Kama Mwendokasi imewashinda wapeni JKT waendeshe!

Kama Mwendokasi imewashinda wapeni JKT waendeshe!

Kinachohitajika ni management na mtaji mkubwa

Waziri anasema walitaka kununua mabasi.mapya akaletewa gharama zake kwa basi moja kuwa ni milioni 500 wakaona hilo are mwenye mtaji mkubwa afanye

Hao wawekezaji wako tayari kuleta mabai 100.kwa mpigo.Pesa ipo
Wapeni SGR na ATCL. Usijeshangaa kwenye masharti ya mkataba kuna kipengele kitakachowataka Serikali kukabidhi mradi ukiwa na mabasi mapya kadhaa. Na bila aibu ikafanya hivyo.
 
Shida sio nani wa kuongoza ni mtaji .Anatakiwa atakayeleta mtaji mkubwa mpya anunue mabasi mengi na kuweka mifumo ya kisasa ya uendeshaji

Majeshi yote hayana pesa xa kuwekeza pale
Lakini mapesa ya kulipa maposho na mamishahara makubwa wanasiasa yapo SI ndio!!?

Serikali ingenunua mabasi halafu ikawapa jamaa wakaendesha baada ya muda wangejiendesha tu!

Tena wangeanzisha na mabasi ya mkoani pia na kushindana na sekta binafsi mbona tunanunua madege na Kila siku faida hamna!!?no hasara TU ya hayo ma dream liner!!?

So sad!!
 
Shida sio nani wa kuongoza ni mtaji .Anatakiwa atakayeleta mtaji mkubwa mpya anunue mabasi mengi na kuweka mifumo ya kisasa ya uendeshaji

Majeshi yote hayana pesa xa kuwekeza pale
Serikali iwekeze mitaji mbona ndege tunanunua !!?Bus tunashindwa nini!!?
 
Kinachohitajika ni management na mtaji mkubwa

Waziri anasema walitaka kununua mabasi.mapya akaletewa gharama zake kwa basi moja kuwa ni milioni 500 wakaona hilo are mwenye mtaji mkubwa afanye

Hao wawekezaji wako tayari kuleta mabai 100.kwa mpigo.Pesa ipo

Kwamba Sisi pesa ya mtaji hatuna??
 
Hii nchi kweli ina mambulula
Yaani JKT iliyojaa darasa la saba ndio iendeshe mradi unaohitaji Engineering, Finance, na Business Managegement skills ?
Hao wataalamu SI wanatafutwa tu!!?wao wabaki kama wasimamizi!!?kwani hakuna graduate was hizo kozi hapa bongo Hadi tuwape waarabu!!?

Engineering pale DIT hawapo!!?
 
Kwamba Sisi pesa ya mtaji hatuna??
Dola sasa hivi hamna .Serikali pesa za kuwekeza pesa nyingi za dola hamna
Madola ya kuagizaaa hayo mabasi hayapi
Nenda hata kwenye mabenki sasa hivi unakuta dola hawana
 
Wapewe kwani jkt Hawana magari!!?watashindwa kujiendesha!!?hai mnaowapa mnawajua Wapoje!!?

Au ni ufinyu was fikra!!?

Basi wakishindwa wawape magereza tuone uwezo wao pia!!

Hawana
Hebu tuimbe kidogo wazalendo,
Team Mt.Nyerere(Anaanza Maria Nyerere)Stanza
Alisema ,Alisema!! Alisema Nyerere*2
Vijana wote tuchangamke
Sharti tuimbe mchakamchaka(Anna Nyerere)
Chinja*3
(Makongoro Nyerere anaitika)
Hivi Yule babu alimaanisha nn?🤣🤣
 
Dola sasa hivi hamna .Serikali pesa za kuwekeza pesa nyingi za dola hamna
Madola ya kuagizaaa hayo mabasi hayapi
Nenda hata kwenye mabenki sasa hivi unakuta dola hawana
Serikali haijaamua tu kuwekeza huko
 
Dola sasa hivi hamna .Serikali pesa za kuwekeza pesa nyingi za dola hamna
Madola ya kuagizaaa hayo mabasi hayapi
Nenda hata kwenye mabenki sasa hivi unakuta dola hawana
Sasa kama Hali ipo hivyo!kwanini wenye dhamana wasifanye coup d'etat!!?yaani mmeshindwa kuendesha nchi ccm iakrudi.chimwaga makam akawa ndie!!?na yeye amesomea maswala ya fedha!!?

Aibu hii aiseh!!
 
Back
Top Bottom