Kama mwanaume unaweza kukaa siku nzima bila kupokea meseji ya " mambo" basi jua kuna kitu kina miss kwenye maisha yako

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Mwanaume aliyekamilika lazima apokee meseji inayo sema " mamb" walau mara 4 kwa Siku kutoka kwa watoto wa kike.

Mimi kwa Siku napokea zaidi ya mara 7 kutoka kwa wasichana 7 tofauti. Na wewe sema " NAPOKEA" !!!
Haya pokea.

Nisipopokea msg kama hiyo naweza kuumwa walahi.
 
Mwanaume alie kamilika lazima apokee meseji inayo sema " mamb" walau mara 4 kwa Siku kutoka kwa watoto wa kike.

Mimi kwa Siku napokea zaidi ya mara 7 kutoka kwa wasichana 7 tofauti. Na wewe sema " NAPOKEA" !!!
Haya pokea.

# Nisipopokea msg kama hiyo naweza kuumwa walahi.
Hao watoto wakike wanaoandika "mamb" ni wa uswahilini wasio na elimu wala mishe yoyote. Mwanamke mwenye kipato na elimu yake anaandika sms inayoeleweka.
 
Mwanaume alie kamilika lazima apokee meseji inayo sema " mamb" walau mara 4 kwa Siku kutoka kwa watoto wa kike.

Mimi kwa Siku napokea zaidi ya mara 7 kutoka kwa wasichana 7 tofauti. Na wewe sema " NAPOKEA" !!!
Haya pokea.

# Nisipopokea msg kama hiyo naweza kuumwa walahi.
Mwanaume(Man) sio issue ya jinsia tu,.......wewe ni mvulana(boy),endelea kubalehe
 
Back
Top Bottom