Kama kuwalipa marefa tu shughuri ndo wataweza kuwa na vVARNapia marefa awahitaji lawama bodi ya ligi walete VAR kama hawataki makosa kama haya.
Fei, Farid & Tuisila walikosa nafasi za wazi mkuu, Kama ingekuwa kwenye mpira Kila nafasi mtu anafunga basi matokeo yangekuwa yanakuwa Kama ya basketballUtopolo mnaleta mbinu za Morinho,Simba wangekuwa makini kwenye umaliziaji sasa hivi kungekuwa na msiba mkubwa Jangwani.
unalazimisha timu kucheza unavyotaka wewe shabiki... kupaki basi ni mbinu ya mchezo piaUshabiki maandazi utakuua....
Yanga kaimarika kila Sehemu? ( kwa kupewa penati na kupaki basi).
DM simba wanaye Fraga ni majeruhi,
Kamzidi Kwa vigezo vipi?Yes,Hussein alicheza vizuri sana na alikuwa kikwazo kwetu,ila Mukoko alikuwa juu kidogo. Bashite amemiss kuandikwa tu kwenye headlines. Tshabalala alicheza vizuri kuliko wenzake ila hakumzidi teacher
Simba hii club bingwa inaweza tolewa mapema sana.Jinsi manara anavyo inadi simba ni tofauti na uwanjani.
mwangalie chama leo kafichwa na mukoko lakini mashabiki wanapinga ile tuzo aliyopewa tonombe hadi bashite amejitolea kumpa mo hussein
hahaahaa! We jamaa elezea basi una comment kama umeazima simu
Unaongelea mechi gani, au ya Mwadui?Chama kala buti sana leo cha kushangaza refa alikuwa anaangalia tu. Sio.chama tu hata Luis wamemkanyaga sana
Mkuu game na gwambina refa amekataa goli safi lisilo na dosari yoyote ile. Jana penati na faulo za wazi kabisa.Nasubiri kamati ya masaa 72 kuhusu Chama kukatwa na mustapha bila kuwa na mpira kwa kifupi nimegundua yanga ndio wanaongozwa kwa kubebwa na marefa na kupewa penati zisizo halali nawasubiri waandishi wao wataandika nini
Wamesema "Wanamichezo" ndo wachangie siyo mashabiki kama wewe.
Ndo wagundue huko kweny CL hawafiki popoteUnaongelea mechi gani, au ya Mwadui?
Unapopaki basi maana ake nini?unalazimisha timu kucheza unavyotaka wewe shabiki... kupaki basi ni mbinu ya mchezo pia
Yanga liñi ilifika popote?Ndo wagundue huko kweny CL hawafiki popote
Hizo middle kwanini hazikupeleka timu zao CL?Yule mkude kumuamzisha mechi za kimataifa kocha ajiangalie.! kuna middle ipo JKT kuna middle ipo polisi
Ndiyo simba wali tuzidi uwezo kwa chance walizo tengeneza tungekula hata saba wakati sisi tume piga 0 on target na 0 off target afu chama ange amka vizuri angefunga goli hata nne.Unapopaki basi maana ake nini?
Umezidiwa kiuwezo basi.
Kwani unamuonaje?Flaga atapambana na mamelod,zamalek
Unabisha kishabiki bro simba mna winga wazuri pamoja striker tatizo mkude mnahisi kiwango chake kitakua kile kile na umri ume enda mfano mechi ya jana.Hizo middle kwanini hazikupeleka timu zao CL?