Kama Nape, Mwigulu, January na sasa Kigwangalla wameathiriwa na siasa chafu basi "huyo" aliyeko nyuma ya Pazia ni mtaalamu haswa!

Alijifanyaga kidume kuingilia ile ishu ya idris kumtafutia loya [emoji3]kumbe dab anamvutia kasi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Celebrity minister[emoji3]

Nae ni social media socialite

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana mabasi kigwangala express, ana ng’ombe kama 700, ana chuo cha afya nzega, hatokufa njaa huyo atulie tu lakini kurudi bungeni sijui maana nchi hii ukipishana na bashite lazima ile kwako


Sent from my iPhone using JamiiForums
Mabasi ya Kigwangalla Express yapo wapi?
 
wewe hakuna kipanga hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamaanisha kilaza anaweza kusoma MD?
Ninavyokumbuka shule nilikotoka O level watu wote walioenda PCB walikuwa vipanga. Na A level nilisoma shule yenye Arts (HGL na HGE) na Sayansi (PCM na PCB). Wale PCB walioenda Muhimbili kusoma MD wote walikuwa vipanga balaa.
Siamini kuna kilaza anaweza soma MD.
Kigwa kama ni MD basi kwa uhakika kabisa ni miongoni mwa vipanga.
 
Acha kukariri bwashee!
 
Watu wanajaribu Kumshusha ila ukweli utabaki kuwa hakuna mtu aliyesoma Muhimbili asiwe na akili kichwani...

Tena kipindi hicho huwezi ingia Muhimbili bila kuwa na Div 1or 2 ya Mwanzoni tena iwe Pcb ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cheo gani kapata kwa haki Bashe? Godfather wake Rostam ndio kampa hilo shavu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waacha wasukuma wasukumane wenyewe kwa wenyewe


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…