Kama mzee Makamba alirekebishwa kauli, kwanini kauli nzito ya Zitto dhidi ya TISS imebarikiwa?

Alichokisema Zitto jana ni ukweli mtupu, sasa hapo unakanusha nn wajameni?!

Alichokisema Mzee Makamba ni utopololo ndio kilipaswa kukanushwa...watu wote hufa uwe mzuri au mbaya, mweupe au mweusi...kufa ni lazima so long ulizaliwa!.
 
Jana katika ibada ya kumuaga mpendwa wetu Bernard Kamilius Membe pale Karimjee, watu mbakimbali walipata fursa ya kutoa maneno ya rambirambi kwa familia na jamaa wa Marehemu Membe.

Kiongozi wa ACT Wazalendo alipata fursa ya kutoa rambirambi zake. Lakini ndani ya content aliyoisoma pale aliituhumu idara kuhusika nankuruhusu rasilimali zake kutumika kumchafua Membe na watu wengine.

Kauli hii, inazua sintofahamu ya ujasiri na kusudio la Zitto dhidi ya TISS. Ikumbukwe kwamba kuidhalilisha hadharani TISS ni kuidhalilisha nchi. Na bahati mbaya hawa jamaa huwa hawana msemaji wa kujibu hoja za kisiasa wanazotuhumiwa nao.

Mzee Makamba alimnanga Magufuli kwa kusema Wazuri hawafi mapema na aliposimama Capo akamrekebisha kuwa mzee aliteleza ulimi. Lakini jana mbele ya CIC zimetolewa tuhuma nzito dhidi ya taasisi nyeti nchini na hakuna kanusho wala rekebisho dhidi ya udhalilishaji huo.

Mtu kama Zitto siyo asset wa kuaminiwa kwenye nafasi yeyote nchini kwa sababu anaonesha wazi hana mahaba na Nchi yetu
Naye ni JASUSI ila yeye kitengo chake kinaitwa--WT (WACHANGANYE TUPITE)
 
TISS ni takataka inayokuwezesha wewe kupata usingizi na kuamka salama na kwenda kijiweni kupiga soga bila kuporwa wala tishio la usalama.

Ni taasisi yetu lazima tuienzi na kuisitiri sambamba na kuiboresha penye mapungufu
Sio kweli mkuu. Ume ongeza chumvi.
 
Hata usoni anaonesha wazi kuwa anakerwa na utulivu na amani yetu.
Kuna mstari kwenye speech yake unataja mwaka 2006 kulifanyika uonevu, je nani alikuwa kinara mwaka huo?
 
Jana katika ibada ya kumuaga mpendwa wetu Bernard Kamilius Membe pale Karimjee, watu mbakimbali walipata fursa ya kutoa maneno ya rambirambi kwa familia na jamaa wa Marehemu Membe.

Kiongozi wa ACT Wazalendo alipata fursa ya kutoa rambirambi zake. Lakini ndani ya content aliyoisoma pale aliituhumu idara kuhusika nankuruhusu rasilimali zake kutumika kumchafua Membe na watu wengine.

Kauli hii, inazua sintofahamu ya ujasiri na kusudio la Zitto dhidi ya TISS. Ikumbukwe kwamba kuidhalilisha hadharani TISS ni kuidhalilisha nchi. Na bahati mbaya hawa jamaa huwa hawana msemaji wa kujibu hoja za kisiasa wanazotuhumiwa nao.

Mzee Makamba alimnanga Magufuli kwa kusema Wazuri hawafi mapema na aliposimama Capo akamrekebisha kuwa mzee aliteleza ulimi. Lakini jana mbele ya CIC zimetolewa tuhuma nzito dhidi ya taasisi nyeti nchini na hakuna kanusho wala rekebisho dhidi ya udhalilishaji huo.

Mtu kama Zitto siyo asset wa kuaminiwa kwenye nafasi yeyote nchini kwa sababu anaonesha wazi hana mahaba na Nchi yetu
TISS imejidhalilisha yenyewe Kwa kukubaliwa kutumiwa na CCM kama Green Guard
Imagine, Bashite anavamia Clouds na Mabunduki na Askari wa Kikosi cha Ulinzi wa Raisi, tena wakiwa na Uniform
 
TISS ni takataka inayokuwezesha wewe kupata usingizi na kuamka salama na kwenda kijiweni kupiga soga bila kuporwa wala tishio la usalama.

Ni taasisi yetu lazima tuienzi na kuisitiri sambamba na kuiboresha penye mapungufu
Kama hii iliyopo ndiyo "bora" inavyoonyesha unaamini, basi hiyo nchi yako ni takataka tupu.
 
Kiongozi wa ACT Wazalendo alipata fursa ya kutoa rambirambi zake. Lakini ndani ya content aliyoisoma pale aliituhumu idara kuhusika nankuruhusu rasilimali zake kutumika kumchafua Membe na watu wengine.

Hiyo haikuwa tuhuma bali ni ukweli.

Ikumbukwe kwamba kuidhalilisha hadharani TISS ni kuidhalilisha nchi.

Sio sawa kuisema au hata kuidhalilisha TISS kwa upuuzi waliofanya ni kuidhalilisha nchi bali unaweza kusema ni kudhalilisha viongozi TISS na hiyo ni haki yao kwa matendo yao mabaya waliofanya kinyume na majukumu yao ya kazi.

Mzee Makamba alimnanga Magufuli kwa kusema Wazuri hawafi

Sio kweli kwamba Mzee Makamba alimnanga Magufuli, leta ushahidi kuonyesha ni wapi alipomtaja Magufuli.

Lakini jana mbele ya CIC zimetolewa tuhuma nzito dhidi ya taasisi nyeti nchini na hakuna kanusho wala rekebisho dhidi ya udhalilishaji huo.

Kwanza sio udhalilishaji bali ni ukweli unaowafanya hao wahusika wawe dhalili kutokana na kukiuka majukumu ya kazi zao.

Mtu kama Zitto siyo asset wa kuaminiwa kwenye nafasi yeyote nchini kwa sababu anaonesha wazi hana mahaba na Nchi yetu

Hivi Mzazi mwenye mahaba ni yule anayemwacha mwanaye atende maovu na asimkanye au ni yule anayemkanya mwanaye anapotenda maovu??!--- Zitto ni mfano wa mzazi anayemkanya mwanaye anapotenda maovu.

Na hakuna mtu mwenye akili timamu atakuelewa unaposema Zitto hana mahaba na nchi hii iliyokuwa imeharibiwa na yule Bwana ambaye aliifanya nchi ni kama familia yake na wananchi wote kama wstoto wake.
 
Jana katika ibada ya kumuaga mpendwa wetu Bernard Kamilius Membe pale Karimjee, watu mbakimbali walipata fursa ya kutoa maneno ya rambirambi kwa familia na jamaa wa Marehemu Membe.

Kiongozi wa ACT Wazalendo alipata fursa ya kutoa rambirambi zake. Lakini ndani ya content aliyoisoma pale aliituhumu idara kuhusika nankuruhusu rasilimali zake kutumika kumchafua Membe na watu wengine.

Kauli hii, inazua sintofahamu ya ujasiri na kusudio la Zitto dhidi ya TISS. Ikumbukwe kwamba kuidhalilisha hadharani TISS ni kuidhalilisha nchi. Na bahati mbaya hawa jamaa huwa hawana msemaji wa kujibu hoja za kisiasa wanazotuhumiwa nao.

Mzee Makamba alimnanga Magufuli kwa kusema Wazuri hawafi mapema na aliposimama Capo akamrekebisha kuwa mzee aliteleza ulimi. Lakini jana mbele ya CIC zimetolewa tuhuma nzito dhidi ya taasisi nyeti nchini na hakuna kanusho wala rekebisho dhidi ya udhalilishaji huo.

Mtu kama Zitto siyo asset wa kuaminiwa kwenye nafasi yeyote nchini kwa sababu anaonesha wazi hana mahaba na Nchi yetu
Kwani alichosema ni uongo? Magazeti ya Musiba hayakuchapishwa mitambo ya TISS?
 
TISS ni takataka inayokuwezesha wewe kupata usingizi na kuamka salama na kwenda kijiweni kupiga soga bila kuporwa wala tishio la usalama.

Ni taasisi yetu lazima tuienzi na kuisitiri sambamba na kuiboresha penye mapungufu

Hii taasisi ni Roho ya Nchi yetu, Nawa salute sana.

Lkn pia huwa sifurahii sana namna vile wanasiasa wanavyoitumia hii Taasisi, Pengine uelewa wangu ni mdogo.

Japo huwa natamani sana hii taasisi ijikite zaidi katika maslahi ya Nchi na isiwe maslahi ya Wachaguliwa wa Kisiasa.
 
Jana katika ibada ya kumuaga mpendwa wetu Bernard Kamilius Membe pale Karimjee, watu mbakimbali walipata fursa ya kutoa maneno ya rambirambi kwa familia na jamaa wa Marehemu Membe.

Kiongozi wa ACT Wazalendo alipata fursa ya kutoa rambirambi zake. Lakini ndani ya content aliyoisoma pale aliituhumu idara kuhusika nankuruhusu rasilimali zake kutumika kumchafua Membe na watu wengine.

Kauli hii, inazua sintofahamu ya ujasiri na kusudio la Zitto dhidi ya TISS. Ikumbukwe kwamba kuidhalilisha hadharani TISS ni kuidhalilisha nchi. Na bahati mbaya hawa jamaa huwa hawana msemaji wa kujibu hoja za kisiasa wanazotuhumiwa nao.

Mzee Makamba alimnanga Magufuli kwa kusema Wazuri hawafi mapema na aliposimama Capo akamrekebisha kuwa mzee aliteleza ulimi. Lakini jana mbele ya CIC zimetolewa tuhuma nzito dhidi ya taasisi nyeti nchini na hakuna kanusho wala rekebisho dhidi ya udhalilishaji huo.

Mtu kama Zitto siyo asset wa kuaminiwa kwenye nafasi yeyote nchini kwa sababu anaonesha wazi hana mahaba na Nchi yetu
Nawr jamaa kimeo sana aise. Zitto siyo asset kwa nini wakati kuna wakati taasisi nyeti zinatumiwa vibaya na wanasiasa na kupelekea kuua baadhi ya watu?
Kwa hiyi hata kuwatuhumu iterahamwe wa rwanda haifai kwa kuwa walikuwa jeshi la Juvenaire Habyarimana aliyekuwa raisi wa Rwanda?
Zitto ana uthubu na si mnafiki. Wee baki na uzalendo wako wa kinafiki huku wanasiasa waovu wakiharibu nchi tu!
 
Jana katika ibada ya kumuaga mpendwa wetu Bernard Kamilius Membe pale Karimjee, watu mbakimbali walipata fursa ya kutoa maneno ya rambirambi kwa familia na jamaa wa Marehemu Membe.

Kiongozi wa ACT Wazalendo alipata fursa ya kutoa rambirambi zake. Lakini ndani ya content aliyoisoma pale aliituhumu idara kuhusika nankuruhusu rasilimali zake kutumika kumchafua Membe na watu wengine.

Kauli hii, inazua sintofahamu ya ujasiri na kusudio la Zitto dhidi ya TISS. Ikumbukwe kwamba kuidhalilisha hadharani TISS ni kuidhalilisha nchi. Na bahati mbaya hawa jamaa huwa hawana msemaji wa kujibu hoja za kisiasa wanazotuhumiwa nao.

Mzee Makamba alimnanga Magufuli kwa kusema Wazuri hawafi mapema na aliposimama Capo akamrekebisha kuwa mzee aliteleza ulimi. Lakini jana mbele ya CIC zimetolewa tuhuma nzito dhidi ya taasisi nyeti nchini na hakuna kanusho wala rekebisho dhidi ya udhalilishaji huo.

Mtu kama Zitto siyo asset wa kuaminiwa kwenye nafasi yeyote nchini kwa sababu anaonesha wazi hana mahaba na Nchi yetu
Zitto alipata baraka zote toka kwa godfather wake wa mtaa wa 4.

Usichokijua ni kuwa dongo lilikuwa linalenga Idara iliyokuwa ndani ya Idara. Yaani wale jamaa waliopachikwa na Mkuu wa mtaa wa 5.
 
Walisema wenye hekima. Utawala unaojifitini utaanguka hakika.

Mtaa upo ndani ya Kata, mtaa ukidhani unaishughilikia Kata basi wanaanguka pamoja kama jiwe ku-mayi
 
Tanzania ina wajinga wengi na wewe ni mmoja wapo.
Upuuzi unakutoka kama sio ushuzi.Unatamani sana uwe Mtanzania ila huna bahati, sasa umebakiwa na chuki.Koo limekubana , na mishipa imekutoka. Utabakia na hilo nyongo lako mpaka utakoma, Tanzania utaiona hiyoooo inapaa. Nyodo tu. Huna lolote mbaguzi mkubwa.
 
Kwa hiyo mimi siyo Mtanzania?
 
Kwa hiyo mimi siyo Mtanzania?
Narudia, Hakuna Mtanzania yeyote yule mwenye zake timamu anayetumia siasa za Kibaguzi na Kufedhehesha wenzake, na Kuwanyanyasa, au kudharau kabila la mwenzake.....hatuna hilo. Kukujibu, ndio.
 
Back
Top Bottom