Kama Nape, Mwigulu, January na sasa Kigwangalla wameathiriwa na siasa chafu basi "huyo" aliyeko nyuma ya Pazia ni mtaalamu haswa!

Kwani yeye alikomba mboga!
Hiyo wizara ya kigwa na madini,huwezi kuacha kukomba mboga,ina vishawishi huwezi kuruka. Shida ya hawa vijana sasa,unapiga mpunga ndio hatukatai. Basi tulia,piga kimya kimya kwa heshima,huku ukijifanya kama boya. Sasa wenyewe wanapiga,na kuji-show sana kwamba wanazo kuliko vijana wengine wa Tz. Zinawalevya mpaka wanajisahau wanajiona kama wameaminiwa kwenye hizo wizara,basi wana akili saaana kuliko wengine. Wanaanza kutaka zaidi,wanaanza kujiona kumbe wanaweza kuwa marais. Wanapiga hesabu mkuu katuamini,hela tunazo,nifanyie nini hizi hela? nianze kutengenezea mtandao wa kuingia ikulu sasa. Uliza mwiguru,alichora mawe nchi nzima,alinunua mpaka timu. (Hapo mheshimiwa mkuu namsapot 100%,ameninyooshea hawa. Mpaka timu wanazikimbia sasa)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee kuna haja ya kumpa umuhimu na kumwangalia kwa jicho la kipekee huyu Bashite.

Naona hajawahi kushindwa vita vya watesi wake wa kisiasa.
Huwa wanamyumbisha ila kumuangusha haijawahi tokea.
 
Biteko ana akili hata kwenye social media hayupo. Hamis mara apost ndama wake kazaa yaani showoff kibao.
Kuna makala moja aliandika Kwenye gazeti la Mwananchi wakati akichambua nani ni nani katika mbio za Urais ...hapo nilianza kumjua Kigwangala kuwa ni intellectual sana .nikaunganisha na matukio yake ya kukashifu tume ya warioba ya katiba mpya ...nilimshusha mazima...ebu angalia waziri kama huyu
 
Hajielewi,au labda kutaka sifa kumemzidi.
 
Ni limbukeni mwenye madaraka.
Waziri wa Utalii kutwa yupo na kina Ebitoke utafikiri waziri sanaa na utamaduni. Yote hiyo alitaka showoff akisingizia anatangaza utalii wa ndani.
 
Wasote tu kwani nao kuna vibaya walifanya.malipo hapa hapa bado makondo
 
Huyu Bashite kweli ana nguvu kubwa, awali nilijua nguvu yake ni kubwa kuliko Majaliwa serikalini kumbe hata kwenye chama Bashiru naye anamgwaya?
Hicho anacho kitumia Bashite Ku win hakika ni cha kipekee
kipindi LISU analalamika kutishiwa walikaa kimyaaa!!!, sasa jin limewageukia asitupigie kelele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…