Kama Mungu hayupo, umaarufu wake unatoka wapi?

Kama Mungu hayupo, umaarufu wake unatoka wapi?

Labda tungejiuliza ni kwa nini dunia nzima kila jamii iliamini kuwepo kwa Mungu. Ni kwa nini kila jamii ilikuwa na tafsiri yake kuhusu huyo Mungu hadi kuja kwa hizi dini kubwa za sasa.
ikiwa watu wote walitokana na Adam na Baadae Nuhu ni kwa nini hapakuwepo na mwendelezo?
Ikiwa Mungu yuko kila mahali ni kwa nini anawaacha watu wamweleze tofauti tofauti.
Haya maswali ni ya akili ya kawaida tu si lazima kuwe na kufunuliwa.
Ukifikiri zaid unaweza uka theorise point ambayo binadamu alianzia kufikiri kuwepo kwa Mungu ukiacha kule Bustani ya Eden
 
tatizo ww upo usingizini ukiamka tutakuja tuongee.
Tatizo lenu hamna amani na utulivu kwa msimamo wenu,hakuna maisha yenye Uhuru kwa asilimia zote. Huko kujiona KAMA mpo huru ndiyo kinachowakosesha a man I.
 
kwahiyo ww bila mzungu au mwarabu kukuambia mungu yupo wewe ungejuaje kwamba mungu yupo?
Kwani uyo mzungu na mwarabu walijuaje kuwa Mungu yupo? Una uhakika gani kuwa mzungu na mwarabu ndo walinijulisha kuhusu Mungu? Hujui ya kuwa kuna namna nyingi za kumjua na kumfahamu Mungu?!
 
[emoji2][emoji2]Nacheka kwa Dharauuu Na dini zetu za kina joshua rwakatare na wengineo wengi., Eti nenda kaombwewe ila wakiona hujapona wanadai kuwa haukuwa na imani,, japo kuwa mungu yupo na ana ona uhalisia ya matatizo yako., mtoa mada ungechelewa tu ningetowa mimi
 
Imani potofu sifa yake moja ni hicho unachokiamini kuwa na contradiction. Kinajipinga chenyewe.

Nitatumia maneno ya biblia.Mara nyingine yana make sense.

Mark 3:25 "If a house is divided against itself, that house cannot stand".

If a proposition has a contradiction against itself, that proposition cannot be true.

Kitu hakiwezi kuwapo na kutokuwapo hapo hapo.

Pembetatu haiwezi kuwa duara.

Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hawezi kuumba ulimwengu ambao maovu yanaweza kufanyika kama huu wetu.

Ukiamini chochote kati ya hivyo hapo juu kipo, kwamba pembetatu duara ipo au mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu huu ambao unaruhusu maovu kufanyika, umeamini kitu chenye kujipinga chenyewe kabla mtu yeyote hajakipinga.

Umeamini kitu chenye an inherent contradiction.

Umeamini kitu ambacho hakipo.

Umeamini uongo na mauzauza.

Pembetatu duara haipo.

Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hayupo.
Hizo sifa tatu ulizoeleza hapo umezitoa kwenye kitabu cha dini na huko ndipo mungu anapojieleza,hivyo kuhoji angetakiwa kuumba hivi na si vile nje ya vile alivyojieleza mwenyewe sidhani kama ni sahihi. Ingetakiwa kwanza tusome vile alivyojieleza na ndipo uanze kujenga hoja,lakini nje ya hapo hoja yako haileti maana. Mfano wewe unasema "hawezi" kuumba ulimwengu huu wenye maovu,je na mie nikisema kutokuweza kuumba ulimwengu kama huu ni kupingana na sifa yake ya uwezo wote utasemaje?
Kama kuumba aina hii ya ulimwengu ni kujipinga basi hata kutokuweza pia itakuwa kujipinga.
 
Kwani uyo mzungu na mwarabu walijuaje kuwa Mungu yupo? Una uhakika gani kuwa mzungu na mwarabu ndo walinijulisha kuhusu Mungu? Hujui ya kuwa kuna namna nyingi za kumjua na kumfahamu Mungu?!
mungu angekewepo wewe ungejua toka unazaliwa sio hivyo saizi ulivyo hisishwa.
yani niseme umedanganywa na siku zote watu matapeli na waongo huwa wanakuwa siliasi sana.
 
Tatizo lenu hamna amani na utulivu kwa msimamo wenu,hakuna maisha yenye Uhuru kwa asilimia zote. Huko kujiona KAMA mpo huru ndiyo kinachowakosesha a man I.
ww unajiona unaamani kwasababu akili zako zote umeshindwa kuzitumia na umezikabidhi makanisani ili wazitumie
wanavyo taka.
ila mm lengo langu lilikuwa ni zuri tu nilikua nataka uikomboe akili yako.
na uludi kwenye maisha yako ya kawaida.
 
hao akili zao wameshikisha misikitini na makanisani.
yani wanaishi kama maroboti ambao wanaendeshwa kwa limoti ya biblia na kuruani.
Ndio maana niliona nimjibu kulingana na akili yake. Kama Mungu alijiumba basi na ulimwengu nao ulijiumba.
Na kama Mungu hana nwanzo wala mwisho, pia ulimwengu hauna nwanzo wala mwisho.

Very sample
 
Ndio maana niliona nimjibu kulingana na akili yake. Kama Mungu alijiumba basi na ulimwengu nao ulijiumba.
Na kama Mungu hana nwanzo wala mwisho, pia ulimwengu hauna nwanzo wala mwisho.

Very sample
umemjibu vizuri sana. na hao sometime wanaishi kama kuku unakuta kunakipindi wanaanza kushindishwa na njaa hata mwezi ukiwauliza kwanini wanakuambia wanamuiga yesu.
 
umemjibu vizuri sana. na hao sometime wanaishi kama kuku unakuta kunakipindi wanaanza kushindishwa na njaa hata mwezi ukiwauliza kwanini wanakuambia wanamuiga yesu.
Mpaka wengine wanakufa [emoji2] kama yule mchungaji wa south Africa
 
Mpaka wengine wanakufa [emoji2] kama yule mchungaji wa south Africa
yani hawa jamaa serikali inabidi ijitahidi kuwadhibiti kwa kuwatungia sheria
kwa mfano mtu ukimuona anashinda na njaa hataki kura inabidi uende ukatoe ripoti polisi kwamba kuna mtu anataku kujiua.

na hata yule wa nigeri aliye taka kutembea juu ya maji kama yesu lakini alikufa kisheria ilibidi akamatwe mapema.
kwasababu haiwezekani mtu mumuone anabeba kamba kwenda kujinyonga mnamuangalia tu. na wakati sheria zipo.
lasi hivyo serikali itakuja kuwapoteza wanachi wake wengi sana kwa hizi dini za kipumbavu.
na ninacho shangaa walio waletea hizo dini walisha chukulia kawaida sana na kunawengine walisha acha kwenda hata makanisani ni baada kugundua mungu hayupo.
 
Ndio maana niliona nimjibu kulingana na akili yake. Kama Mungu alijiumba basi na ulimwengu nao ulijiumba.
Na kama Mungu hana nwanzo wala mwisho, pia ulimwengu hauna nwanzo wala mwisho.

Very sample
Mungu hawezi akaumbwa Kama tukibase kwenye logic kwa kutumia law of noncontradiction hilo haliwezekani.
 
Back
Top Bottom