NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
- Thread starter
-
- #41
Serikali itoe pesa !!mbona za kampeni na kulipana mishahara mikubwa ya kisiasa zipo!!?Shida mtaji ndio unagomba DIT wana pesa za kigeni za kuingiza mtaji mpya?
kuna watu wanafikiri kwa kutumia masabuli ndo hawa🤣🤣🤣 nimeshangaa namimi
Dola sasa tatizo la Dunia hata uende kenya dola shida mmarekani kafanya yake .Uende kenya,Uganda,Zambia,kenya kote huko dola shidaSasa kama Hali ipo hivyo!kwanini wenye dhamana wasifanye coup d'etat!!?yaani mmeshindwa kuendesha nchi ccm iakrudi.chimwaga makam akawa ndie!!?na yeye amesomea maswala ya fedha!!?
Aibu hii aiseh!!
Hizo ni pesa za ndani sio dola kuagiza magari kunahitaji dolaSerikali itoe pesa !!mbona za kampeni na kulipana mishahara mikubwa ya kisiasa zipo!!?
Wanazingua hai jamaa!!
Hatushindwi mkuu trust me!!kwanu serikali hayo manunuzi ya magari luxury wanatumia mapesa gani!!?Dola sasa tatizo la Dunia hata uende kenya dola shida mmarekani kafanya yake .Uende kenya,Uganda,Zambia,kenya kote huko dola shida
Kitu gani hamjui? Wanaacha wananchi wapate shida ili kesho wakisema amepatikana mwekezaji ''mwarabu'' watu wapige makofi.Serikali ya ccm haiwezi chochote.
Bro, una hiari ya kuamini ama kuachaIna maana na JWTZ ndio walioshindwa!!?mbona hao jamaa nawaamini sana ilikuaje!!?
j
Ho ''mradi'' ni failure tangu unajengwa. Hivi wakitoa speciafications za mabasi yanayotakiwa kutumika halafu waruhusu watu binafsi kuingiza magari yao itashindikana? Mradi kuwe na utaratibu mzuri wa ratiba.Shida sio nani wa kuongoza ni mtaji .Anatakiwa atakayeleta mtaji mkubwa mpya anunue mabasi mengi na kuweka mifumo ya kisasa ya uendeshaji
Majeshi yote hayana pesa xa kuwekeza pale
Ndio ndio!serikali iwekeze halafu wao wasimamie!!ianwezekana kuliko kuwafungia watu ndani tu!!Umeongeza na Magereza.....!🙄
Wale kina fundi maiko wabakie huko hukoZile kampuni za Construction's, Auction, za jkt zinaendeshwa na Darasa la saba?
Huo mradi unataka kusimamiwa na kuendeshwa na watu wenye Akili na Hela, sasa hilo Jeshi lako wanakipi kati ya hivyo?Jeshi ni jeshi mbona kilimo wanaweza!!?acheni kudharau jeshi!!
Mi naamini nikishika hatamu jkt na magereza wanaweza kabisa kutumika kama lango la uchumi.wa nchi...
Serikali iwekeze pesa huko!wao wasimamie!mbona ma dreamliner tuna nunua !!?Tena tunapata hasara kila siku!!?
Waarabu dola wanazipata kwenye mafuta Mafuta yote wayauzayo kote duniani hulipwa kwa dolaPesa zipo tu mkuu!kwani hao waarabu Dola watatoa wapi !!?
Kwahio unadharau jeshi lako halina akili nanhela sindio!!?huo mradi unataka kusimamiwa na kuendeshwa na watu wenye Akili na Hela, sasa hilo Jeshi lako wanakipi kati ya hivyo?
Sisi tuna madini.na gesi.na vivutio vya utalii tunakosaje dola!!?Waarabu dola wanazipata kwenye mafuta Mafuta yote wayauzayo kote duniani hulipwa kwa dola
Wanaxo dola nyingi mno