Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Nimekumbuka kipindi tuko shule, ukifanya kosa au kuwa mtundu shuleni mzazi wako anakuwa hakauki shuleni.
Sasa usiombe ukadakwa kwenye skendo kubwa kama kudakwa na boifrendi/gelifrend hapo ndio unapelekwa asembo kabisaaa, unachapwa mbele za watu na suspenshen juu!😂😂
Ila waalimu walikuwa wanajua kuaibisha wanafunzi, imagine unatakiwa kuja kuendelea kusoma hapo hapo mtu anaweza kujiua hivi hivi.
Sasa fikiria mzazi angekuwa anaitwa kila ukizingua, mzazi wako angekua ameshitwa mara ngapi? Ungekuwa ushapewa suspension ngapi hadi sasa? Au ungekuwa ushaingizwa kwenye black book kabisa?