Kama ipo ipo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,119
- 1,728
Huwezi kupata jibu hapa 😅😅 watalipita hili swali kama wanaaga maiti😄Sawa.
Je, Qurani inasemaje kama mwanamume anamtesa na kumfanyia vitendo vibaya Mwanamke ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi kupata jibu hapa 😅😅 watalipita hili swali kama wanaaga maiti😄Sawa.
Je, Qurani inasemaje kama mwanamume anamtesa na kumfanyia vitendo vibaya Mwanamke ?
MAJI,MVUKE,BARAFU YOTE NI MAJIHao wanahangaika tu kuichafua Quran kwa kugugo,aya iko wazi katika hizo hatua,sasa sijui mtu anshindwaje kuelewa!!..ndiyo maana wanaamini mtu huyohuyo mtoto wa Mungu, huyohuyo Mungu na kuna mwingine roho mtakatifu wote ni kitu kimoja
Yaite maji badala ya barafu,mvukeMAJI,MVUKE,BARAFU YOTE NI MAJI
Leta ushahidi, la sivyo, u mwongo.Quran pia inasema wanawake wana akili ndogo kuliko wanaume,pia wao ndiyo watakuwa wengi kwenye moto wa kuzimu kuliko wanaume.
Hiyo ni 'crystal clear' . Ndiyo taha ya Qur'an, kama unajidai huielewi unakuwa ni kondoo tu.umemaliza, hizo aya hazihitaji maelezo mengi, mwenye ufahamu hata wa darasa la 3 D, anaweza elewa kilichoandikwa hapo.
Quran inaruhusu mwanamke kupewa kisago na mume wake as he wishes at anytimeNaam, umeniita?
Tatizo nini?
Once Allah's Messenger (ï·º) went out to the Musalla (to offer the prayer) of `Id-al-Adha or Al-Fitr prayer. Then he passed by the women and said, "O women! Give alms, as I have seen that the majority of the dwellers of Hell-fire were you (women)." They asked, "Why is it so, O Allah's Messenger (ï·º) ?" He replied, "You curse frequently and are ungrateful to your husbands. I have not seen anyone more deficient in intelligence and religion than you. A cautious sensible man could be led astray by some of you." The women asked, "O Allah's Messenger (ï·º)! What is deficient in our intelligence and religion?" He said, "Is not the evidence of two women equal to the witness of one man?" They replied in the affirmative. He said, "This is the deficiency in her intelligence. Isn't it true that a woman can neither pray nor fast during her menses?" The women replied in the affirmative. He said, "This is the deficiency in her religion."Leta ushahidi, la sivyo, u mwongo.
Unaleta porojo ambazo kwazo sifahamu unamaanisha nini.Once Allah's Messenger (ï·º) went out to the Musalla (to offer the prayer) of `Id-al-Adha or Al-Fitr prayer. Then he passed by the women and said, "O women! Give alms, as I have seen that the majority of the dwellers of Hell-fire were you (women)." They asked, "Why is it so, O Allah's Messenger (ï·º) ?" He replied, "You curse frequently and are ungrateful to your husbands. I have not seen anyone more deficient in intelligence and religion than you. A cautious sensible man could be led astray by some of you." The women asked, "O Allah's Messenger (ï·º)! What is deficient in our intelligence and religion?" He said, "Is not the evidence of two women equal to the witness of one man?" They replied in the affirmative. He said, "This is the deficiency in her intelligence. Isn't it true that a woman can neither pray nor fast during her menses?" The women replied in the affirmative. He said, "This is the deficiency in her religion."
Reference : Sahih al-Bukhari 304
Sasa ulitaka mkeo apewe "kisago" na jirani yako?Quran inaruhusu mwanamke kupewa kisago na mume wake as he wishes at anytime
Kipi ulichokisoma kwenye Qur'an kilichopitwa na wakati?Ukiifuatilia Quran utakuwa mtu wa hajabu na mwenye hasira muda wote kwani wenzetu wanaishi maisha ya karne ya 6 na kwa makusudi hawataki kwenda na wakati na ndiyo maana wanaamini vitu vilivyopitwa na wakati.
Uislam mwema sana.Uislam huu jamani, hii dini ni CULT ya shetani, mkiifuatilia mtaumia shauri yenu. Angalieni Waarab wanavyoishi huko makwao kwa mateso na kukimbilia Ulaya ukimbizini kutafuta amani.
hapa vipi:Kuruhan haijawahi mpenda mwanamke, hadi kasichana ka miaka 9 inakadinya tu
Hapo sawaSasa ulitaka mkeo apewe "kisago" na jirani yako?
Mtaelewa tu. Uislam ni mwema sana.Hapo sawa
Makundi ya magaidi 99% yanamilikiwa na waislamu!!Mtaelewa tu. Uislam ni mwema sana.
Ushahidi unao au umejazwa ujinga tu?Makundi ya magaidi 99% yanamilikiwa na waislamu!!