rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Ungekuwa uchafu msingehonga na kageraUle uchafu wa FA ndo unazungumzia?tunazungumzia ligi kuu mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungekuwa uchafu msingehonga na kageraUle uchafu wa FA ndo unazungumzia?tunazungumzia ligi kuu mzee
Uchafu kwa kuwa mlifungwa sio...?Ule uchafu wa FA ndo unazungumzia?tunazungumzia ligi kuu mzee
Mwaka huu mtasema yote🤣🤣🤣🤣Ungekuwa uchafu msingehonga na kagera
Wanaoongoza kwa malalamikoKweli marefa wanatuhujumu sana hata mechi ya Ruvu shooting ili takiwa tushinde ila klabu bingwa kule tutapita coz hamna marefa wa bongo
Kasome shule upya ama utubuNinachojua Mimi Simba 1-0 bwawani.
Nyie angaikeni na gwambinaMwaka huu mtasema yote🤣🤣🤣🤣
Hivi kuna sehemu Cedric alisema alibadili mbinu kipindi cha Pili??Mimi nadhani Simba ndio Walibadilika, Simba walibadilika kuanzia kipindi cha Kwanza Dk ya 33 uwanja ulishainama mpaka half time, kipindi cha pili chote uwanja uliendelea kuinama , baada ya kusawazisha Yanga walikuwa ktk dk 5 ngumu sana ukiondoa shuti LA Fei Toto.Yanga ilitakiwa kumaliza mechi first half,Mbinu za Cedric second half kuwaacha wale mababu kupumua ndiyo imetumaliza Yanga.
Si mbaya, matokeo ya sare kwa Yanga ni faida kuliko mikia
Yanga ndio utamaduni wao, hata wakicheza na team nyingine ushindi wao ndio huo wa goli moja, ni culture ya club ya Yanga kuamini Goli moja linatosha kuleta points 3!!Nilichogundua Yanga huwa akimfunga Simba goli moja huwa anawaza kudefence zaidi kuliko kutafuta goli lingine tofauti na Simba mara nyingi akianza kumfunga Yanga huwa anapeleka msiba mzito zaidi. Kwa jana baada ya yanga kumfunga Simba walkua na uwezo wa kupata goli la pili la haraka coz Simba walipoteana kidogo badala yake wakawa wanalinda goli.
Cha pili wachezaji wa ndani ya nchi uwezo wao mdogo ukilinganisha na wanaotoka nje,
Kwanini mnadhani Yanga ndio imeamua kupaki basi na sio Simba ilibadilika na kuanza kupeleka Mashambulizi mfululizo??Uwanjani mpira uko mmoja tu, mwenzio akiumiliki wewe huna jinsi zaidi ya kuzuiaunalazimisha timu kucheza unavyotaka wewe shabiki... kupaki basi ni mbinu ya mchezo pia
Hao wachawi wana uwezo?hawapendi hela?kama wana Uwezo si waende BOT wakabebe hela kimiujiza na mabegi wakawe matajiri??1.WACHAWI WALIKUWA WAMEWEKEZA KWA MABEKI
2.BEKI WA SIMBA ANASABABIBISHA PENALT YA AJABU AJABU AMBAYO MAREFA 6 WAMETIWA UZEZETA
3.BEKI KISIKI WA YANGA ANAPIGWA MAKOMBORA YA HATARI ANAUMIA KIMIUJIZA ANATOKA
4.BEKI WA SIMBA ALIYESABABISHA GOLI ANAFUNGA GOLI LA KIMIUJIZA
5.ILIKUWA SIO MECHI YA UWANJANI BALI KUNA WABABE WAKICHAWI WALIKUWA WANAPAMBANA NJE YA UWANJA
Amenishangaza sana huyu MtuKwaiyo jana mkude kacheza ovyo?
Hao wanaosema hivyo ni upotolo wanatafuta sababuHivi kuna sehemu Cedric alisema alibadili mbinu kipindi cha Pili??Mimi nadhani Simba ndio Walibadilika, Simba walibadilika kuanzia kipindi cha Kwanza Dk ya 33 uwanja ulishainama mpaka half time, kipindi cha pili chote uwanja uliendelea kuinama , baada ya kusawazisha Yanga walikuwa ktk dk 5 ngumu sana ukiondoa shuti LA Fei Toto.
Kama MTU atataka kuja kunishawishi kuwa Kaze alibadili mbinu aniambie alibadili kuanzia Dk ya 33 kipindi cha kwanza.Rejea marudio ya game uone
Simba walibadili mbinu kutoka formation ipi kwenda ipi? Au kutoka katika aina ipi ya mchezo kwenda kwenye aina ipi?Hivi kuna sehemu Cedric alisema alibadili mbinu kipindi cha Pili??Mimi nadhani Simba ndio Walibadilika, Simba walibadilika kuanzia kipindi cha Kwanza Dk ya 33 uwanja ulishainama mpaka half time, kipindi cha pili chote uwanja uliendelea kuinama , baada ya kusawazisha Yanga walikuwa ktk dk 5 ngumu sana ukiondoa shuti LA Fei Toto.
Kama MTU atataka kuja kunishawishi kuwa Kaze alibadili mbinu aniambie alibadili kuanzia Dk ya 33 kipindi cha kwanza.Rejea marudio ya game uone
Ukiifunga kila timu goli moja, unachukua ubingwa. No matter what!Yanga ndio utamaduni wao, hata wakicheza na team nyingine ushindi wao ndio huo wa goli moja, ni culture ya club ya Yanga kuamini Goli moja linatosha kuleta points 3!!
Hilo LA Pili lipo sehemu zote duniani katika fani na taaluma mbalimbali wageni kuwa bora kuliko wenyeji, mgeni mzembe hawezi kutoka nje ya mipaka yake, akitoka lazima awe competent.Ni kawaida
Haha sureWanaoongoza kwa malalamiko
1. Trump
2. Act & Chadema
3. Simba
Nimeshangaa pia Mkuu, au wezentu huwa walitazama mechi tofautiAmenishangaza sana huyu Mtu
Tatizo ni tafsiri wala siyo VAR.Napia marefa awahitaji lawama bodi ya ligi walete VAR kama hawataki makosa kama haya.
Kweli kabisaTatizo ni tafsiri wala siyo VAR.
Hata VAR ikiwapo tafsiri ya mwamuzi ni muhimu. Maana VAR inaweza kuonesha jinsi tukio lilivyotokea lakini mwamuzi akaona hamna sababu. Akapeta!