Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Kwa lipi? He did his job let him restAlaumiwe Mabeyo
Wana uzoefu wa ku run hizo operation?Bandari imeshindikana Hadi mmewapa DP world!
Sasa na mabasi Tena jamani? Haya mabasi ya mwendokasi tu haya yamewashinda serikal? Yaani nchi imeshindwa kusimamia mabasi tu yaani imeshindwa kutafuta hats makondata waaminifu Wadai nauli TU!!?
Sasa hii serikali.inaweza nini?
Wapeni jkt waonyeshe uwezo wao!
Wasimamie mwendokasi tuone wapo siriaz kiasi Gani kuliko kuwapa wageni kusimamia mabasi!!
Tuwe siriaz jamani this is too much aiseh!
Usiku mwema!!
Nikufahamishe tu sifa ya management makini ni nidhamu.hiyo project haiitaji nguvu ni management makini tu.
Hata mambo yanaendeshwa kwa akili sio nguvu.Bandari imeshindikana Hadi mmewapa DP world!
Sasa na mabasi Tena jamani? Haya mabasi ya mwendokasi tu haya yamewashinda serikal? Yaani nchi imeshindwa kusimamia mabasi tu yaani imeshindwa kutafuta hats makondata waaminifu Wadai nauli TU!!?
Sasa hii serikali.inaweza nini?
Wapeni jkt waonyeshe uwezo wao!
Wasimamie mwendokasi tuone wapo siriaz kiasi Gani kuliko kuwapa wageni kusimamia mabasi!!
Tuwe siriaz jamani this is too much aiseh!
Usiku mwema!!
Kwa hiyo jkt hawana akili si ndio!!?Hata mambo yanaendeshwa kwa akili sio nguvu.
Uzoefu unaupata battlefield sio home Sweet home!!Wana uzoefu wa ku run hizo operation?
Itakuwa ni muendelezo wa upuuzi,SUMA JKT na mashamba Yao kibao yamewashinda ndio wataweza biashara ya Mabasi?Bandari imeshindikana Hadi mmewapa DP world!
Sasa na mabasi Tena jamani? Haya mabasi ya mwendokasi tu haya yamewashinda serikal? Yaani nchi imeshindwa kusimamia mabasi tu yaani imeshindwa kutafuta hats makondata waaminifu Wadai nauli TU!!?
Sasa hii serikali.inaweza nini?
Wapeni jkt waonyeshe uwezo wao!
Wasimamie mwendokasi tuone wapo siriaz kiasi Gani kuliko kuwapa wageni kusimamia mabasi!!
Tuwe siriaz jamani this is too much aiseh!
Usiku mwema!!
Kwahio jkt Wana elim ndogo si ndio!!?Elimu ndogo ni sumu wakat mwingne
Serikali ya CCM inaendesha shughuli zake kwa mazoea tu, na tena kwa kuendekeza kugawana vyeo kwa vigezo vya ukada na ukaribu wa mtu na familia za watawala ama kikundi cha watu wachache wenye ushawishi. Wanapingana na ukweli kuhusu "merits" za mpewa dhamana ya uongozi kwa kuzingatia historia yake kupitia ujumla wa mambo muhimu kama vile uzoefu, utaalamu, ujuzi, stadi, elimu, uadilifu, na hata maadili mema.Bandari imeshindikana Hadi mmewapa DP world!
Sasa na mabasi Tena jamani? Haya mabasi ya mwendokasi tu haya yamewashinda serikal? Yaani nchi imeshindwa kusimamia mabasi tu yaani imeshindwa kutafuta hats makondata waaminifu Wadai nauli TU!!?
Sasa hii serikali.inaweza nini?
Wapeni jkt waonyeshe uwezo wao!
Wasimamie mwendokasi tuone wapo siriaz kiasi Gani kuliko kuwapa wageni kusimamia mabasi!!
Tuwe siriaz jamani this is too much aiseh!
Usiku mwema!!
Hatupo siriaz tu,kama serikali.imewatelekeza na haiwaungi mkono kivitendo au Haina maono kuhusu kilimo Cha kisasa unafikiri watafanyaje!!?Itakuwa ni muendelezo wa upuuzi,SUMA JKT na mashamba Yao kibao yamewashinda ndio wataweza biashara ya Mabasi?
Aiseh inauma sana mkuu!!watashindwa kuendesha chama chao ccm waje kukibinafsisha
Wao ndio wanatakiwa Kuzalisha kibiashara wapeleke pesa Serikalini.Hao Suma JKT wakipewa Mkopo wa mabilioni ya Matrekta inayua matreka Yako wapi? Yameoza stoo walinunua ya hovyo.Hatupo siriaz tu,kama serikali.imewatelekeza na haiwaungi mkono kivitendo au Haina maono kuhusu kilimo Cha kisasa unafikiri watafanyaje!!?
Kinachohitajika ni mtaji,viwanda vya ku feed raw.materials zao na soko la nje na ndani Ili kuleta mzunguko!!!
Tunalikosea Sana jeshi letu!!
Tukiwa siriaz mbivu na mbichi zitajulikana tu!!Wao ndio wanatakiwa Kuzalisha kibiashara wapeleke pesa Serikalini.Hao Suma JKT wakipewa Mkopo wa mabilioni ya Matrekta inayua matreka Yako wapi? Yameoza stoo walinunua ya hovyo.
Masisitiza Mtanzania Kwa Asili hawezi fanya biashara ya Umma ikastawi na sababu zipo nyingi ila mojawapo ni mentality za kijamaa zimezidi.
Mara kadhaa Serikali imesema iyaache Mashirika yawe huru kabisa kujiamulia mambo Yao,wanaojiita Watoto wa maskini wakaanza ooh Ajira zitakuwa za upendeleo and such upuuzi,Sasa unategemea Kuna biashara hapo?