Kama nchi tunajipangaje na huu uwezekano mkubwa wa WW3 ambao utakuwa na athari kubwa duniani?

Haji mpaka binadamu apate akili kwamba kutenda maovu ni dhambi
 
Tufe Ili tuanze upya
 
Kwa bahati mbaya Iran haijafanikisha kusudi lake kwani 99% ya makombora yake yamedunguliwa na Israel’s superior airdom system. Kwa hiyo hakuna madhara ya binadamu na mali yaliyotokea.

UWE NA AMANI
 
Iran ilionywa zamani isikaaribe Rafah na mpaka leo anasema atakwenda Rafah kwa kiburi cha kutaka kutoonekana kushindwa na Hamas.
Sasa ni kweli watajibu shambulio la Iran lakini katika hii vita Iran ana upper hand ya kuidhibiti Israel.
Marekani kama atajifanya kichwa ngumu ndio vita ya tatu itatokea kweli.
Tahadhari uliyoitoa kwa serikali ni muhimu kuzingatiwa .Serikali nayo ichukue tahadhari isijipendekeze upande wa Israel na Marekani kama ilivyokuwa awali mwa vita baina ya Israel na Hamas.
 
Na atapigwa .Iran haina silaha nzito kuliko Marekani lakini ina nyenzo muhimu za kuidhibiti Israel isifurukute kupitia washirika wake ambao wote wako tayari kuungana nayo.
Tayari inamtaji wa lebanon na syria mpakani na Israel na Russia inaweza kutoa shukrani zake kwa msaada wa Iran kwenye SMO yake.
Bado sio jambo dogo kama enzi ya Iraq.
 
Umeandika vyema.
 
Jinsia Ile kuliona hili jambo ni ndoto mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…