Kama nchi tunajipangaje na huu uwezekano mkubwa wa WW3 ambao utakuwa na athari kubwa duniani?

Kwa mashambulizi ya jana na usiku huu waliyofanya Iran kwa Israel tutegemee Israel kujibu. Tishio ni kubwa kiasi kwamba "Doomsday Plane" ya Israel imeonekana ikipaa ikidhaniwa ni viongozi wanahama nchi. Ni kubwa kiasi kwamba inasemekana Netanyahu amehama ikilu na kukimbilia kwenye jumb kubwa la bilionea mmoja Yerusalem lenye handaki kabambe yeye na familia yake.

Iran imesema wazi mwarabu yeyote atakayeingilia kati, atampiga. Putin amesema US wakiingilia kati na yeye qtaiunga mkono Iran.

Kwa kuzingatia tetesi nzito na fukuto la vita kunauwezekano middle east ikafungwa kwa Muda, kuna uwezekano safari za meli zikafungwa kukatiza mitaa hiyo. Hivyo kutakuwa na athali kubwa kwetu.
Nashauri serikali na wadau kufuatilia kwa karibu na kitupq update nini cha kufanya badala ya kusubiri matokeo yake uatukutilize.

Binafsi kama mtumishi naombe taifa, letu na vita hovyo vikome ili amani iwepo tutangaze neno na Yesu aje tuhamie dunia mpya na nchi mpya ambayo hakuna vita, vikohozi wala taabu.
Haji mpaka binadamu apate akili kwamba kutenda maovu ni dhambi
 
Tufe Ili tuanze upya
 
Kwa bahati mbaya Iran haijafanikisha kusudi lake kwani 99% ya makombora yake yamedunguliwa na Israel’s superior airdom system. Kwa hiyo hakuna madhara ya binadamu na mali yaliyotokea.

UWE NA AMANI
 
Kwa mashambulizi ya jana na usiku huu waliyofanya Iran kwa Israel tutegemee Israel kujibu. Tishio ni kubwa kiasi kwamba "Doomsday Plane" ya Israel imeonekana ikipaa ikidhaniwa ni viongozi wanahama nchi. Ni kubwa kiasi kwamba inasemekana Netanyahu amehama Ikulu na kukimbilia kwenye jumba kubwa la bilionea mmoja Yerusalem lenye handaki kabambe yeye na familia yake.

Iran imesema wazi mwarabu yeyote atakayeingilia kati, atampiga. Putin amesema US wakiingilia kati na yeye ataiunga mkono Iran.

Kwa kuzingatia tetesi nzito na fukuto la vita kunauwezekano middle east ikafungwa kwa Muda, kuna uwezekano safari za meli zikafungwa kukatiza mitaa hiyo. Hivyo kutakuwa na athali kubwa kwetu.
Nashauri serikali na wadau kufuatilia kwa karibu na kutupa update nini cha kufanya badala ya kusubiri matokeo yake yatukutilize.

Binafsi kama mtumishi naombe taifa, letu na vita hivyo vikome ili amani iwepo tutangaze neno na Yesu aje tuhamie dunia mpya na nchi mpya ambayo hakuna vita, vikohozi wala taabu.
Iran ilionywa zamani isikaaribe Rafah na mpaka leo anasema atakwenda Rafah kwa kiburi cha kutaka kutoonekana kushindwa na Hamas.
Sasa ni kweli watajibu shambulio la Iran lakini katika hii vita Iran ana upper hand ya kuidhibiti Israel.
Marekani kama atajifanya kichwa ngumu ndio vita ya tatu itatokea kweli.
Tahadhari uliyoitoa kwa serikali ni muhimu kuzingatiwa .Serikali nayo ichukue tahadhari isijipendekeze upande wa Israel na Marekani kama ilivyokuwa awali mwa vita baina ya Israel na Hamas.
 
Na atapigwa .Iran haina silaha nzito kuliko Marekani lakini ina nyenzo muhimu za kuidhibiti Israel isifurukute kupitia washirika wake ambao wote wako tayari kuungana nayo.
Tayari inamtaji wa lebanon na syria mpakani na Israel na Russia inaweza kutoa shukrani zake kwa msaada wa Iran kwenye SMO yake.
Bado sio jambo dogo kama enzi ya Iraq.
 
Iran ilionywa zamani isikaaribe Rafah na mpaka leo anasema atakwenda Rafah kwa kiburi cha kutaka kutoonekana kushindwa na Hamas.
Sasa ni kweli watajibu shambulio la Iran lakini katika hii vita Iran ana upper hand ya kuidhibiti Israel.
Marekani kama atajifanya kichwa ngumu ndio vita ya tatu itatokea kweli.
Tahadhari uliyoitoa kwa serikali ni muhimu kuzingatiwa .Serikali nayo ichukue tahadhari isijipendekeze upande wa Israel na Marekani kama ilivyokuwa awali mwa vita baina ya Israel na Hamas.
Umeandika vyema.
 
Kwa mashambulizi ya jana na usiku huu waliyofanya Iran kwa Israel tutegemee Israel kujibu. Tishio ni kubwa kiasi kwamba "Doomsday Plane" ya Israel imeonekana ikipaa ikidhaniwa ni viongozi wanahama nchi. Ni kubwa kiasi kwamba inasemekana Netanyahu amehama Ikulu na kukimbilia kwenye jumba kubwa la bilionea mmoja Yerusalem lenye handaki kabambe yeye na familia yake.

Iran imesema wazi mwarabu yeyote atakayeingilia kati, atampiga. Putin amesema US wakiingilia kati na yeye ataiunga mkono Iran.

Kwa kuzingatia tetesi nzito na fukuto la vita kunauwezekano middle east ikafungwa kwa Muda, kuna uwezekano safari za meli zikafungwa kukatiza mitaa hiyo. Hivyo kutakuwa na athali kubwa kwetu.
Nashauri serikali na wadau kufuatilia kwa karibu na kutupa update nini cha kufanya badala ya kusubiri matokeo yake yatukutilize.

Binafsi kama mtumishi naombe taifa, letu na vita hivyo vikome ili amani iwepo tutangaze neno na Yesu aje tuhamie dunia mpya na nchi mpya ambayo hakuna vita, vikohozi wala taabu.
Jinsia Ile kuliona hili jambo ni ndoto mkuu.
 
Back
Top Bottom