Kama Musonda akiingia katika Mfumo na akacheza pamoja na Mayele tarehe 9 April 2023 nitajificha kwa Aibu ya Kufungwa nyingi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kuna Watu nawashauri mapema tu kwakuwa nimeshaona hawana Mabeki wa Kuwazuia akina Mayele na Musonda hiyo tarehe 9 April, 2023 basi GENTAMYCINE nawashauri kuanzia leo wakirejea kutoka Kuzurula na kupoteza muda na Pesa kwa Mwarabu wawatafute Waganga wazuri wa Kienyeji wa Kuwazuia Washambuliaji hawa HATARI ili ikifika tarehe tajwa ya Mtanange ( Mechi ) wote wawe ama na Shipa au Wameshikwa na Ngiri.

Popote pale walipo Watu wa Kamati ya Usajili ya Yanga SC Mimi GENTAMYCINE bila Unafiki wala Uwoga ( pamoja na kuwa ni mwana Simba SC lia lia ) nawapeni Shikamoo kwani kila mnakogusa ni patamu na sahihi.

Mwenyezi Mungu aiweke mahala pema Roho ya Marehemu Mafia Mwenzangu wa Soka la Bongo na Jicho Kali la Usajili Simba SC Zakaria Hanspoppe na Binafsi kama Mdogo wako GENTAMYCINE pengo lako naliona lipo na litaendelea kuwepo mpaka pale tu Mwarabu Mnyiramba Mmoja atakapoacha kutufanya wana Simba SC wote ni Hamnazo ( Hatuna Akili ) na Yeye anayetupeleka Baharini Uarabuni wakati hata hapa Dar es Salaam Bahari ipo ndiyo Mjanja.

Utakuwa ni Mwendawazimu Uliyetukuka ukikataa kuwa hata Msimu huu wa 2022 / 2023 NBC Premier League Yanga SC ndiyo Mabingwa tena na tuliobakia labda tupambane Kubeba Kombe la TFF ( ASFC ) au lile la Mnyama Day la kila tarehe 8 August ya kila mwaka.

Nakaribisha Matusi yote, dhihaka zote dhidi yangu GENTAMYCINE na nitashangaa nisipoona au nisipokuta Comment yoyote ile ikisema Mimi ni ( mwana ) Yanga SC dam dam au Kirusi au nina Chuki na Mwarabu Mnyiramba au siitakii Mema Simba SC.

Na nisisahau wakati tukitafuta Waganga wazuri wa Kienyeji wa Kuwaroga akina Mayele na Musonda tusimsahau pia na Kumroga na Aziz K ambaye kwa sasa nina uhakika Kipa Wetu Manula akiona tu Faulo imetokea Jirani atakuwa anapanga Ukuta wake huku na Choo chake cha kwao Matombo Mkoani Morogoro nacho taratibu kinaanza Kumpigia Hodi maeneo ya 'Kunako' ya Kibaiolojia kwani tayari anajua Mwanaume 'akikunjuka' tu ni Mawili aingie nao mazima Nyavuni au aufuate huku akitengua kabisa na Mbavu zake kisha akalazwe Sewahaji au Mwaisela Muhimbili kwa Matibabu zaidi.
 
Huku ni kujiandaa kisaikolojia kwamba mtafungwa. Unafanya hivi ili siku ikifika, urudi kusema NILISHASEMA..!!

Kama vipi hamia Yanga
 
Hofu yangu na Yanga yangu ni kule nyuma. Tuko exposed sana hasa timu pinzani ikivuka mstari wa viungo.
Hii hofu pia inatengenezwa na kocha kwa kutokumuamini Bacca. Bacca nimemuangalia kwa mechi alizocheza ni beki haswa lakini sijui ni kipi Nabi kinamfanya asimuamini.
 
Kuna Watu nawashauri mapema tu kwakuwa nimeshaona hawana Mabeki wa Kuwazuia akina Mayele na Musonda hiyo tarehe 9 April, 2023 basi GENTAMYCINE nawashauri kuanzia leo wakirejea kutoka Kuzurula na kupoteza muda na Pesa kwa Mwarabu wawatafute Waganga wazuri wa Kienyeji wa Kuwazuia Washambuliaji hawa HATARI ili ikifika tarehe tajwa ya Mtanange ( Mechi ) wote wawe ama na Shipa au Wameshikwa na Ngiri.

Popote pale walipo Watu wa Kamati ya Usajili ya Yanga SC Mimi GENTAMYCINE bila Unafiki wala Uwoga ( pamoja na kuwa ni mwana Simba SC lia lia ) nawapeni Shikamoo kwani kila mnakogusa ni patamu na sahihi.

Mwenyezi Mungu aiweke mahala pema Roho ya Marehemu Mafia Mwenzangu wa Soka la Bongo na Jicho Kali la Usajili Simba SC Zakaria Hanspoppe na Binafsi kama Mdogo wako GENTAMYCINE pengo lako naliona lipo na litaendelea kuwepo mpaka pale tu Mwarabu Mnyiramba Mmoja atakapoacha kutufanya wana Simba SC wote ni Hamnazo ( Hatuna Akili ) na Yeye anayetupeleka Baharini Uarabuni wakati hata hapa Dar es Salaam Bahari ipo ndiyo Mjanja.

Utakuwa ni Mwendawazimu Uliyetukuka ukikataa kuwa hata Msimu huu wa 2022 / 2023 NBC Premier League Yanga SC ndiyo Mabingwa tena na tuliobakia labda tupambane Kubeba Kombe la TFF ( ASFC ) au lile la Mnyama Day la kila tarehe 8 August ya kila mwaka.

Nakaribisha Matusi yote, dhihaka zote dhidi yangu GENTAMYCINE na nitashangaa nisipoona au nisipokuta Comment yoyote ile ikisema Mimi ni ( mwana ) Yanga SC dam dam au Kirusi au nina Chuki na Mwarabu Mnyiramba au siitakii Mema Simba SC.

Na nisisahau wakati tukitafuta Waganga wazuri wa Kienyeji wa Kuwaroga akina Mayele na Musonda tusimsahau pia na Kumroga na Aziz K ambaye kwa sasa nina uhakika Kipa Wetu Manula akiona tu Faulo imetokea Jirani atakuwa anapanga Ukuta wake huku na Choo chake cha kwao Matombo Mkoani Morogoro nacho taratibu kinaanza Kumpigia Hodi maeneo ya 'Kunako' ya Kibaiolojia kwani tayari anajua Mwanaume 'akikunjuka' tu ni Mawili aingie nao mazima Nyavuni au aufuate huku akitengua kabisa na Mbavu zake kisha akalazwe Sewahaji au Mwaisela Muhimbili kwa Matibabu zaidi.
Wewe huyu huyu leo?umenena vyema,kumbe unakuaga na akili
 
Kuna ujinga umeingia katika mpira wetu, kuja kuuondoa itakuwa kazi sana. Simba wapo kwenye magroup kwenye CAF Champions League (timu pekee Tanzania kufika hatua hiyo mwaka huu) na wapo nafasi ya pili kwenye ligi kuu huku tofauti yake na Yanga ni point 6 sawa na game 2 tu huku akiwa na magoli mengi zaidi. Inakuwaje hii ni takwimu mbaya? Hii ni performance ya heshima kabisa.

Lazima mmoja awe kileleni, haiwezekani timu mbili zikashinda ubingwa. Hii dhana kuwa ni sisi tu au tusiposhinda basi tuna timu mbovu ni dhana mbovu.

Nitaishia hapo kwa sasa.
 
Back
Top Bottom