Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
tatizo ni mtaji au maarifa? kama tatizo ni maarifa basi mavyuo yote haya Tanzania tuyafunge maana hayatoi maarifa yanayotakikana kulingana na mahitaji ya dunia ya sasa.
Kama shida ni mtaji mbona watz tunaweza kujichanga tukanunua hisa za kampuni tukaservice manunuzi ya mabasi customized yenye sifa tunazozitaka na pia miundombinu mengine?
Bado sioni umuhimu wa ubia wala uwekezaji wa mgeni ilhali miundombinu ni ya serikali kutokana na mikopo tunayolipa kwa riba.