Pre GE2025 Kama Nape na Makamba wamewekwa kando, si Mwigulu, Biteko, Tulia, Mwinyi, Makonda wala Majaliwa watamrithi kiti Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ndio ushawishi wenyewe huo ndg yangu
Hapo nimekuelewa

Lakini nikikumbuka ya 2015 sometime ushawishi wa aina hiyo hausaidii

Maana wenye ushawishi zaidi ya huo wa Makamba walikuwa ni Lowassa na Membe wote walipigwa vibaya mno na Magufuri

Ambaye huwa naamini mpaka leo kwamba ilikuwa ni ngekewa tu kwake
 
Wanabodi,

Baada ya team moja ya wasaka Urais iliyotumia muda mwingi kujiandaa kuangushwa ni dhahiri kabisa team hii haitakaa kimya kwani hata hivyo team hii pia kama zilivyo team zingine inamtandao mpana ndani na nje ya Tanzania naamini tunaufahamu.

Kitendo Cha team hii kuangushwa wataamini kabisa ni team kinzani ndio zimefanya uchochezi kwa Rais ili kuiangusha team yao hiyo iliyomteua Mhe January Makamba kama kinara wa team.

Nikitazama ukwasi na ushawishi ilionao team hii ya kinara January Makamba nashawishika kuamini si Mwigulu, Biteko, Makonda, Tulia, Mwinyi, Mchengerwa, Jaffo, Bashe, Kikwete wala Majaliwa wataunusa Urais 2025 wala 2030.

Kuna ule usemi maarufu wa kiswahili unaosema "Ukimwaga Mboga Mimi na mwaga Ugali" tutarajie miangushano mikubwa kati ya sasa na 2030 kwani hizi team ni hakika na hii vita ni ukweli pia.

Baada ya mtifuano huu Rais wa 2030 atakuwa ni mtu mpya mwenye kuchukia kabisa Matendo ya Rushwa na Ufisadi na hayuko kwenye team yoyote kati ya hizo kwani Kila team haitakuwa tayari kuona ikifukuzwa kama sio kutoroka kabisa Tanzania baada ya team kinzani kushinda nafàsi hiyo.

Mungu ibariki Tanzania,
Mungu mbariki Rais Samia​
Kweli Jf ni great thinkers
 
Watu kwasasa wanapenda mtu smart siyo fisadi, sioni ushawishi wa Makamba, angekuwa anajitambua angetumia vizuri fadhira anazopewa maana uwezo hana zaidi kubebwa tu.
 
Msoga hawawezi kumwacha adui yao aongoze nchi kwani wataishia magerezani
Kwa sasa sio ishu ya kumuacha,,kwa sasa kuna rimoti zingine zenye betri mpya,,,,,,bimkubwa alishawachoka msoga muda tu, ishu ilikua timing na backup ya kuwapunguza
 
Wanabodi,

Baada ya team moja ya wasaka Urais iliyotumia muda mwingi kujiandaa kuangushwa ni dhahiri kabisa team hii haitakaa kimya kwani hata hivyo team hii pia kama zilivyo team zingine inamtandao mpana ndani na nje ya Tanzania naamini tunaufahamu.

Kitendo Cha team hii kuangushwa wataamini kabisa ni team kinzani ndio zimefanya uchochezi kwa Rais ili kuiangusha team yao hiyo iliyomteua Mhe January Makamba kama kinara wa team.

Nikitazama ukwasi na ushawishi ilionao team hii ya kinara January Makamba nashawishika kuamini si Mwigulu, Biteko, Makonda, Tulia, Mwinyi, Mchengerwa, Jaffo, Bashe, Kikwete wala Majaliwa wataunusa Urais 2025 wala 2030.

Kuna ule usemi maarufu wa kiswahili unaosema "Ukimwaga Mboga Mimi na mwaga Ugali" tutarajie miangushano mikubwa kati ya sasa na 2030 kwani hizi team ni hakika na hii vita ni ukweli pia.

Baada ya mtifuano huu Rais wa 2030 atakuwa ni mtu mpya mwenye kuchukia kabisa Matendo ya Rushwa na Ufisadi na hayuko kwenye team yoyote kati ya hizo kwani Kila team haitakuwa tayari kuona ikifukuzwa kama sio kutoroka kabisa Tanzania baada ya team kinzani kushinda nafàsi hiyo.

Mungu ibariki Tanzania,
Mungu mbariki Rais Samia​
Wanaushawishi gani hao, huyo Nape kubinya Uhuru wa vyombo vya habari kuna mtafuna. Wote pamoja na Mwigulu wana taswira ya majivuno, ubabe na ulevi wa madaraka.
 
Makamba kwa miaka mingi anayo sifa ya upigaji. Samia kumpa uwaziri ni katika kulipa fadhila kwa kundi zima la Msoga. Hata huyo Nape kupewa uwaziri ni mwendelezo wa kumheshimu JK aliyemtoa Zanzibar na kumleta huku bara na kumpa cheo.

Kuna muda unafika hayo malipo ya fadhila yanapitwa na wakati na kupoteza nguvu na uhalali. Makamba anaweza kurudishwa baadae katika uwaziri lakini tayari analo doa la upigaji tena ule mkubwa.

Mkurugenzi mmoja wa mamlaka kubwa serikalini aliniambia kuhusu kuondolewa kwa Makamba karibu miezi saba iliyopita, lilikuwa ni suala la muda tu.
Mkuu upigaji upo kila mahali kwa mwanaCCM yeyote yule bila kujali cheo chake na nafasi aliyo nayo serikalini. Kwa ufupi CCM wote ni ukoo wa panya.. ...babu mwizi, baba mwizi, mtoto mwizi, mjukuu mwizi, kitukuuu mwizi na kilembwe mwizi
 
Wanabodi,

Baada ya team moja ya wasaka Urais iliyotumia muda mwingi kujiandaa kuangushwa ni dhahiri kabisa team hii haitakaa kimya kwani hata hivyo team hii pia kama zilivyo team zingine inamtandao mpana ndani na nje ya Tanzania naamini tunaufahamu.

Kitendo Cha team hii kuangushwa wataamini kabisa ni team kinzani ndio zimefanya uchochezi kwa Rais ili kuiangusha team yao hiyo iliyomteua Mhe January Makamba kama kinara wa team.

Nikitazama ukwasi na ushawishi ilionao team hii ya kinara January Makamba nashawishika kuamini si Mwigulu, Biteko, Makonda, Tulia, Mwinyi, Mchengerwa, Jaffo, Bashe, Kikwete wala Majaliwa wataunusa Urais 2025 wala 2030.

Kuna ule usemi maarufu wa kiswahili unaosema "Ukimwaga Mboga Mimi na mwaga Ugali" tutarajie miangushano mikubwa kati ya sasa na 2030 kwani hizi team ni hakika na hii vita ni ukweli pia.

Baada ya mtifuano huu Rais wa 2030 atakuwa ni mtu mpya mwenye kuchukia kabisa Matendo ya Rushwa na Ufisadi na hayuko kwenye team yoyote kati ya hizo kwani Kila team haitakuwa tayari kuona ikifukuzwa kama sio kutoroka kabisa Tanzania baada ya team kinzani kushinda nafàsi hiyo.

Mungu ibariki Tanzania,
Mungu mbariki Rais Samia​
Joined Sunday. Siku ya tukio. Wewe utakuwa ndiye au wewe umetumwa

Screenshot_20240723-085410.png
 
Back
Top Bottom