambacho kina maneno ya mungu utapata majibu yako.
nianze kuhangaika kuangalia kitabu kwani mungu yeye ndio alikiandika hicho kitabu? na kama alijua yeye yupo na ataendelea kuwepo kwanini alihangaika kuandika kitabu?
 
kama wewe umeamua kujifanya wewe ni mungu huwezi ukanichagulia maswali ya kukuuliza.
kwasababu maswali mengi ambayo ilitakiwa ayajibu mungu unayajibu wewe.

Kwa hiyo Mungu yuko apa jf sio! Wewe unauliza maswali kwa niaba ya nani? Hujui ya kuwa roho haiwezi kufanya kazi pasipo mwili?! Kama Mungu yuko apa jf basi atakuja kukujibu ..
 
nianze kuhangaika kuangalia kitabu kwani mungu yeye ndio alikiandika hicho kitabu? na kama alijua yeye yupo na ataendelea kuwepo kwanini alihangaika kuandika kitabu?
Unauliza maswali ya kijinga sana. Baki kama ulivyo
 
hawa jamaa mara nyingi huwa wanakufa kipumbavu sana kama wale wanao jilipua usiku kucha na wale wanaokufa kila mwaka kule maka yani wenyewe ikifika msimu wao wa kufa wanakufa kweli kweli kufa watu 3000 wakiwa maka kwao ni kawaida na wao wanakuambia ile kwao ni neema.

lengo letu sisi ni kufanya kila linalowezekana kuwasaidia hawa wajinga wanaondokana na imani za kipumbavu.
na wanasema afrika inamajanga matatu ujinga maradhi pamoja na umaskini .
tukitoa ujinga na maradhi kuutoa unaskini itakuwa ni rahisi sana.

lakini hizi imani za kipumbavu nao ni ujinga mkubwa sana unao turudisha nyuma watu kila siku wanashinda muda wote makanisani na misiktini wakitegemea miujiza wanaacha kufanya kazi.
na wakati huo ukifuatilia duniani hakuna nchi ilipata maendeleo kwa kutegemea miujiza.
Nchi gain ilipata maendeleo kwa kusema hakuna mungu? Maendeleo katika hii dunia yameletwa na watu wasio amini mungu tu?
Wenye kuamini mungu na wasio amino mungu wepi ni wengi?
 
nianze kuhangaika kuangalia kitabu kwani mungu yeye ndio alikiandika hicho kitabu? na kama alijua yeye yupo na ataendelea kuwepo kwanini alihangaika kuandika kitabu?
Sasa katika huu Uzi umefuata nini?
 
Mungu hana chanzo kwa sababu hana mwisho.

Vingine vina chanzo kwa sababu vina mwisho. Kumbuka kuwa mwisho wa jambo lolote lile huleta tafsiri halisi au inayofanana na chanzo chake.
Kwa nini mungu hana chanzo?

Na kama mungu hana chanzo, kwa nini vingine vyote vihitaji kuwa na chanzo?
 
Back
Top Bottom