Imeshakuwa kawaida sana kuona status za wanawake wa kilokole wakimweka mhungaji wao na kumuandika "DADDY" yani BABA YANGU.
Wachungaji wa kilokole ni hawa wanaosifika kwa miujiza ya Gesi, Keki za Upako, kufufa maiti, n.k. ukishaona mwanamke wako kakamatwa masikio na aina hii ya wachungaji jihesabie maumivu.
In short huyo mwanamke hutamweleza lolote likishaamuliwa na mchungaji wake .
Wanawake wa aina hii tayari humuona mchungaji ndie Mungu, usihangaike. Wewe huna sauti kwake kabisa, usihangaike. Wewe huna sauti kwake kabisa.
Yupo tayari kumtumikia mchungaji kwa njia yeyote ile, akiombwa penzi nakuhakikishia hawezi kukataa na anaweza kuona ni tendo la baraka zaidi la kupokea upako.
Mchungaji akimwambia ana shida ya pesa yupo tayari kuuza hata mali zako aende kumpa mchungaji wake.
Mkikutana na mchungaji mkiwa wote utaiona tu body language yake, atakuwa mnyenyekevu (submissive) kupitiliza, kila kitu ambacho mchungaji anaongea yupo makini sana kuliko umakini ambao kawahi kukupa