Kama mwanaume unaweza kukaa siku nzima bila kupokea meseji ya " mambo" basi jua kuna kitu kina miss kwenye maisha yako

Mwanaume(Man) sio issue ya jinsia tu,.......wewe ni mvulana(boy),endelea kubalehe
You love to stress yourself right? Unadhani kuwa na mawazo mengi ndio utu uzima eti eeh?

Hata Mimi zamani nilikuwaga kama wewe . Mwisho wa siku nikagundua nilikuwa nafanya kazi ya kudinya moto naungua mavuzi
 
Mwanaume alie kamilika lazima apokee meseji inayo sema " mamb" walau mara 4 kwa Siku kutoka kwa watoto wa kike.

Mimi kwa Siku napokea zaidi ya mara 7 kutoka kwa wasichana 7 tofauti. Na wewe sema " NAPOKEA" !!!
Haya pokea.

# Nisipopokea msg kama hiyo naweza kuumwa walahi.
Si kila mwanaume ana akili kama zako. Mwanaume halisi ana priority, ana malengo, kutwa yupo field anapambana kwa ajili yake na kizazi chake
Huyo wmanaume anaeo ngoja message za mademu hana kazi ya kufanya
 
Kuna umri na kikomo cha kuandikiwa sms hizo.Sansana mimi huwa naandikiwa "pitia maziwa ya unga na mchele.Huku hatuna chochote".Na hawajui kama sina hela wala nini.Nawapelekea.
 
You love to stress yourself right? Unadhani kuwa na mawazo mengi ndio utu uzima eti eeh? Haya umevumbua kitu gani mkuu?
Stop stressing yourself over nothing. Maisha ni kufurahia wakati wote. Hii dunia sio yako. Hujaiumba hii dunia umepewa. Live ur life to the fullest.

Everything on this planet is temporary including u.

Unapoteza muda wako kutafuta permanent solution over the temporary problems.

Sisubiri meseji ila zinakuja zenyewe.

Ukiona wa Dada wazuri wanakutafuta mwanaume hivyo basi jua you have something in You both in the physical realm and in the realm of the spirits.

Kama wanawake hawakutafuti basi wewe hata nyota huna.

Wanawake huwaga wana weza kusoma nyota ya mwanaume.

Hawamfuati mwanaume mjinga mjinga.

Hata mke wa Farao alisoma nyota ya Yusufu ndio maana alitaka kulala nae

Tafakari. Chukua hatua.

Haki Elimu
 
Kuna umri na kikomo cha kuandikiwa sms hizo.Sansana mimi huwa naandikiwa "pitia maziwa ya unga na mchele.Huku hatuna chochote".Na hawajui kama sina hela wala nini.Nawapelekea.
Kwa sababu unapenda kujistress your self ndio maana una andikiwa meseji za ajabu ajabu kama hizo..

Meseji za " mamb" Hadi mzee Warioba anaandikiwa. Sembuse wewe ulie zaliwa mwaka 1982.
 
Mwanaume alie kamilika lazima apokee meseji inayo sema " mamb" walau mara 4 kwa Siku kutoka kwa watoto wa kike.

Mimi kwa Siku napokea zaidi ya mara 7 kutoka kwa wasichana 7 tofauti. Na wewe sema " NAPOKEA" !!!
Haya pokea.

# Nisipopokea msg kama hiyo naweza kuumwa walahi.
Si wengine msg za vizinga tu mwanzo mwisho
 
Back
Top Bottom