Kama Mwendokasi imewashinda wapeni JKT waendeshe!

Kama Mwendokasi imewashinda wapeni JKT waendeshe!

Sasa kama Hali ipo hivyo!kwanini wenye dhamana wasifanye coup d'etat!!?yaani mmeshindwa kuendesha nchi ccm iakrudi.chimwaga makam akawa ndie!!?na yeye amesomea maswala ya fedha!!?

Aibu hii aiseh!!
Dola sasa tatizo la Dunia hata uende kenya dola shida mmarekani kafanya yake .Uende kenya,Uganda,Zambia,kenya kote huko dola shida
 
Hahaha mzee wa alisemahh
 

Attachments

  • Screenshot_20240316-121457_1.jpg
    Screenshot_20240316-121457_1.jpg
    245.8 KB · Views: 2
Dola sasa tatizo la Dunia hata uende kenya dola shida mmarekani kafanya yake .Uende kenya,Uganda,Zambia,kenya kote huko dola shida
Hatushindwi mkuu trust me!!kwanu serikali hayo manunuzi ya magari luxury wanatumia mapesa gani!!?

Pesa zipo tu mkuu!kwani hao waarabu Dola watatoa wapi !!?

Tatizo tumewekeza kwenye mambo ya anasa na sio ya kitaifa yenye mantiki!!
 
Sirikali ijitathimini, mmesikia ya shirika la ndege lakini...!? Yaani mpaka tuite maji mma. Hakuna pakushika ni mwendo wa kupukutisha ma bilioni tu, deni la taifa lina zidi kupaa... tuna daiwa trilioni 82... Kudadeq 😤 na Mwigulu bado anaendelea kukopa kila uchwao 🚮😭
 
Shida sio nani wa kuongoza ni mtaji .Anatakiwa atakayeleta mtaji mkubwa mpya anunue mabasi mengi na kuweka mifumo ya kisasa ya uendeshaji

Majeshi yote hayana pesa xa kuwekeza pale
Ho ''mradi'' ni failure tangu unajengwa. Hivi wakitoa speciafications za mabasi yanayotakiwa kutumika halafu waruhusu watu binafsi kuingiza magari yao itashindikana? Mradi kuwe na utaratibu mzuri wa ratiba.
 
Jeshi ni jeshi mbona kilimo wanaweza!!?acheni kudharau jeshi!!

Mi naamini nikishika hatamu jkt na magereza wanaweza kabisa kutumika kama lango la uchumi.wa nchi...
Huo mradi unataka kusimamiwa na kuendeshwa na watu wenye Akili na Hela, sasa hilo Jeshi lako wanakipi kati ya hivyo?
 
huo mradi unataka kusimamiwa na kuendeshwa na watu wenye Akili na Hela, sasa hilo Jeshi lako wanakipi kati ya hivyo?
Kwahio unadharau jeshi lako halina akili nanhela sindio!!?

Hivi unajua BOT inalindwa na nani!!?Hivi unajua ikitokea mapinduzi watalinda wapi zaidi ya Boat na kituo Cha redio na tv cha serikali!!?

Endeleeni kuwatukana!!
 
Waarabu dola wanazipata kwenye mafuta Mafuta yote wayauzayo kote duniani hulipwa kwa dola

Wanaxo dola nyingi mno
Sisi tuna madini.na gesi.na vivutio vya utalii tunakosaje dola!!?

SEMA mmeruhusu wale vijana wasaka urais waziibe na kuweka nje ya nchi na supply kuwa ndogo wa sarafu nchini!!
 
Hakuna uaminifu kwa mswahili tusijidanganye.

Nauli akusanye nani eti?

Kama watu wanaiba hela za miradi wakiwa na mishahara mikubwa itakuwa hao wa mshahara wa laki?

Serikali isimamie mapato na kodi zake biashara waachiwe wawekezaji aidha wa ndani au wa nje.

Airport naona vitambi hakuna tena yale mazee yameindolewa sijui kisukari au pressure maana walikula sana.

Sasa kila kitu unaona kinaenda smooth.

Kwanini wasitafute utaratibu kama huo?

Ubia ni mzuri
 
Back
Top Bottom