NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
uzoefu huwa unatoka wapi?Kuna mradi wowote wa mabasi JKT waliowahi kuundesha kuwa wana uzoefu nao?
JWTZ ndio wanaondesha mwendokasi
Baada ya kufanya h9yo shughuli husika muda mrefu .Mfano JKT wana uzoefu kwenye kilimo wana uzoefu zaidi ya miaka 60 hilo la juendesha mabasi wana uzoefu gani?uzoefu huwa unatoka wapi?
Wapewe kwani kazi ngapi.wanazifanya Kwa mafanikio na tunaziona!!?wapewe waonyeshe uwezo wao.Kuna mradi wowote wa mabasi JKT waliowahi kuundesha kuwa wana uzoefu nao?
HawanaBaada ya kufanya h9yo shughuli husika muda mrefu .Mfano JKT wana uzoefu kwenye kilimo wana uzoefu zaidi ya miaka 60 hilo la juendesha mabasi wana uzoefu gani?
Kinachohitajika ni management na mtaji mkubwahiyo project haiitaji nguvu ni management makini tu.
Jeshi ni jeshi mbona kilimo wanaweza!!?acheni kudharau jeshi!!Wale wavuta bangi wa 4 za 32?
Shida sio nani wa kuongoza ni mtaji .Anatakiwa atakayeleta mtaji mkubwa mpya anunue mabasi mengi na kuweka mifumo ya kisasa ya uendeshajiWapewe kwani jkt Hawana magari!!?watashindwa kujiendesha!!?hai mnaowapa mnawajua Wapoje...
Umeongeza na Magereza.....!🙄Jeshi ni jeshi mbona kilimo wanaweza!!?acheni kudharau jeshi!!
Mi naamini nikishika hatamu jkt na magereza wanaweza kabisa kutumika kama mango la uchumi.wa nchi!!!
Hata viwanda vya sukari,mafuta kula,Wine ya zabibu ,viwanda vya nyama na maziwa,nguo vyote wanaweza simamia na nchi ikasonga kuliko kutegemea sekta binafsi pekee ambayo inazingua Hadi kwenye sukari!!
🤣🤣Uchumi kuzid,Israel,misri na urusiJeshi ni jeshi mbona kilimo wanaweza!!?acheni kudharau jeshi...