Course Coordinator
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 1,742
- 3,224
Wizara ya maliasili...madini ni Biteko.Huo ndio mshahara wa kujimwambafai. Kingwa amepewa wizara nyeti sana,ilipaswa ajifunze kwa waliopita,hiyo wizara na ya madini haijawahi kumuacha mtu salama. Ilipaswa awe mtu makini sana,hata kama unakula,jifute mdomo
Sent using Jamii Forums mobile app