Kama mwanamichezo umegundua nini mechi ya Simba na Yanga

Kama mwanamichezo umegundua nini mechi ya Simba na Yanga

Utopolo mnaleta mbinu za Morinho,Simba wangekuwa makini kwenye umaliziaji sasa hivi kungekuwa na msiba mkubwa Jangwani.
Fei, Farid & Tuisila walikosa nafasi za wazi mkuu, Kama ingekuwa kwenye mpira Kila nafasi mtu anafunga basi matokeo yangekuwa yanakuwa Kama ya basketball
 
Nilichogundua Yanga huwa akimfunga Simba goli moja huwa anawaza kudefence zaidi kuliko kutafuta goli lingine tofauti na Simba mara nyingi akianza kumfunga Yanga huwa anapeleka msiba mzito zaidi. Kwa jana baada ya yanga kumfunga Simba walkua na uwezo wa kupata goli la pili la haraka coz Simba walipoteana kidogo badala yake wakawa wanalinda goli.

Cha pili wachezaji wa ndani ya nchi uwezo wao mdogo ukilinganisha na wanaotoka nje,
 
Ushabiki maandazi utakuua....
Yanga kaimarika kila Sehemu? ( kwa kupewa penati na kupaki basi).

DM simba wanaye Fraga ni majeruhi,
unalazimisha timu kucheza unavyotaka wewe shabiki... kupaki basi ni mbinu ya mchezo pia
 
Jinsi manara anavyo inadi simba ni tofauti na uwanjani.
mwangalie chama leo kafichwa na mukoko lakini mashabiki wanapinga ile tuzo aliyopewa tonombe hadi bashite amejitolea kumpa mo hussein
Simba hii club bingwa inaweza tolewa mapema sana.
 
Nasubiri kamati ya masaa 72 kuhusu Chama kukatwa na mustapha bila kuwa na mpira kwa kifupi nimegundua yanga ndio wanaongozwa kwa kubebwa na marefa na kupewa penati zisizo halali nawasubiri waandishi wao wataandika nini
Mkuu game na gwambina refa amekataa goli safi lisilo na dosari yoyote ile. Jana penati na faulo za wazi kabisa.
 
Yule mkude kumuamzisha mechi za kimataifa kocha ajiangalie.! kuna middle ipo JKT kuna middle ipo polisi
 
Unapopaki basi maana ake nini?
Umezidiwa kiuwezo basi.
Ndiyo simba wali tuzidi uwezo kwa chance walizo tengeneza tungekula hata saba wakati sisi tume piga 0 on target na 0 off target afu chama ange amka vizuri angefunga goli hata nne.

sisi simba tunakikosi kipana level zetu ni kina zamalek
 
Nilichokiona kwa Yanga ni kucheza kwa jihad tu ila mpira hakuna,

Nilichokiona kwa refa ni kuibeba Yanga dhahiri bila kupepesa macho,

Nilichokiona kwa Simba ni kucheza vizuri bila kujali rafu za mara kwa mara walizokuwa wakichezewa na kutopanic ovyo na kutulia na kusawazisha goli.

Nilichokiona kwa Simba kingine ni kucheza kwa kujiamini sana huku wakijua watawin game
 
Hizo middle kwanini hazikupeleka timu zao CL?
Unabisha kishabiki bro simba mna winga wazuri pamoja striker tatizo mkude mnahisi kiwango chake kitakua kile kile na umri ume enda mfano mechi ya jana.

center back yenu haina nguvu wawa na onyango sio pacha nzuri. wawa hastahili kumkalisha ame bench
 
Back
Top Bottom