mzamifu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2010
- 6,400
- 3,853
Labda tungejiuliza ni kwa nini dunia nzima kila jamii iliamini kuwepo kwa Mungu. Ni kwa nini kila jamii ilikuwa na tafsiri yake kuhusu huyo Mungu hadi kuja kwa hizi dini kubwa za sasa.
ikiwa watu wote walitokana na Adam na Baadae Nuhu ni kwa nini hapakuwepo na mwendelezo?
Ikiwa Mungu yuko kila mahali ni kwa nini anawaacha watu wamweleze tofauti tofauti.
Haya maswali ni ya akili ya kawaida tu si lazima kuwe na kufunuliwa.
Ukifikiri zaid unaweza uka theorise point ambayo binadamu alianzia kufikiri kuwepo kwa Mungu ukiacha kule Bustani ya Eden