Kama mwanaume anaweza kumuacha mwanamke baada ya mimba, sioni tatizo mwanamke kumuacha mwanaume fukara

Kama mwanaume anaweza kumuacha mwanamke baada ya mimba, sioni tatizo mwanamke kumuacha mwanaume fukara

Wanaume kiasili ni washindi na ndio maana dunia ilitengeneza hila ya ndoa ili kuwadhibiti na majukumu

Kwa moyo mmoja na nia njema mwanamke MPUMBAVU usishindane na mwanaume

Dunia hii kiasili watoto ni wa mke wanawake ndio creator wa reality

Ndio maana utaona kuku JIKE analea wanae

Mbuzi

Bata

Nyangumi

Mende

Kunguru nk

Wote wanajua jukumumu la malezi ni la mama

Ila kwa hila binadamu akatengeneza ndoa Baada ya kuona athari za malezi bila Baba

Kuwa karibu na aliyekutia mimba acha usumbifu
 
Upo sahihi. Na kama wanaume wanapenda wanawake wazuri basi pia hakuna ubaya wanawake kupenda wanaume wenye pesa. Muhimu watu wasipangiane vitu vya kupenda.
 
Kama mwanaume anaweza kumuacha mwanamke baada ya kumtia mimba, Sioni tatizo mwanamke akimuacha mwanaume aliye poteza Kazi, Ajira au Fukara

KWAHIYO UMEKUJA HAPA KUHALALISHA ULIYOFANYA YA KUMUACHA KIJANA WA WATU ALIYEPOTEZA KAZI?
Jua tu umefanya udhalilishaji wa hali ya juu. Subiri Mungu amfungulia mlango mwingine apate kazi na kipato mara mbili ya ulichomkuta nacho, tukuone ukija hapa kulia lia kuwa hakupi hela ya matumizi ....sijui ya mtoto.
 
Back
Top Bottom