Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Wakuu!
Heri ya Siku yenu Wanawake wote wa hapa JF, nyie ni wa muhimu sana, tunawapenda❤️❤️❤️
Leo ni siku ya kusherehekea wanawake wote na yale wanayotufanyia kila siku kwa nguvu, upendo, na kujitolea.
Kutoka kwa mama, dada, binti, hadi marafiki wanawake ni nguzo muhimu katika maisha yetu.
Dhima ya Maadhimisho ya Mwaka huu duniani ni "Accelerate Action".
Siku ya Wanawake 2025 ni zaidi ya sherehe, ni hatua ya kuongeza kasi za Ukombozi na kumwezesha Mwanamke
Dhima hii inatufundisha kuwa, sasa ndiyo wakati wa kuongeza nguvu na kuchukua hatua za haraka kuleta mabadiliko. Hatuwezi kubaki nyuma tena, tuwawezeshe Wanawake kupata nafasi za uongozi, biashara, na ajira kwa usawa
Sasa tuwasherehekeaje?
Piga simu za salamu na Pongezi, tuma zawadi (hela ni muhimu🤣) mpostiane jamani na jumbe nzuri za kutiana moyo, msaidiane kupika leo na shughuli za nyumbani na mtoke out.... lunch au dinner (mtaamua wenyewe 😌💁🏾♀️)
Leo muwe wapole huko nyumbani🤣 ukali uendelee kesho
Mimi nimemaliza, ongeza njia nyingine ya kusherekea uliyo nayo
Karibuni