Kama mwanamke haoni shida kuacha familia yake kuja kuishi na wewe mwanaume, Vivyo hivyo anaweza kukuacha na kwenda kuishi na mwanaume mwingine.

Infropreneur

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2022
Posts
9,830
Reaction score
20,686
Wakati unafurahia mke wako kuacha familia yake kuja kuishi na wewe, Ulisahau kwamba ana uwezo wa kukuacha hata na wewe.

Ulileta hisia zako na mkeo akaleta hisia zake mkapendana na kuamua kuishi pamoja, ila ulisahau kwamba hisia huweza kuisha muda wowote ukaachwa mchana kweupe (in a day broad light).

Ulikubali kufunga ndoa kwa hisia tu na ukasaini makaratasi kwa kuendeshwa na hisia, ila ulisahau kwamba ndoa ni mkataba wa hisia ambazo huweza kuisha muda wowote. Hisia zikiisha ndoa imeisha.

Timbwili, vibwanga na vibweka vikianza ndio unaamka na kukumbuka shuka kumekucha.

Mwanamke ni kiumbe kinacho endeshwa kwa hisia, Kama mwanamke anaweza kumwacha baba na mama yake kuja kuishi na wewe. Unadhani atashindwa kukuacha na wewe?

Wewe ni nani usiachwe?

Unataka upendwe kwa asilimia mia na mtu mliyekutana ukubwani?

Wakukupenda kwa asilimia mia labda ni mama yako mzazi, Tofauti na hapo sahau kuhusu kupendwa kwa dhati na binadamu yeyote yule.

Stay awake, kaa rada kinaweza kikanuka muda wowote na siku yeyote.

True love❣️ ni moja tu ya mtu kujipenda mwenyewe. Tofauti na hapo kila mtu anajali maslahi yake binafsi kwanza.

Ndio maana wanawake wapo makini kwenye kulia timing mali ya mwanaume. Kwanza wanaamini wanaume ndio wanawahi kufa kuliko wao.

Stay awake, Mapenzi ya kweli alishakupa mama yako.

Tofauti na hapo hakuna wa kukupa mapenzi ya kweli. Kila mtu anacheki namna gani ya kujinufaisha yeye kwanza.

I'm out.
 
Dah ukwel mchungu .
20250226_202609.jpg
 
Kwa hali hii itabidi tuwe na mahusiano ya kimapenzi na wanaweke wengi ili mmoja akizingua akaondoka wengine wapo, na itabidi kuzaa na wanawake wengi ili kuendeleza uzazi
 
Ndio maana wazee wetu walikuwa na polygamous marriages. Mwanamke huyu akizingua unampiga chini.

Kizazi cha sasa kinataka uzungu mwingi.

Na ndio maana wengi wanapigwa matukio na kubaki kulia lia.
 
Ujinga tu.

Na ninyi huwa mnadhani kama tuna wawaza kila wakati.

Naweza kaa mwaka mzima na nisimuwaze mtu.
 
Ni ukweli mtupu ukiondoa wazazi hasa mama wanaofuata ni watoto wako ndio watakupenda kama umewalea kwa maadili mazuri.

Mimi naishi na mke wangu vzr sana lakini najua ipo siku sitakuwa nae kwahiyo active vibaya mno
 
Wakati unafurahia mke wako kuacha familia yake kuja kuishi na wewe, Ulisahau kwamba ana uwezo wa kukuacha hata na wewe.

Ulileta hisia zako na mkeo akaleta hisia zake mkapendana na kuamua kuishi pamoja, ila ulisahau kwamba hisia huweza kuisha muda wowote ukaachwa mchana kweupe (in a day broad light).

Ulikubali kufunga ndoa kwa hisia tu na ukasaini makaratasi kwa kuendeshwa na hisia, ila ulisahau kwamba ndoa ni mkataba wa hisia ambazo huweza kuisha muda wowote. Hisia zikiisha ndoa imeisha.

Timbwili, vibwanga na vibweka vikianza ndio unaamka na kukumbuka shuka kumekucha.

Mwanamke ni kiumbe kinacho endeshwa kwa hisia, Kama mwanamke anaweza kumwacha baba na mama yake kuja kuishi na wewe. Unadhani atashindwa kukuacha na wewe?

Wewe ni nani usiachwe?

Unataka upendwe kwa asilimia mia na mtu mliyekutana ukubwani?

Wakukupenda kwa asilimia mia labda ni mama yako mzazi, Tofauti na hapo sahau kuhusu kupendwa kwa dhati na binadamu yeyote yule.

Stay awake, kaa rada kinaweza kikanuka muda wowote na siku yeyote.

True love❣️ ni moja tu ya mtu kujipenda mwenyewe. Tofauti na hapo kila mtu anajali maslahi yake binafsi kwanza.

Ndio maana wanawake wapo makini kwenye kulia timing mali ya mwanaume. Kwanza wanaamini wanaume ndio wanawahi kufa kuliko wao.

Stay awake, Mapenzi ya kweli alishakupa mama yako.

Tofauti na hapo hakuna wa kukupa mapenzi ya kweli. Kila mtu anacheki namna gani ya kujinufaisha yeye kwanza.

I'm out.
100% Kiumbe Mwanamke kina asili ya Nyoka Ndani yake. kaanae kwa Akili 100% sio Mimi Biblia kaanae kwa Akili
 
Back
Top Bottom