Kama mwanaume anaweza kumuacha mwanamke baada ya mimba, sioni tatizo mwanamke kumuacha mwanaume fukara

Kama mwanaume anaweza kumuacha mwanamke baada ya mimba, sioni tatizo mwanamke kumuacha mwanaume fukara

Lakini mambo ya uchumi yanamhusu kila mtu sio mwanamke sio mwanaume. Lakini masuala ya mimba yanamhusu mwanamke na yeye ndiye atakaye umia zaidi kwasababu mimba inabadilisha kabisa maisha ya mwanamke
 
Kama mwanaume anaweza kumuacha mwanamke baada ya kumtia mimba, Sioni tatizo mwanamke akimuacha mwanaume aliye poteza kazi,ajira au fukara
Hata mimi sioni, kila mtu akae na mtu anaemtaka kwa muda anaomfaa.
 
Back
Top Bottom