Baada ya kufanya h9yo shughuli husika muda mrefu .Mfano JKT wana uzoefu kwenye kilimo wana uzoefu zaidi ya miaka 60 hilo la juendesha mabasi wana uzoefu gani?
Jkt ndo wasomi zaidiii? au wanaakili sanaaa? au wamesomea magariiii? ama wanahistoria ya kufanikiwa kibiasharaaaa? ama...
Viongozi wetu wanaakili kama hizi zako na ndomana hatuendeleiii