Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
Huo uzoefu wao kilimo Kama jeshi la kujenga taifa umesaidia nini wakulimo na sekta ya kilimo Kama mpaka Leo zana za kilimo zinaagizwa njeBaada ya kufanya h9yo shughuli husika muda mrefu .Mfano JKT wana uzoefu kwenye kilimo wana uzoefu zaidi ya miaka 60 hilo la juendesha mabasi wana uzoefu gani?