Habari Jf ,Ni aibu kuona nchi kama Tanzania baada ya miaka 60 ya Uhuru bado ina changamoto nyingi sana ambazo hazitakiwa kuwepo ,kibaya zaidi bado CCM inaendelea tu kuwepo madarakani.
Kwa kifupi CCM haitakiwi kuendelea kuongoza hii nchi kutokana na muda iliopata lakini haifanikiwa kuondoa changamoto za kawaida kabisa.
Swali linakuja walimu wanelewa mambo mengi sana kuanzia historia ya nchi Mpaka Maliasili tulizo nazo ambazo zingeweza kututoa kwenye umasikini wa kutupwa tulio nao chini ya CCM anaweza safiri nje ya Mkoa wake kwenda kuipigia Kura CCM je raia wa kawaida itakuwaje?
Tusilaumu sana kuibiwa Kura ,hivi kwenye kituo cha watu 25000 CCM akipata Kura 1000 itakuwa rahisi kuiba?